Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

Aliyempenda kamuweka ndani wewe kakutamani yaani anaosha nyota
 
Mume wa MTU aheshimiwe! asiguswe! aachwe! hata kama anataka, asikubaliwe kwa msingi wa "ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi"
Huyu anayeitwa "mume wa mtu" ajiheshimu kwanza ndipo atakapoheshimiwa.

Wanawake wengi kwa sasa ni "hunters" na wanaotafutwa kwa sasa ni hao unaosema "wasiguswe"

Kabla hata hajajilengesha keshadakwa.

Kila mmoja ajiheshimu ndipo ataheshimiwa.
 
Anae kupenda wewe anamioyo mingapi jiulize mke wake amwambie anampenda sn na wewe akwambie anakupenda sn be care
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.

Sasa nifanye nini?

Naombeni ushauri wenu.
Kama dini inakuruhusu kuwa mke Wa PILI. Kila ukiletewa Wa tatu na Wa NNE usije humu kuomba ushauri.
 
Wewe bado ni binti mdogo sana na sidhani kama una upeo wa kutambua maana halisi ya "mapenzi". Ni vigumu sana kutambua mtu aliyekupenda kwa dhati na anayekutamani. Ila bora mara 100 huyo aliyekufuata na kukueleza ukweli kwamba ameoa ila anakupenda kuliko hawa vijana wa leo ambao wako single ila wana mahusiano kibao. If you asked me, you are 10 times safer with a married man who's honest about his status than being in a relationship with a single man who's free to mingle and date with anyone sababu no one is holding him responsible for his actions. Na kama ulivyosema una miaka 18 tu so kwa umri huo hautafuti ndoa, bado wewe mdogo, maliza masomo yako, tafuta kazi yako, live your life and in the long run utakutana na kijana ambaye mnaweza mkakaa chini na kupanga mipango ya ndoa.

Wapo watakaokupinga ila ushauri ndio ukweli wa maisha ya sasa...
 
Huyu anayeitwa "mume wa mtu" ajiheshimu kwanza ndipo atakapoheshimiwa.

Wanawake wengi kwa sasa ni "hunters" na wanaotafutwa kwa sasa ni hao unaosema "wasiguswe"

Kabla hata hajajilengesha keshadakwa.

Kila mmoja ajiheshimu ndipo ataheshimiwa.
Have mercy on us please! Spare us a little bit, at least for our family sake! Nikisikia wanaume wanawindwa naogopa ati! Maana najiuliza itakuwaje nikinaswa!
 
Nishampa Tamu hakomi anasema anataka mke wa pili nifanyajee sasa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chezea ulimbo wewe
AHahahahahaahha hapo sawa.. kweli anakuganda... ulimbo mtamu shemejiii... Mwenyewe hapa nimesisimka

Kwani umempa mara ngapi shemeji?
 
Back
Top Bottom