Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.

Sasa nifanye nini?

Naombeni ushauri wenu.
Unapenda kaburi kumbe haya kifo chema tangulia kuzimu salama[emoji40] [emoji40]
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.

Sasa nifanye nini?

Naombeni ushauri wenu.
Mwambie kama kweli anakupenda, amuache mkewake na akuoe wewe.
Akikataa, basi kaa ukijua kwamba wewe ni mpango wa kando ama Nyumba ndogo
 
Ninachokijua kuhusu wanaume waliooa wakiwa na mwanamke wa nje iwapo tuu huyo mchepuko/nyumba ndogo hajamloga ili kukoleza hilo penzi hapo unakuwa ni kama choo cha kulipia.
Nikiwa na maana kwamba mwanamke wa nje kwa mwanaume mwenye ndoa ni sawa na kwenda haja, akishajisaidia mwisho wa siku atarudi kwake tuu.cha Kufanya mchepuko labda uwe na target ya kupiga pesa vinginevyo utaishia kuwa used.
Haswa kama huyo mume anawatoto na huyo mkewake.
 
No matter how deep you think you love him, leave room in your mind to think straight.

Answer the many what ifs that are surely racing in your mind when you think about you and him in days/months/years to come.

What if he truly loves me? Will he leave his wife to be with me? And if he cannot be with me alone then am I ready and willing to share him?

What if he leaves his wife? Will he take his kids with him? Am I ready to raise the kids like my very own? Will I be able to live with the guilt of breaking a home?

What if he leaves the kids with their Mom? Will they suffer at the hands of a single Mom?

The what ifs could go on and on and on.

At the end of the day why dont you just opt out and say NO?
 
Ila akili za wanawake mnazijuwa wenyewe. Unampendaje mtu ambaye tayari keshakwambia ana mke?
 
Jiweke katika nafasi ya mke wa huyo anaesema anakupenda, baada ya hapo jibu jipe mwenyewe
 
What you need to know is before you get romantic involved with a men make sure you Know everything there is to know about him
 
Back
Top Bottom