Chukua ushauri wa bure,wewe kama ni muislamu akuoe mke wa pili,kama ni mkristu jiandae kubadili dini uolewe kama yeye ni muislamu,kama wote ni wa kristo jiandae kutumika mpaka mke wake afe,kama yeye ni mkristu wewe muislamu tumika mama hadi mkewe afe.kwa nini uingie kwenye mahusiano ambayo mwanga kule mbele hayan?mmoja wenu au wote mwishoni mtaumia,mtapendana lakini mwisho itawalazimu muachane tu,l have been in a similar situation na mwanamke na mwishowe wote tulipata maumivu makali.Pliz tafakari mdau!