bepari la kichaga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 528
- 516
Mpe papuchi tu Kwan kuna kingine unataka?Nifany nn sas maan nshindw kuelew tht wy nkaomb uxhaul wenu
Mpe papuchi tu Kwan kuna kingine unataka?Nifany nn sas maan nshindw kuelew tht wy nkaomb uxhaul wenu
Sijui kwanini walisema .....na malazi yawe safi, kwanini hawakuandika na "chakula kiandaliwe vizuri, na meza ya chakula ipambwe vizuri" Did they mean ndoa ni kulala tu bila kula?!!! Au?? Haaaah haaaaah....interesting!Mume wa MTU aheshimiwe! asiguswe! aachwe! hata kama anataka, asikubaliwe kwa msingi wa "ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi"
Ni kwa sababu malazi ndio msingi wa ndoa! Chakula hata kwa wazazi wake alikuwa anapata! Malazi ndio kila kitu kwenye ndoa!Sijui kwanini walisema .....na malazi yawe safi, kwanini hawakuandika na "chakula kiandaliwe vizuri, na meza ya chakula ipambwe vizuri" Did they mean ndoa ni kulala tu bila kula?!!! Au?? Haaaah haaaaah....interesting!
Mkuu uadui uko wapi hapo? Kwani hakuwezi kuwa na mapenzi kwa watu wanaochepuka? Tuachane na kuchepuka unataka kusema wale wanaooa mke zaidi ya mmoja kunakuwa hakuna mapenzi kwa mke wa pili?Duuu
Kweli adui wa Mwanamke ni Mwanamke mwenzie
Sio lazima amuache wa kwanza anaweza akamuoa na yeye wakawa wawiliMwambie kama kweli anakupenda, amuache mkewake na akuoe wewe.
Akikataa, basi kaa ukijua kwamba wewe ni mpango wa kando ama Nyumba ndogo
Yani vibinti chini ya miaka 20 mnapenda vibaya sana bila kushirikisha ubongo na mnasumbua sana.Nina umr wa miak 18
Na n mkristo
[emoji23] [emoji23] [emoji23].......you make my day mkuu!Bila shaka jamaa atakuwa ana hela,
manake haiwezekani kapuku akawa na jeuri ya kutongoza huku akijinadi kwamba ana mke wa ndoa na bado ukapendwa... Never
Akipewa mimba akakimbiwa atakua kajitakia hajajitakia hahaha...watu wenginr bana...na usitegemee akampenda milele...aliyempenda kamuweka ndn...zaidi atatumiwa km big g utamu ukisha ananunua nyingie....girls girls girls open ur eyesmrembo mtu ameshakwambia ameoa bado tu unataka kuwa naye??
Labda kama dini yenu inaruhusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ifkrBila shaka jamaa atakuwa ana hela,
manake haiwezekani kapuku akawa na jeuri ya kutongoza huku akijinadi kwamba ana mke wa ndoa na bado ukapendwa... Never
njoo kwangu mimi sina mkeNina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.
Sasa nifanye nini?
Naombeni ushauri wenu.
Pamoja sana, japokuwa ulipotea[emoji23] [emoji23] [emoji23].......you make my day mkuu!
Muslim muwe waislamu hapo mtafunga ndoa.Nifany nn sas maan nshindw kuelew tht wy nkaomb uxhaul wenu
Mh kigezo cha umri wala hakiitajiki hapa. Kwa akili zao zilivyo awe msichana, mdada au hata mmama usishangae kukutana na akili hizi.Sharifa una umri gani??labda tuanzie hapo
Endelea kumpendaNina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.
Sasa nifanye nini?
Naombeni ushauri wenu.