Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

hiv kwann nyny waschana ni wajinga kiasi hicho hiv mtu akikuambia kuwa anakupenda ndio ishara ya yy kukupenda,
ni kwann hasa mnajitengenezea mazingira ya kudanganywa
 
Nina umr wa miak 18
Na n mkristo
Nakuomba usiingie kabisa katika iyo ndoa,wape wadau iyo papuchi waitandike hamu yako yote iishe,una miaka zaidi ya saba hapo ulipo ya kuizungusha iyo papuchi,kwa kizazi cha sasa mwili wako ndio kwanza unawaka tamaa,usiingie humo nje kuna masomjo na maplay boy,sijajua shape yako ikoje lazima watakutamani ata uyo aliyetangaza ndoa kwako si mtu mzuri,atakugonga hamu ikimwishia analudi kwa mkewe,ndio mana kakwambia mapema kuwa ana mke ili akiludi kwa mkewe usishangae,miaka 18 sizani kama mb** tano zimefika.

Tulia kwa umri wako bad sana ingia kwenye ndoa ukiwa umeutumia ujana wako,ili siku ukiwa tayali kuwa mama was families hakuna cha ajabu kwako,utakuwa umecheza viwanja tofauti,tikitaka unaju,sarakasi unajua,mibomoko unajua,lkn uyo unaemuona sasa inawezekana kuna vingine ajui sasa ukikutana na fundi anaemia kutumia mswaki ndoa inavunjika kwa kuwa ulikuwa ujajiandaa.

Na usijidanganye et ukiolewa nje utoki weee,ndoa ni safari ndefu kuna kill aina ya matukio,kuna siku tu utateleza utaonja utaonja nyamafu hapo chacha,mimi naishia hapo niwaachie wenzangu.
 
Hivi vitoto huku kwetu vipo vingi tu, vinatukataa sie agemate wenzao alaf unasikia anatoka na mume wa mtu aaaaargh
 
Akili za Wanawake bana,,,mtu kakufuata na kakuambia ana mke wake bado ukakubali, mmeshachujuana Nafaka wee leo ndio unaomba ushauri.


Huyo kakuambia ana mke wake kabisa ili usimsumbue na likitokea la kutokea awe tayari alishakuambia ana mke. So vumilia kutumia na Side Chick ila anayempenda yuko Nyumbani
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.

Sasa nifanye nini?

Naombeni ushauri wenu.
Siku anakuambia anakupenda na ww ukajiridhisha kweli anakupenda??
Wht do u get in return because all in.all next level haiwez kua ndoa because he is already married
If u need money wala huna haja ya kuzunguka ungesema tu but this wht u r telling us is all drama(maoni yangu tu)
 
Una pepo wa ngono,ukaombewe na kumgeukia Mola wako akuondolee tamaa za ngono na kumtoa pepo wa kuvunja ndoa za watu.
Muombe Allah akupe wako wa kweli
 
Nini kinakuvutia zaidi kwake,ni uzuri wa sura yake(handsome man)au uwezo wake kiuchumi?.Unahatarisha maisha yako.Acha tamaa huyo ameshapendwa.
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.

Sasa nifanye nini?

Naombeni ushauri wenu.
hilo ni pepo unahitaji maombi likemewe kwa Jina la yesu,Eti naomba ushauri? wewe mtoto wakutojua ni zinaa hiyo.
acha zinaa acha kupenda penda wame za watu,huyo ulie mpenda anamke ndio kamfanya awe hivi,anamfulia ana mpikia na kumkeep soap soap wewe unataka vya mtelemko,tafuta wako umfanye Diamond

damn u
 
Back
Top Bottom