Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

Unajua wanawake hupenda mume wa mtu kwasababu hawana usumbufu wa kuwabana na kufatana muda wote, wakikutana ni kugegedwa tu then kila mmoja anapotea, wanakuwa huru muda wote, so huwatumia waume za watu kama kitega uchumi.

Aaaaa kwanzia 2016 kati kati hali ya hewa ilibadilika mbaya mnoo yaani upepo wa pesa umekuwa ukitoka chini kwenda juu yaani hata ada unaimulika kwa torch mchana kuwa kitega uchumi trip hii ukifanya mchezo utakimbia family ukiwa unaona

Huyu jamaa ni hatari skuiz watu wanazipenda family zao kwa dhati habari yakurudi saa nane haipo tena watu mko home saa tatu nne mnapiga story na watoto
 
Hata mimi siku nyingi nakupenda mrembo ila tu sikuweza kupata number.
Nakutumia Pm sasa ivi.
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.

Sasa nifanye nini?

Naombeni ushauri wenu.
Inawezekana hukielewa tafsiri ya neno anakupenda
Alikomba mzigo au anataka akuoe? Kama alikuomba mzigo siamini kama ulimnyima na kama ulimnyima basi subiri Wa kwako utapata mzuri zaidi yake
Ushauri wangu endelea kusoma
 
usilete upuuzi wako hapa, huyo unaesema unampenda alishapendwa na yeye alishapenda ndo maana wakaoana hivyo hizo zako ni hadithi za abunuasi
 
Nifany nn sas maan nshindw kuelew tht wy nkaomb uxhaul wenu
kama unampenda hakuna ubaya mnaweza mkaendelea na mapenzi yenu ilimradi uhakikishe usiharibu ndoa yake,
ukweli ni kwamba ndoa hizi ni ngumu sana,mtu lazima apate sehemu ya kupumzisha akili
 
Shosti una miaka 18 naona umewahi sana. Mpaka ufikishe 33 kama mimi si utakuwa mwehu? Nakushauli achana na wanaume soma form 6 matokeo yatoke chanya
 
Mume wa mtu ni tatizo, ckushauri... Kama ulivyompenda yeye utampenda mwingine ambaye hajao na Utajiuliza Kwann ulitaka kuharibu maisha yako... Nakushauri jiamini na kumshirisha Mungu, wakwako yupo!!
 
KUMPENDA MUME WA MTU SIO KOSA KOSA NI KUZINI NA MUME WA MTU CHUNGA USIJE UKAZINI NAYE MWENYEWE AKIJUA UTAKOMA.
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.

Sasa nifanye nini?

Naombeni ushauri wenu.
Love is a name,sex is a game,play the game and forget the dam name.
 
you may not have set out to fall in love with a married man, but there are times in life when even the most intelligent women find their emotions getting the better of them. Loving and dating a married man can be extremely painful and seldom works out well.

Here's my best advice and things to remember:

  1. Remember that his first priority will always be his children and his wife, no matter what he says.
  2. Do not sacrifice everything for him. Be independent. Go on dates with other men. Have other hobbies. He's not giving up everything for you, so you shouldn't give up everything for him either.
  3. Your relationship will change if he divorces his wife for you. It will not all be fun and games anymore.
  4. Make your relationship worth your time. Ask him to support you financially, or at least make sure you're getting as much out of it as you're putting in. Don't let him take advantage of you.
  5. Be honest with yourself. What you're doing is risky. Own up to the risk.
  6. Very likely, he will not leave his wife for you.
  7. No matter what he says, he's still having sex with his wife. Don't let your relationship with him keep you from seeing other people.
Point point point
 
Back
Top Bottom