Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.

Sasa nifanye nini?

Naombeni ushauri wenu.
Dah! Kwanza mshukuru kwa kuwa amekwambia wazi kaoa angekuwa kipanga angekula na kusepa. Pili hupendi kuwa na mumeo ambaye utakuwa naye huru? Maana hapo inaonyesha uta tayari kuwekewa ratiba
 
No matter how deep you think you love him, leave room in your mind to think straight.

Answer the many what ifs that are surely racing in your mind when you think about you and him in days/months/years to come.

What if he truly loves me? Will he leave his wife to be with me? And if he cannot be with me alone then am I ready and willing to share him?

What if he leaves his wife? Will he take his kids with him? Am I ready to raise the kids like my very own? Will I be able to live with the guilt of breaking a home?

What if he leaves the kids with their Mom? Will they suffer at the hands of a single Mom?

The what ifs could go on and on and on.

At the end of the day why dont you just opt out and say NO?
The guy must be loaded......and she is blinded.
 
Tafuta wa kwako. Achana na waumiza kichwa. Kwani kuna mda utampemda kwelikweli na yeye mapenzi atakuwa kayahamishia kwa mkewe. Be careful dear
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.

Sasa nifanye nini?

Naombeni ushauri wenu.
nimeoa zamani sana, na nimecheat na wanawake wengi sana, wengine hadi siwakumbuki, wakati huohuo nipo kwenye ndoa. lakini kati ya wote niliocheat nao, hakuna hata mmoja niliyempenda kumzidi mama watoto wangu, pamoja na kwamba niliweza kuwapenda lakini upendo wake hauzidi ule wa kwa mama watoto wangu. hivyo elewa kuanzia leo, mke ni mke, na mchepuko ni mchepuko tu, mke wa kwanza ni mke wa kwanza, ndio maana hata mtu akioa wake wengi siku akiugua akiwa hajiwezi kabisa hua anarudi kwa mke mkubwa akauguzwe....hivyo hata kama anakupenda, anaweza kuwa anakupenda kwasababu ya sura yako tu, lakini sio upendo kama ule alionao kwa mkewe...namaanisha hawezi kusacrifice mambo yake ya msingi sana kwaajili yako lakini anaweza kufanya hivyo kwa mke wake, wewe ni cha pembeni tu na upo 50 50 tu, siku akikuchoka hata kidogo tu hatahitaji ushauri toka kwa mtu kukutupa kwenye dampo tena kwa kuku cripple kabisa...wakati kumwacha mke wako hata kama umemchoka unahitaji ushauri na mashauri marefu sana. wanawake mnadanganywa sana halafu ndo maana Mungu alisema nyie viumbe dhaifu, kwasababu huwa tunawadanganya hadi tunawaonea huruma.

duniani hakuna kitu kinaitwa KUGAWANA UPENDO. hata wewe, huo mwanaume akiishi na wewe, akavunjika mgongo na kiuno hata kutikisika hawezi na unajua anaye mwanamke aliyetoka naye mbali aliyemuoa na kumthamini kabla yako, utamwambia aende kwa mkewe.
 
you may not have set out to fall in love with a married man, but there are times in life when even the most intelligent women find their emotions getting the better of them. Loving and dating a married man can be extremely painful and seldom works out well.

Here's my best advice and things to remember:

  1. Remember that his first priority will always be his children and his wife, no matter what he says.
  2. Do not sacrifice everything for him. Be independent. Go on dates with other men. Have other hobbies. He's not giving up everything for you, so you shouldn't give up everything for him either.
  3. Your relationship will change if he divorces his wife for you. It will not all be fun and games anymore.
  4. Make your relationship worth your time. Ask him to support you financially, or at least make sure you're getting as much out of it as you're putting in. Don't let him take advantage of you.
  5. Be honest with yourself. What you're doing is risky. Own up to the risk.
  6. Very likely, he will not leave his wife for you.
  7. No matter what he says, he's still having sex with his wife. Don't let your relationship with him keep you from seeing other people.
99.9% you are correct otherwise keeping on dating such man she might be having psychological problems & counselors have to take ON to rescue her before getting in TROUBLE.
 
kakuambia ukweli ila haimaanishi atakuoa maana ana mke yani hapo ni muwe mnatokaout mnashiriki sex kufurahi akuhudumie kama mchepuko ndio kukupenda huko il asio kuwa anakupenda uwe mke au uwe karibu sana aharibu ndani
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.

Sasa nifanye nini?

Naombeni ushauri wenu.
Angekua anakupenda asingekutajia kuwa ameoa, angehakikisha ameshakugegeda vya kutosha kwanza ndo baadae akishakuchoka angekutamkia, au angefanya chochote ujue ana mke.
 
Love is blind! Ko usiufuatemoyo wako tu... Tumia akili kuchanganua kinachotokea. Anampango gani nawe? Ni kwamba uwe mchepuko tu au anatako akuweke mke wa pili au vipi? Wengi hawawaachagi wake zao ko usijifariji sana ata akikwambia hivyo.
 
Hiii dunia bana alaf skuiz wanawake wakikuona na pete bas unakuwa deal mnabahati ingekuwa enzi zile 2yrs back cash ilikuwepo skuiz yaani mawazo tupu utampelekaje hotel maana saiv kutumia laki kwa siku na mtu ambae ni chombeza time huku ada hujamaliza za watoto inataka moyo kweli vyenye mwanzo huwa na mwisho pia

DADA ZETU SIO KWAMBA HATUWAONI KWELI MNAPENDEZA ILA MAISHA YAMEBANA TUNASHINDWA KUJIGAWA 🙁🙁🙁
 
Back
Top Bottom