Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

jiulize kama huyu angekuwa mume wako na mwanamke mwingine anamchukua ungeonaje ? watu kuchokana na wakaachana kwa wema ni kila mmoja akachukua njia yake ni sawa lakini huyu ana mtu nyumbani anamuita mke wake na anakuja kwako anakuambia anakupenda - huoni usaliti upo, huyu huyu anakusaliti na wewe .
 
Ufahamu ndio unaomtoa mwanadamu kutoka katika kundi la wanyama.......

Mwanadamu anapoacha kutumia fahamu...zake na kuacha matamanio yamtawale....basi huyo mwanadamu ameshajitoa katika kundi la wanadamu......

Ili kumtambua mtu wa aina hiyo sio mpaka uwe na uwezo mkubwa wa kusoma saikolojia....bali matendo yake ndio yatakayokushangaza na kukuweka mdomo wazi maana sio ya kawaida......

Na hili ni moja ya matukio ambayo sio ya kawaida.......

Use your brain....take contro of your life.....
 
Mpe gem akutwage kisawasawa hizo ni nye** zikiisha ndio utapata akili!.
Ila kumbuka usemi "mume wa mtu sumu"
Ukiutafakari kwa kina huweziiii kumchukua
 
Nina umr wa miak 18
Na n mkristo
Sio kosa lako......

Umri huo


Mwanangu achana na waume za watu...kwanza bado.mdogo...jitunze kama.unasoma tia bidii kwenye masomo
...


Utapata wako


Huyo mwanaume anakutamani tu....tena ukichunguza labda mkwe amejifungua anatafuta pa kupunguzia genye zake
 
Nimewaza tu hizi options ziko ngapi,na kama zipo nyingi kuna uspecial gani sasa kwenye hilo!!!
options iko moja tu ya yeye kutafuta mume wake aolewe hizi nyengine ni kutokana na ukwel ulivyo japokua hatuupend.
 
Usijewaza hata siku moja kuwa mume wa mtu anaweza kukupenda, anakutumia tuu mpendwa. We mwambie amwache mkewe akuoe wewe kama utamuona tena maisha yako yote, hawa watu wana vichwa viwili
 
Ni wapi ambako ana uhakika hatokuwa second option
Mwanamke huwa hana option kwa sababu unaopenda ni moyo na ndo unaoongoza akili ndio maana ukifanya jambo la kumuudhi utasikia umeuumiza moyo wangu na moyo unaharaka ya kulia
Ni vigumu sana mwanamke akipenda kumrudisha nyuma
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa.

Sasa nifanye nini?

Naombeni ushauri wenu.
Kipapa umempa?!
 
Mademu ndo maana wengi duniani wengine mmeletwa kuvunja ndoa za watu.. Sasa ww mtoto wa 1998 unataka uvunje ndoa ya MTU.
 
Mume wa MTU aheshimiwe! asiguswe! aachwe! hata kama anataka, asikubaliwe kwa msingi wa "ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom