me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,356
Habari za Asubuhi wakuu
Kwanza kabisa mm binafsi sijawahi kutoa post yoyote kwenye jukwaa hili ila Leo nimekuja kuomba ushauri, Mimi ni msichana mwenye miaka 25 nipo mbeya kikazi, mnamo Mwaka huu mwez wa 2, nilikutana na mwanaume tukaanza mahusiano na majuzi ameniweka wazi nia yake ya kutaka twende kwa wazazi akatoe mahali, Mimi sijamkatalia nimemwambia anipe muda , but the thing is yeye Ana umri mkubwa Kama 14 years mbele yangu, na Ana mtoto mmoja ,.. Naombeni ushauri wakuu nifanyeje au kwa wazazi huwa wanachukuliaje kumpeleka mchumba aliekuzid umri hivo .. Asanten