Naombeni Ushauri kuhusu utofauti wa umri katika mapenzi

Naombeni Ushauri kuhusu utofauti wa umri katika mapenzi

Nakushauri ongea na mama yako kwanza kama yupo. Tafuta ushauri kupitia yeye muulize kuhusu age na kukubalika kwake na kila kitu. una uhakika umemjua vizuri huyo bwana. maana wengi wenye watoto na Age zimeenda mara nyingi wanakuwaga maplayer wa chini chini na wanakuwa na wanawake wengi hasa akiwa na pesa.. mahusiano ya siri na wazazi wa watoto zao na je utaweza kumudu drama za baby mama's zao. kama umemchunguza yuko vizuri kitabia na utaweza kukaa na kufanya maisha nae go ahead. ila anza kuongea na Mama yako au Dada au Shangazi muulize..
Asante kwa ushauri
 
me nawaza uko mbele tu.

atakufa na kuniacha mjane muda mrefu.

ataingia uzeeni mapema, kudili na wazee inahitaji moyo.

atachoka mapema na kuacha Yale tuliyozoea kufanya wakati mimi bado nguvu zipo eg.outings

chumbani itakuwa majanga

kipendacho roho.....
Mmmh
 
Mmh!! 25 kwa 39... mmepishana sana... lakini wakati mnaanza mahusiano hujaliona hilo mpaka atake kukuoa ndiyo uone utafaiti mkubwa wa miaka...

Siyo vizuri..
Sikutegemea kwamba anaweza kuamua kunichumbia Mimi siku zote nikikutana na mwanaume siwazagi ndo at the first place inaenda end a kwanza ndo nakuwa na akili hizo so he just surprised me
 
Kitaalam umri kati ya wapenzi usizid miaka 5,kuna baadhi ya matatizo yanayoweza kujitokeza kama wapenzi wametofautian sana umri.
Matatizo hayo ni mtu mmoja kubaki mjane au mgani kwa muda mrefu,mtu mmoja kutaka kauli zake ziwe usemi wa mwisho hasa yule mwenye umri mkubwa kumfanya mwenzake kama hana mawazo mazuri kutokana na udogo wa miaka yake,Pia mpenzi mmoja kutoweza kushiriki tendo la ndoa kutokana na uzee hali mwingine akawa bado anatamani mambo haya.Nk
Lakini kama una amua kuwa na mpenz mkubwa sana kuliko wewe chaguo ni lako lakini baadae kutatokea shida kama hizo hapo juu.
Asante kwa ushaur
 
me nawaza uko mbele tu.

atakufa na kuniacha mjane muda mrefu.

ataingia uzeeni mapema, kudili na wazee inahitaji moyo.

atachoka mapema na kuacha Yale tuliyozoea kufanya wakati mimi bado nguvu zipo eg.outings

chumbani itakuwa majanga

kipendacho roho.....
ACHA UONGO MWANAMKE HATA AKIWA 50YRZ BADO ANAKUWA NA HAMU YA KUFANYA MAPENZI KAMA ULIKUWA HUJUI
 
Mmmmm!!!! ila wadogo nao sikuiz wamekuwa wanaume sulual wanatakd wamama wamama tu.
 
Habari za Asubuhi wakuu
Kwanza kabisa mm binafsi sijawahi kutoa post yoyote kwenye jukwaa hili ila Leo nimekuja kuomba ushauri, Mimi ni msichana mwenye miaka 25 nipo mbeya kikazi, mnamo Mwaka huu mwez wa 2, nilikutana na mwanaume tukaanza mahusiano na majuzi ameniweka wazi nia yake ya kutaka twende kwa wazazi akatoe mahali, Mimi sijamkatalia nimemwambia anipe muda , but the thing is yeye Ana umri mkubwa Kama 14 years mbele yangu, na Ana mtoto mmoja ,.. Naombeni ushauri wakuu nifanyeje au kwa wazazi huwa wanachukuliaje kumpeleka mchumba aliekuzid umri hivo .. Asanten

Miaka 14 sio mingi kiivo provided unaiona amani na furaha mbeleni na kama umelizika nae na upo tayari kua nae is more than enough,mi kwa umri wake nahis ata take care sana kwa familia coz kwake time ya kukua ishaenda. We are just advising but you are the one to decide.
 
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu[emoji122] [emoji122]
 
Olewa Tu ndugu..kwa Mie na wish ningeolewa na mwanaume alienizidi hata 20yrs..just wish its too late

kwa wewe kutakua na ups n down za huyo mama WA mtoto jipange kwa hilo
kwa mengine utapambana Tu uko uko hakuna kisicho na changamoto
.
 
Uongo mtupu,mtu anataka kukuia bado hajakutoa chupi?labda itakua jogoo hawiki au ni mchungaji au ni malaika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa mkuu niongope ili iweje? Huo ndo ukweli sio mlokole na ni mwanaume amekamilika kila idara
 
Olewa Tu ndugu..kwa Mie na wish ningeolewa na mwanaume alienizidi hata 20yrs..just wish its too late

kwa wewe kutakua na ups n down za huyo mama WA mtoto jipange kwa hilo
kwa mengine utapambana Tu uko uko hakuna kisicho na changamoto
.
Daah ahsante ndugu
 
Back
Top Bottom