Naombeni Ushauri kuhusu utofauti wa umri katika mapenzi

Mawazo yako bana.

Vifo husababishwa na vitu vingi sana, umri sio kwa sana.

Watu huzeeka kulingana na aina ya maisha na mazingira. Kuna watu umri umeenda, ila bado wanaonekana poa tu, na vice versa.

Kuhusu chumbani usijali sana, mtatumia Hugh Hefner's manual.

umri sio sana? mkibarikiwa kuishi hadi uzeeni, mimi Nina 60, yeye 74! comon!!! she'll be alone for a good 14yrs

kuzeeka sijaongelea physical appearance. wangapi wanakuwa hawajabadilika in a full 14yrs!

umri ukienda naturally tu vitu vingine vinakuchosha, kama alikuwa anapenda mziki bar ataona ni makelele tu.

tena na magonjwa siku hizi ndo kabisa bora hata zamani.

Hugh Hefner obviously anasaidiwa. itakuwa ni mwendo Wa maToys tu sasa. for a veeery long time for the woman. ile kitu kula nyezie is is irreplaceable.
 
Habari za Asubuhi wakuu
Kwanza kabisa mm binafsi sijawahi kutoa post yoyote kwenye jukwaa hili ila Leo nimekuja kuomba ushauri, Mimi ni msichana mwenye miaka 25 nipo mbeya kikazi, mnamo Mwaka huu mwez wa 2, nilikutana na mwanaume tukaanza mahusiano na majuzi ameniweka wazi nia yake ya kutaka twende kwa wazazi akatoe mahali, Mimi sijamkatalia nimemwambia anipe muda , but the thing is yeye Ana umri mkubwa Kama 14 years mbele yangu, na Ana mtoto mmoja ,.. Naombeni ushauri wakuu nifanyeje au kwa wazazi huwa wanachukuliaje kumpeleka mchumba aliekuzid umri hivo .. Asanten
Kama unampenda na untaka kutengeneza future nae na unaona malengo yako yatatimia sioni kama kunatatizo lkn kama unataka mabishoo tu wanjini wakochezee mpaka unazeeka, mkatae. ila ninachofahamu kwa uzoefu wangu ukifikia miak 30 hujaolewa imekula kwako, maana mtaali siku hizi walembo kibao na wanatafuta kuolewa.
 
Habari za Asubuhi wakuu
Kwanza kabisa mm binafsi sijawahi kutoa post yoyote kwenye jukwaa hili ila Leo nimekuja kuomba ushauri, Mimi ni msichana mwenye miaka 25 nipo mbeya kikazi, mnamo Mwaka huu mwez wa 2, nilikutana na mwanaume tukaanza mahusiano na majuzi ameniweka wazi nia yake ya kutaka twende kwa wazazi akatoe mahali, Mimi sijamkatalia nimemwambia anipe muda , but the thing is yeye Ana umri mkubwa Kama 14 years mbele yangu, na Ana mtoto mmoja ,.. Naombeni ushauri wakuu nifanyeje au kwa wazazi huwa wanachukuliaje kumpeleka mchumba aliekuzid umri hivo .. Asanten
Kwani unaandikwa katka paji la uso??? Unataka kuolewa au kuandikisha sensa ya watu na makazi???

"Mkuu niko mbeya mm naomba tufahamiane"
 
Back
Top Bottom