Naombeni ushauri juu ya matatizo haya ya ndoa

Kaka yangu anayeishi Tabora yuko kwenye ndoa kwa miaka 10 sasa!

Mwaka jana alifanikiwa kuongeza biashara zake!Tatizo linaloisumbua familia ni kuwa kila kipato kilipokuwa kikiongezeka na tabia ya shemeji imebadilika sana!Heshima hakuna tena!Kaka anapigwa na mkewe Kama mtoto!

Ndani hakuna amani!Shemeji amekuwa akitishia kuwa akiachwa tu lazima Mali igawanywe pasu kwa pasu!Ameshajiunga na kwenye umoja eti wa kutetea haki za wanawake!Ninaomba wanasheria mnijuze hivi "haki" za mume kwenye ndoa ni zipi?

Tumeshakaa sana vikao vya kusuluhisha vinavunjwa na shemeji kwa kukosa nidhamu!Msaada wadau ni kitu serious!Tumejaribu kumshauri kaka aende hata kuripoti Polisi hasa anapopigwa lakini sijui kuna shida gani hapo maana anaona "aibu"
Kiongozi iko hivi kama mmejaribu kukaa na kusuluhisha kuhusu ndoa ya kaka na mke anahatibu vikao maana yake kuu ni kwamba haitaji kubadilika na kuwasikiliza.

Bhas mnapaswa kufwa hatua zingine za kisheria kwa kuenda katika mabaraza ya usuluhishi kama ni waislamu unaanzia bakwata kama wakristo bila shaka kanisani. IKISHINDIKANA PIA HAPA watapewa barua ya kushindikana kwa utatuzi wa jambo lao na hapo sasa anaweza kuchukua hatua nyingine ya kwenda USTAWI WA JAMII ili kuomba usuluhishi wa jambo hilo kwa kueleza vizuri juu ya mwanamke kumpiga mume na kumtishia hivi na vile itakapo shindikana bhasii swala lao litafikishwa sasa Mahakamani moja kwa moja hapo mahakama itachukua hatua stahiki kwa kuangalia ushahidi madhubuti baina ya pande zote mbili.
Kama mahakama itajiridhisha kuwa mwanamke anamatatzo bhasi itafanya mchakato wa talaka.

Na hapo hamna jinsi mgao utakuwepo.
CHA MUHIMU NI KWAMBA KAKA AJITAHIDI KUTOA USHAHID MZURI KUWA MKE ALIKUWA NA DHAMIRA YA KUTAKA TUACHANE ILI AJIPATIE MALI KWA KUWA SASA MALI ZIPO.
Akizingatia hayo bhasi mahakaman itaangalia hilo kwa kina na katika kufanya mgao.

USHAURI.
Wanaume tusikae kimya kwa kuvumilia matendo ya kikatili tunayofanyiwa na wenza wetu kwa kukweza kuwa mwanaume hapaswi kulalamika. HAPANA.
Kuna taratibu za kufuta na Dawati la Ustawi wa Jamii lipo kwa jinsi zote Me &Ke na sio wanawake tu.

TUCHUKUE HATUA TUVUNJE UKIMYA

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Ninakushukuru sana kwa ushauri mzuri,nitaufanyia kazi
 
Huna cha kumsadia huyo kaka yako

Km hadi mwanamke anampiga naweza nika imagine ni zezeta wa kiasi gani

Ukishakuwa zezeta lazima mwanamke akuendeshe hapo ni kaka yako mwenyewe siku amzibue bongee la bao la kwenye sikio mpk mwanamke apepesuke aende chini mzima mzima na ndo siku mkewe atajua nyumba ina utawala wa sheria otherwise acha aendelee kushikwa matako.
 
Mwambie Kaka yako afungue account benki kwa jina la mtu mwingine anayemuamini,kisha awe anahamishia hela zake huko kwa siri,akimaliza hilo kinachofuata ni kumtwanga talaka tu huyo mkewe,

Kauli ya mkewe kusema akiachwa watagawana mali ina maanisha kua huyo mke anathamini zaidi mali kuliko ndoa yake,huyo hafai,anaishi na Kaka yako kimwili tu ila akili yake haipo kwenye hiyo ndoa,

Hakuna cha kupatanishwa hapo,huyo hawezi kubadilika ndani ya nafsi yake,

Life is very short,kwanini Kaka yako aishi maisha ya mateso? Mke jeuri huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe,piga chini huyo ili akayaone maisha huko mbeleni,

Na kwa akili ya huyo mkewe hata wakigawana mali yeye hawezi kuendelea kabisa,na kitakachofuata ni majuto mjukuu.
kunywa soda nakuja kulipa,ushauri konki
 
Si aue hizo biashara zote kubabaake...... Atume watu wakope tu vitu na Kisha yeye anavipokea anahamisha.

Mbinu nyingine unaua biashara mwenyewe kidogo kidogo.

Au akopee mkopo benki then dhamana ziwe biashara na nyumba. Halafu anapotea.

Au atume watu waend her life.

Au aende kwa mganga ammalize.

Option ni nyingi kinachotakiwa ni ujasiri wa kufanya.
Good,mwanamke Kama huyo dawa unammaliza kabisa,huyo Ni shetani,haki yake Ni kifo tu
 
  • Thanks
Reactions: rr3
Back
Top Bottom