Naombeni ushauri juu ya matatizo haya ya ndoa

Nadhani ungeniuliza anampigaje??Kaka yangu yuko njema kwenye hiyo field,tatizo anamvizia!Hata wewe mtu akikuvizia akakumwagia maji ya moto ukiwa umekaa sebuleni bila kujiandaa au akaja na fimbo na kukushitukiza utajitetea sawa lakini hadi unafanya hivyo tayari alishakucharaza barabara!Pia kumbuka Shem anamcharaza huku anapiga kelele yeye,majirani wakija wanakuta anayelia ni mwanamke
Kwahiyo kaka yako anaogopa kuonekana anampiga mke ni bora aonekane yeye kapigwa🙄🙄.
Anashindwa nini kumdunda kisawasawa mke wake na amtimue mke aende zake? Kama ni mahakamani talaka itafuata baadae.
Inawezekana shemeji yako ndo mtafutaji zaidi ya kaka yako, au anafurahia kudundwa, au karogwa
 
Wewe Ndugu mleta post, Mwachanisheni kaka yenu na huyo mwanamke wake, kama wana watoto na nyumba, Kaka yenu amwachie huyo mama na watoto ili aondokane kwenye hicho kifungo chenye jina la Ndoa, kwa kweli Ndoa haiko hivyo.
Hata kama wana hela lakini maisha ya yenye utulivu ni mazuri kuliko hilo seke seke.
Asante kwa ushauri!Nitaufanyia kazi
 
Tatizo ana watoto
Waacheni basi walee watoto wao kwa style yao. Kaka yako anasound Kama mke anaepata mateso kwenye ndoa na hataki kuachika sababu ya kuona aibu au kwa kisingizio cha watoto.
Pia inaonyesha Kaka yako anaogopa kuanza upya anaona hawezi ishi bila mke wake huyo.
Watu wa design hiyo hawashauriki, wanafunguka akili baada ya kuteswa kisawasawa. Mkiwaachanisha utashangaa wamerudiana
 
Ana watoto watatu!Amefungua biashara zake mkoa mwingine ambako hajajenga Ila amepanga nyumba lakini shemeji anamfuata huko na kumfanyia fujo!Anadai anataka amilikishwe Mali za Tabora!
Pole sasa mwambie abadilishe mfumo wa maisha .moja afungue account za benki kwa siri pili ajiandae kuachana nae baada kumbana kiuchumi wanawake wa sasa ni mashetani sana hawana jema .pili naomba nitafute dm kuna jambo haliko sawa kwa bro wako
 
Nakushukuru kwa ushauri!Kuna kitu kipya nimejifunza kwako!Kuhusu kufungua akaunti benki ninaomba unielimishe kwa mfano Mimi nina akaunti za akiba benki za NMB na CRDB,kwa ajili ya mambo yangu ya kibiashara je,ninaweza kwenda na kufungua akaunti zingine tena?
 
Tatizo umegusia sehemu moja tu ya matatizo ya hiyo ndoa,issue sio Mume kupigwa tu bali mwanamke kuwaza mali kuliko ndoa yake,

Huyo Mwanamke huenda hana mapenzi na Mumewe,ama ana tamaa ya mali zaidi kuliko ndoa yake,au kuna mtu anamrubuni kuhusu hizo mali,na wanawake wa aina hii mara nyingi hata wakipewa hizo mali hua hawafiki mbali,si ajabu akipewa hizo mali nae ataenda kumpa/kumhonga mtu aliyemrubuni na hapo ndipo mateso na majuto huanzia.
Sina ushauri nimeamua kuzingua tu Icebreaker wangu mie.
 
Waacheni basi walee watoto wao kwa style yao. Kaka yako anasound Kama mke anaepata mateso kwenye ndoa na hataki kuachika sababu ya kuona aibu au kwa kisingizio cha watoto.
Pia inaonyesha Kaka yako anaogopa kuanza upya anaona hawezi ishi bila mke wake huyo.
Watu wa design hiyo hawashauriki, wanafunguka akili baada ya kuteswa kisawasawa. Mkiwaachanisha utashangaa wamerudiana
Asante kwa ushauri wako ingawa kuna mengi huyajui kwani sikuona sababu kuyaelezea humu!Kiufupi hata katika hayo madawati ya jinsia wamefika!Kumbuka madawati hayo yamejikita katika kusuluhisha na kuunganisha!Wakiwa huko Shem huomba hadi msamaha wakifika nyumbani muziki unaanza upya!
 
Haya pambaneni.
 
Kaka yako hovyo kabisa anyway itakua ni dini flan hayo mambo kwetu hayapo kabisa ..afu unanyanyaswa na mali zako wtf.chukua watoto piga chini ilo jini litakua lina kiben 10 chake ndio anapelekeshwa nacho
 
Mwambie Kaka yako afungue account benki kwa jina la mtu mwingine anayemuamini,kisha awe anahamishia hela zake huko kwa siri,akimaliza hilo kinachofuata ni kumtwanga talaka tu huyo mkewe,

Kauli ya mkewe kusema akiachwa watagawana mali ina maanisha kua huyo mke anathamini zaidi mali kuliko ndoa yake,huyo hafai,anaishi na Kaka yako kimwili tu ila akili yake haipo kwenye hiyo ndoa,

Hakuna cha kupatanishwa hapo,huyo hawezi kubadilika ndani ya nafsi yake,

Life is very short,kwanini Kaka yako aishi maisha ya mateso? Mke jeuri huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe,piga chini huyo ili akayaone maisha huko mbeleni,

Na kwa akili ya huyo mkewe hata wakigawana mali yeye hawezi kuendelea kabisa,na kitakachofuata ni majuto mjukuu.
Tena hawa wanawake wa aina hiyo. Hata wakigawana hafiki miaka mi2 kila kitu amemaliza kutafuna na vibenten. Ksbb hata biashara hawajui,wanachojua wao ni kutumia tu
 
Sio jipya, wenzio tunadundwaga tunaambiwa tuvumilie ni kawaida. Na kaka yako ni mvumilivu ndo maana yupo na mke wake hadi sasa hivi. Tatizo ni wewe ndugu mchonganishi
Hahahahah yani ww msela kupigwa unaita uvumilivu😂😂😂😂😂
 
Kaka yako hovyo kabisa anyway itakua ni dini flan hayo mambo kwetu hayapo kabisa ..afu unanyanyaswa na mali zako wtf.chukua watoto piga chini ilo jini litakua lina kiben 10 chake ndio anapelekeshwa nacho
Asante kwa ushauri wako nimeuchukua
 
Kwahiyo kaka yako anaogopa kuonekana anampiga mke ni bora aonekane yeye kapigwa🙄🙄.
Anashindwa nini kumdunda kisawasawa mke wake na amtimue mke aende zake? Kama ni mahakamani talaka itafuata baadae.
Inawezekana shemeji yako ndo mtafutaji zaidi ya kaka yako, au anafurahia kudundwa, au karogwa
Kaka ana roho ya kike huyo😅😅siku mke akinletea ujinga kipigo ntachompa ni zaidi ya mbwa koko ntamvunja mikono yote 😅😅😅 na mdomo unaopiga kelele ntauharibu vibaya sana
 
Back
Top Bottom