Naombeni ushauri: Ananiacha kisa sijui kusex

Naombeni ushauri: Ananiacha kisa sijui kusex

Salamu wana JF, mi ni msichana nina mchumba wangu ambaye tumekua tukigombana kila mara sababu za ajabu ajabu tu. Ni mwanaume wa kwanza kuamua kumvulia nguo japo hatujafanikiwa kusex kutokana na mimi kutokujua chochote kuhusu sex na kwa sababu pia ni bikra. Mpenzi wangu haniheshimu hata kidogo ni kunisema tu mwanamke gani hajui mapenzi. Moyoni naumia sana sina tu jinsi.

Pia mpenzi huyu hataki kabisa tukachek afya,kila mara namsumbua tukachek afya ili tuwe free kwenye swala la sex kwani hata mara ya kwanza nilikua nakataa kusex ili tuchek afya kwanza ila akanilazimisha kitu ambacho uume haukufanikiwa hata kuingia.

Toka juzi tumegombana kisa tu alitaka aje kulala kwangu nkawambia unaonaje tukachek afya, akaniambia hana munkari wa kuhangaika kucheki afya na mtu asiyejua kusex. Niliumia sana mpaka sasa naumia sana kwani nampenda sana lakini ndo ivo tena. Mpaka ninavoandika hapa hatuko kwenye maelewano.

Naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nini maana nikingalia nimejitunza sana na sasa umri umeenda.


NB: Sio mtu wa kuendekeza sex, kupima anasema tusubirie mda wa ndoa.

Nifanyeje jamani nianze tu kumtafuta mimi na kujifanya mimi ndo nimekosea maana naumia mwenenu.

We bikra huna sema unaogopa kumpa jamaa labda ishataluniwa vya kutosha na ulimuahidi jamaa kuwa upo virgin,
 
wanawake wengi wenye bikra feki hawana nidhamu wana viburi,wachoyo na wabinafsi sana wana fikiri bikra ndio tabia njema na aliyevunjwa mapema ni malaya which is wrong .....mm haijalishi umepekechwapechwa character yako ikoje...
 
hongera sana kwa kuwa bikira, sasa kwa taarifa yako ni kwamba huyo mpenzi wako yeye ndo hajui kusex kwani ameshindwa kuvunja bikira eti uume hauingii ? hahahahahahahahahaha jamani kuna mambo huku dunian
kama angekuwa anaingiza ndoo kweli haitaingia ila uume ? unaingia sana tu, mwambie hata yeye hajui kufanya sex mbona kashindwa kuingiza sasa

ha ha ha, we noma
 
ndo umeamua ujiuzishe sura kabisa utadhani amesema anataka mume!

Kwa Nini mwanaume unaacha mdomo wazi muda wote hivi??? na umekaa kama vile sehemu ya makalio ina jehara una ji support na mkono?? Pia kwa kuangalia maandishi yako kwenye hilo daftari la form 2 inanionyesha kichwani mweupe.

 
Dadaangu Huyo Ni Muhun Na Hana Nia Ya Dhati Na Wewe Cha Msing Achana Nae Na Ukimng'ang'ania Utajuta
 
watoto wa shule ya msingi wenyewe hawana bikra itakuwa wewe una geto kabisa?
 
una umri gani? pengine una weza pata zawadi kutoka kwangu...
 
acha kupendapenda subiri upendwe wewe umependa mpuuzi kuanzia leo achana naye.subiri upendwe
 
Bac anajiugonjwa kwann akatae kupima afya?na we bi shost bikra unakaa kwko?una miaka mingap?umejitunza ila mana wengine zilitoka tangu darasa la 2,lol!
 
hebu niPM kwanza maana kuna mambo mengine ni binafsi zaidi...
 
Achana na huyo jamaa kama hataki kwenda kupima, na inaonekana hana hakika na afya yake.
 
Mtu aliyejiheshimu na kujitunza lazima awe nayo bikra kwani unafikiri wote ni wasasambuaji hadharani?
kwa mara ya kwanza naskia bikra anaishi kwakwe karne hii!! Anyway suburi waliotolewa bikra waje kukupa darasa!
 
Voil hebu kuja huku uone kitu nilichokuwa nakwambiaga siku nyingi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom