Naombeni ushauri: Ananiacha kisa sijui kusex

Naombeni ushauri: Ananiacha kisa sijui kusex

duuhh, ambae hajui kusex ni huyo mwanaume wako. nijuavyo mie, bikra ikifikia hatua ya kuvua nguo basi hadi unavaa tena status yako inakuwa ishabadilika lol.
 
Aisee wewe jamaa hataki kupima kwa nini? Shauri lako utakaa muda wote huo na huo u bikra kisha ukanyage waya siku ya kwanza God forbid! I hope mnatumia condom
Halafu wewe kinakuuma nini mpaka unalia kwa jitu jinga hivyo halikuheshimu, linashindwa hata kutoboa bikra khaaa...!
Wapi Excel aje huku amalize issue hii lol
 
humu kuna watu washaahidi mpaka millioni kwa.bikra...lazima.PM zijae
 
Hakupendi na cku mkisex tu anakuacha, hamjawahi kusex anajuaje hujui sex. Mwambie avumilie mpaka muoane na hapo ni baada ya kupima afya.
 
Dada angu unakubalije kusex na mtu anaekataa kupima?? Huyo ni muhuni na akifanikiwa atakuacha nakuomba kwa kulinda uhai wako usikubali kufanya hivyo bila kupima utakuja kujutia baadae,PLEASE DON'T DO THAT EVER atakuua na Ukimwi
 
Biashara matangazo. Sipati picha PM yako itakavyojaa message.
 
Mkapime wakati wa ndoa? Basi mwambie asubiri mpaka ndoa. Ndo m-do.
 
dada hiii ni promo pm yako itajaa mabazazi huku ni wengi kusikia tuu bikira wanachanganyikiwa

jitunze hiyo ndo zawadi ya kumpa mumeo,achana nae wala usifikirie huyo anataka kukutoa bikira tu hana lengo na wewe
 
Watu wana uchu na bikra, lol... hadi wanaweka identities za picha ili kuongeza uwezekano wa kuipakua bikra....
 
Teh... Afya..???? Kwa mtonyo gani...???? Labda iwe kuna safari ya kwenda mbinguni ndo nitapima...... Yanini kujitafutia stresss....????

Usipopima ndo stress zitaisha....!
 
Asanteni wote mlionishauri name naahidi kufuata ushauri wenu, natamani kumjibu kila mmoja kulingana na post yake lakini nipo ofisini kazi zimenibana. Mungu awabariki sana and I am asking for your prayers. THANKS.
 
Njoo nikufunze uwe zaidi ya porn star mwaya
 
yaani kupima ndio msubiri mpaka ndoa ila kukudinya akudinye sahivi. stuka bidada.
 
dada hiii ni promo pm yako itajaa mabazazi huku ni wengi kusikia tuu bikira wanachanganyikiwa

jitunze hiyo ndo zawadi ya kumpa mumeo,achana nae wala usifikirie huyo anataka kukutoa bikira tu hana lengo na wewe
miss u.................!!
 
Back
Top Bottom