excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,449
- 17,918
Teh teh teh teh mnatishika na bambataa!!!!
Ebu acha kumwaga mchele kweny kuku wengi bhana. ...unataka kutoa siri za kwenye rum tena?
nimekuthoma... nimekuthoma thana mamii..!
ngoja niongeze sauti ya woofer langu watu wasistuke nakufanyana nini!