Naombeni ushauri: Ananiacha kisa sijui kusex

sasa ndugu yangu ini bora uachane naye huyo yaelekea ana wasiwasi na afya yake na isitoshe labda uenda akakubemenda mkwanja wa kifo hivyo kuwa makini nae usijepelekwa :rip: huku unahitajika hapa mmu kuleta heshima

Salamu wana JF, mi ni msichana nina mchumba wangu ambaye tumekua tukigombana kila mara sababu za ajabu ajabu tu. Ni mwanaume wa kwanza kuamua kumvulia nguo japo hatujafanikiwa kusex kutokana na mimi kutokujua chochote kuhusu sex na kwa sababu pia ni bikra. Mpenzi wangu haniheshimu hata kidogo ni kunisema tu mwanamke gani hajui mapenzi. Moyoni naumia sana sina tu jinsi.

Pia mpenzi huyu hataki kabisa tukachek afya,kila mara namsumbua tukachek afya ili tuwe free kwenye swala la sex kwani hata mara ya kwanza nilikua nakataa kusex ili tuchek afya kwanza ila akanilazimisha kitu ambacho uume haukufanikiwa hata kuingia.

Toka juzi tumegombana kisa tu alitaka aje kulala kwangu nkawambia unaonaje tukachek afya, akaniambia hana munkari wa kuhangaika kucheki afya na mtu asiyejua kusex. Niliumia sana mpaka sasa naumia sana kwani nampenda sana lakini ndo ivo tena. Mpaka ninavoandika hapa hatuko kwenye maelewano.

Naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nini maana nikingalia nimejitunza sana na sasa umri umeenda.

NB: Sio mtu wa kuendekeza sex, kupima anasema tusubirie mda wa ndoa.

Nifanyeje jamani nianze tu kumtafuta mimi na kujifanya mimi ndo nimekosea maana naumia mwenenu.
 
Dada acha kujiumiza; huyo anachotaka kwako ni akulale tu and nothing else. Ukimuendekez na kukubali mlalane utakuja kujuta maisha yao yote,hapo hakuna mapenzi bali tama za mwili tu. Hebu jiulize, kwanini anapiga chenga kucheki afya, mbona wewe uko tayari lkn yeye anaogopa?

Hana mapenzi na wewe ila anakutamani, ukimpa tu imekula kwako maana inapendeza sana kuoana na aliyekubikiri ila apo huyo jamaa ni malaya tu, vinginevyo asingeogopa kupima.
 
Sorry mkuu, ila naamini mtu akibadili username, labda hataki kuwa yule wa zamani au hataki mtu fulani amtambue, hivyo nashangaa kuona unajitambulisha tena kwa jina la zamani..Nadhani bora urudie jina lako la zamani.
mkuu unajua nimemtambuaje? hakubadili avatar... sasa nikabaki nashangaa mbona huyu ni mrembo fulani hivi aliyekuwa akinitishia maisha kwa bambataa? lols!

basi nikawa namvutia uzi mdogo mdogo, hatimae nikamvuta ndani rum bana!.. lols!

cc. Rapunzel
 
Last edited by a moderator:
Kweli biashara matangazo, Jana kaja mtu anasema yeye ana mpododo hatari, Leo kaja mtu anasema yeye ni bikra, sijui kesho kutakuwa na mpya gani? Is matter of time..ngoja tusubiri hii ndio JF
 
kwani una share mkuu?.. niambie nitimke aiseee!

copy to.. Rapunzel

kasi ya mtandaoni imeshuka sana, infwakt umekua adim. Vip mambo bwa mdg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hivi hawa watoto hata kama wamefunga shule, hata tuition hawaendi?
 
Salamu wana JF, mi ni msichana nina mchumba wangu ambaye tumekua tukigombana kila mara sababu za ajabu ajabu tu. Ni mwanaume wa kwanza kuamua kumvulia nguo japo hatujafanikiwa kusex kutokana na mimi kutokujua chochote kuhusu sex na kwa sababu pia ni bikra. Mpenzi wangu haniheshimu hata kidogo ni kunisema tu mwanamke gani hajui mapenzi. Moyoni naumia sana sina tu jinsi.

Pia mpenzi huyu hataki kabisa tukachek afya,kila mara namsumbua tukachek afya ili tuwe free kwenye swala la sex kwani hata mara ya kwanza nilikua nakataa kusex ili tuchek afya kwanza ila akanilazimisha kitu ambacho uume haukufanikiwa hata kuingia.

Toka juzi tumegombana kisa tu alitaka aje kulala kwangu nkawambia unaonaje tukachek afya, akaniambia hana munkari wa kuhangaika kucheki afya na mtu asiyejua kusex. Niliumia sana mpaka sasa naumia sana kwani nampenda sana lakini ndo ivo tena. Mpaka ninavoandika hapa hatuko kwenye maelewano.

Naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nini maana nikingalia nimejitunza sana na sasa umri umeenda.

NB: Sio mtu wa kuendekeza sex, kupima anasema tusubirie mda wa ndoa.

Nifanyeje jamani nianze tu kumtafuta mimi na kujifanya mimi ndo nimekosea maana naumia mwenenu.

achana naye siyo mstaarabu. .wakwako atakuja tuu at the right time na hatakujaji. kwa lolote
 
Hivi nyie wanawake akili zenu nani kawaahikia?

Kuna cha kuomba ushauri hapa?

Ni dhahiri kuwa hupendwi

Halafu hauhurumii afya yako?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Salamu wana JF, mi ni msichana nina mchumba wangu ambaye tumekua tukigombana kila mara sababu za ajabu ajabu tu. Ni mwanaume wa kwanza kuamua kumvulia nguo japo hatujafanikiwa kusex kutokana na mimi kutokujua chochote kuhusu sex na kwa sababu pia ni bikra. Mpenzi wangu haniheshimu hata kidogo ni kunisema tu mwanamke gani hajui mapenzi. Moyoni naumia sana sina tu jinsi.

Pia mpenzi huyu hataki kabisa tukachek afya,kila mara namsumbua tukachek afya ili tuwe free kwenye swala la sex kwani hata mara ya kwanza nilikua nakataa kusex ili tuchek afya kwanza ila akanilazimisha kitu ambacho uume haukufanikiwa hata kuingia.

Toka juzi tumegombana kisa tu alitaka aje kulala kwangu nkawambia unaonaje tukachek afya, akaniambia hana munkari wa kuhangaika kucheki afya na mtu asiyejua kusex. Niliumia sana mpaka sasa naumia sana kwani nampenda sana lakini ndo ivo tena. Mpaka ninavoandika hapa hatuko kwenye maelewano.

Naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nini maana nikingalia nimejitunza sana na sasa umri umeenda.

NB: Sio mtu wa kuendekeza sex, kupima anasema tusubirie mda wa ndoa.

Nifanyeje jamani nianze tu kumtafuta mimi na kujifanya mimi ndo nimekosea maana naumia mwenenu.

Huyu kaka nia yake ilikua ni kukutoa usichana wako. Pengine ulimtangazia kuwa wewe hujaguswa naye alitaka kuwa wa kwanza. Mapenzi ya dhato ni zaidi ya kujamiiana!
*Afu binti umejitunza sana; kwanini ukubali kufanya ngono uzembe ilihali unajua kuna vituo wanapima tena buree? Inamana ukipima sasa ukakuta una gonjwa lolote la STD( Mungu pishilia mbali UKIMWI) utafanyaje? Hapo utakua umekosa mengi zaidi ya penzi. Kapime kwanza na ukijikuta upo safi basi uwe makini next time. Wanaoambukizwa wanapata kwa jinsi hii hii hakuna ingine.
 
Hilo janaume jinga sana, eti hujui kutombana, lenyewe ndio halijui linakusingizia wewe mwana wa watu ili kuficha aibu yake,,kwanza lina virus hilo,
Mwaya usimpe papuchi yako mpaka mkapime na kama hataki kwenda kupima achana nae, atakuja kukupa majuto ya milele,
Janaume zima Hovyooooo
 
Salamu wana JF, mi ni msichana nina mchumba wangu ambaye tumekua tukigombana kila mara sababu za ajabu ajabu tu. Ni mwanaume wa kwanza kuamua kumvulia nguo japo hatujafanikiwa kusex kutokana na mimi kutokujua chochote kuhusu sex na kwa sababu pia ni bikra. Mpenzi wangu haniheshimu hata kidogo ni kunisema tu mwanamke gani hajui mapenzi. Moyoni naumia sana sina tu jinsi.

Pia mpenzi huyu hataki kabisa tukachek afya,kila mara namsumbua tukachek afya ili tuwe free kwenye swala la sex kwani hata mara ya kwanza nilikua nakataa kusex ili tuchek afya kwanza ila akanilazimisha kitu ambacho uume haukufanikiwa hata kuingia.

Toka juzi tumegombana kisa tu alitaka aje kulala kwangu nkawambia unaonaje tukachek afya, akaniambia hana munkari wa kuhangaika kucheki afya na mtu asiyejua kusex. Niliumia sana mpaka sasa naumia sana kwani nampenda sana lakini ndo ivo tena. Mpaka ninavoandika hapa hatuko kwenye maelewano.

Naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nini maana nikingalia nimejitunza sana na sasa umri umeenda.

NB: Sio mtu wa kuendekeza sex, kupima anasema tusubirie mda wa ndoa.

Nifanyeje jamani nianze tu kumtafuta mimi na kujifanya mimi ndo nimekosea maana naumia mwenenu.

tupa kule hakufai huyo
 
Hapa unaichanganya sasa..unasema umemvulia nguo ila hamja-sex..asa apo ulimvulia ili nini.Kama hamjatiana anawezaje kukulaumu hujui kutiana ilhali hamjapiga kazi au ndo Ushigongo?
 
Fanya hivi. Nivutie waya +254717174271, halafu utajua vile vya kufanya. Au sio?
 
Salamu wana JF, mi ni msichana nina mchumba wangu ambaye tumekua tukigombana kila mara sababu za ajabu ajabu tu. Ni mwanaume wa kwanza kuamua kumvulia nguo japo hatujafanikiwa kusex kutokana na mimi kutokujua chochote kuhusu sex na kwa sababu pia ni bikra. Mpenzi wangu haniheshimu hata kidogo ni kunisema tu mwanamke gani hajui mapenzi. Moyoni naumia sana sina tu jinsi.

Pia mpenzi huyu hataki kabisa tukachek afya,kila mara namsumbua tukachek afya ili tuwe free kwenye swala la sex kwani hata mara ya kwanza nilikua nakataa kusex ili tuchek afya kwanza ila akanilazimisha kitu ambacho uume haukufanikiwa hata kuingia.

Toka juzi tumegombana kisa tu alitaka aje kulala kwangu nkawambia unaonaje tukachek afya, akaniambia hana munkari wa kuhangaika kucheki afya na mtu asiyejua kusex. Niliumia sana mpaka sasa naumia sana kwani nampenda sana lakini ndo ivo tena. Mpaka ninavoandika hapa hatuko kwenye maelewano.

Naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nini maana nikingalia nimejitunza sana na sasa umri umeenda.

NB: Sio mtu wa kuendekeza sex, kupima anasema tusubirie mda wa ndoa.

Nifanyeje jamani nianze tu kumtafuta mimi na kujifanya mimi ndo nimekosea maana naumia mwenenu.

Weeeraaa weraaaa! njoo kangu mi niko tayari tukapime
 
Katoty kwa maisha ya leo huwezi kujamiana bila kupima. Tena kama ni mtu wako wa maisha ni lazima. Huyu mwanaume inaelekea si mwaminifu. Niruhusu nikuambie kuwa hakufai. Na kama ukimkubali bila kupima jua siku anaiweka mbiro kwa K ni vvu umebeba.
 
Back
Top Bottom