Naombeni ushauri: Ananiacha kisa sijui kusex

Naombeni ushauri: Ananiacha kisa sijui kusex

mkuu unajua nimemtambuaje? hakubadili avatar... sasa nikabaki nashangaa mbona huyu ni mrembo fulani hivi aliyekuwa akinitishia maisha kwa bambataa? lols!

basi nikawa namvutia uzi mdogo mdogo, hatimae nikamvuta ndani rum bana!.. lols!

cc. Rapunzel

Teh teh teh teh mnatishika na bambataa!!!!
Ebu acha kumwaga mchele kweny kuku wengi bhana. ...unataka kutoa siri za kwenye rum tena?
 
Last edited by a moderator:
Ntaongea na moderator anitumiea PM zako nihakiki hili...hahahaha
Amenifurahisha alivyokubali haraka...nkajiuliza yale maswali ya haraka haraka.........ambayo siyo busara kuyaandika.

Weweeee!!! mahaba niue utamu niongezee.....
 
Thank you hun..love uuu mwaaah!!!! Excel sikutaki tena wewe hard disc yako imejaa lol
Inabidi yule dada aliyeniamsha leo kavaa khanga moja na kuniacha namawazo, aje tena kesho....Naona nyota iko vizuri.
 
Mwache aende zake wewe sio sex machine,,,,, na kajuaje hujui kusex wakati we bikra!!!!!!!!
 
watu wangu wanakufa kwa kukosa maarifa
ukimvulia bila kupima umeumia we jifanyishe Kama umesahau tuu then baada ya miezi mitatu uje nitakupima mie mwenyewe
 
Nsije nkawekeza huko, zikienda mpaka six nadhan kuna hatari ya kurudi nyumbani kichwa chini.

Usiogope my new mpnz,sweet,habibi ooh laaziz yote majina yako ntafute nikupe somooo
 
wanana..wanakula..hawaliii.. sasa wamevimbiwa. hao hao hao hao sasa wamevimbiwaa..(naimba tu)
 
Thank you hun..love uuu mwaaah!!!! Excel sikutaki tena wewe hard disc yako imejaa lol

hahahaaaa!!! mamii ninayo external hard disk 1.8 tb!

we njoo bana, kwangu nafasi haijaagi, ingia na viatu kabisa mamii!
 
wanana..wanakula..hawaliii.. sasa wamevimbiwa. hao hao hao hao sasa wamevimbiwaa..(naimba tu)
sauti yako tu mama!... nahisi nafunga madirisha na kuzima taa!.. dah!

mzima wewe lakini? nigeie basi furaha yako japo kwa nusu saa tu!
 
Mwache aende zake wewe sio sex machine,,,,, na kajuaje hujui kusex wakati we bikra!!!!!!!!

hata mabikra wana haki ya kuseksishwa bana!...

nimempa offer aje apate off the job training kwa wiki moja tu..

hakika atatoka akiwa fiti kuliko christian ronaldo.. !

cc.. mamii KATOTY!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom