Virginity? Huu ni ukosefu wa opportunity siyo kujitunza....by the way maelezo yako full mashauzi, unaonekana umekubuhu sema unahofu ukimpa big ndoa itaota mbawa!
Salamu wana JF, mi ni msichana nina mchumba wangu ambaye tumekua tukigombana kila mara sababu za ajabu ajabu tu. Ni mwanaume wa kwanza kuamua kumvulia nguo japo hatujafanikiwa kusex kutokana na mimi kutokujua chochote kuhusu sex na kwa sababu pia ni bikra. Mpenzi wangu haniheshimu hata kidogo ni kunisema tu mwanamke gani hajui mapenzi. Moyoni naumia sana sina tu jinsi.
Pia mpenzi huyu hataki kabisa tukachek afya,kila mara namsumbua tukachek afya ili tuwe free kwenye swala la sex kwani hata mara ya kwanza nilikua nakataa kusex ili tuchek afya kwanza ila akanilazimisha kitu ambacho uume haukufanikiwa hata kuingia.
Toka juzi tumegombana kisa tu alitaka aje kulala kwangu nkawambia unaonaje tukachek afya, akaniambia hana munkari wa kuhangaika kucheki afya na mtu asiyejua kusex. Niliumia sana mpaka sasa naumia sana kwani nampenda sana lakini ndo ivo tena. Mpaka ninavoandika hapa hatuko kwenye maelewano.
Naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nini maana nikingalia nimejitunza sana na sasa umri umeenda.
NB: Sio mtu wa kuendekeza sex, kupima anasema tusubirie mda wa ndoa.
Nifanyeje jamani nianze tu kumtafuta mimi na kujifanya mimi ndo nimekosea maana naumia mwenenu.
sasa hapo tukushauri nini?akakugegede au?
Mkuu kusikia bikira mpaka picha. Kweli watu mnapenda sodoma na gomora
mfundishe ku......na!!
mabikira wapo ndugu, mke wangu amezaliwa mjini amekulia mjini hadi kufikia miaka 25 nilipomuoa miaka sita iliyopita, alikuwa mlokole wa assemblies na alikuwa hajawahi kukutana kimwili kabisa kabla yangu, nilimkuta bikira kabisa na nilithibitisha hadi ilitoa damu kabisaa. siku ya kwanza ilikuwa mbinde mno kwani sitakuja kusahau. sasaivi tumeshazaa na watoto watatu. isipokuwa ukioa bikira wanakuwa na wivu sanaaa na ule moyo wa kuvumilia kutofanya mapenzi huwa wanaendelea nao nikiwa na maana kwamba hata wakiwa kwenye ndoa si rahisi kucheat kabisa wanakuwa bado na woga, ila wanakuwa na wivu balaaa na wanakuchunga kuliko polisi. wanaogopa hata ukiwa unaongea na ndugu zako hata dada zako wanaona kama wanataka kuibiwa vile.Kwa mara ya kwanza naskia bikra anaishi kwakwe karne hii!! Anyway suburi waliotolewa bikra waje kukupa darasa!
Hili bwabwa au?
hongera sana kwa kuwa bikira, sasa kwa taarifa yako ni kwamba huyo mpenzi wako yeye ndo hajui kusex kwani ameshindwa kuvunja bikira eti uume hauingii ? hahahahahahahahahaha jamani kuna mambo huku dunian
kama angekuwa anaingiza ndoo kweli haitaingia ila uume ? unaingia sana tu, mwambie hata yeye hajui kufanya sex mbona kashindwa kuingiza sasa
Kwa mara ya kwanza naskia bikra anaishi kwakwe karne hii!! Anyway suburi waliotolewa bikra waje kukupa darasa!
Naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nini maana nikingalia nimejitunza sana na sasa umri umeenda.
hivi inakuwaje mtu unampenda mtu kiasi anashikilia furaha yako? kumvulia ngua kitu gani?life is beautful enjoy it!