Huyu ni wewe?
Khaaaaa, kazi kweli kweli!
Ni same person, nimebadili username tu
nakshi ni sis wako?
Nonsense ............................Ni same person, nimebadili username tu
Nonsense ............................
mtoa mada hueleweki kabisa. umedai mpenzy wako kakuambia hujui kusex na wakati huo huo unadai eti hamjawahi kusex kwa kuwa weye ni bikra na unataka mcheck afya kwanza. sasa huko kutojua kusex alikujulia wapi wakati hujawahi kumpa? hujui kutunga hadithi wewe! muone shigongo akufundishe.
nilihisi muda mrefu sana... kwanini umebadili ID mamii, nipe sababu kwa PM please, privacy is guaranteed!
Sorry mkuu, ila naamini mtu akibadili username, labda hataki kuwa yule wa zamani au hataki mtu fulani amtambue, hivyo nashangaa kuona unajitambulisha tena kwa jina la zamani..Nadhani bora urudie jina lako la zamani.How mkuu?