Naombeni muongozo wa kupima DNA

Naombeni muongozo wa kupima DNA

Utaratibu ni lazima uwe na mwanasheria alafu uwe na Sababu ya kufanya hivyo pia wahusika ni watatu wewe mkeo na mtoto gharama Ni kila sampuli ni laki moja hivyo jumla ni lakitatu.

Ila angalizo wanaume wengi wanalea watoto wasio wakwao na DNA ya uhakika Ni Ile ya kutuma taasisi binafsi, lakini ya serikali inamiongozo yake Kwa Sababu wanaelewa mzigo wa watoto wasio na baba watakuwa wengi serikali itaitaji kuhudumia na madhara yake Ni makubwa.
Si lazima uwe na mwanasberia, ofisi ya mkemia mkuu inafanya kazi zake kwa weledi na sababu ulizotoa hazina mashiko kabisa. Ungejua mfumo wa utendaji wa ofisi hiyo, ungeondoa mashaka kabisa
 
Pole na majukumu wanajamvi.

Kwa mwenye uelewa na hili naomba mwongo wa hatua za kufuata kupima DNA pale unapokuwa na mashaka juu ya mtoto.

Naomba kuwasilisha

Nilikuwa na wasiwasi na first born wangu, nikajaribu uliza watu wa karibu ushauri, wenye hekima wakanambia msomeshe mpaka afike 18 ndo ukaangalie.

Kwa nini?

Nimpe mtoto fursa ya kukua vizuri bila wasiwasi, maana nikikuta sio inaweza kuwa shida sana kwa mtoto.

Nikangoja, akakua mpaka 18 years, nikaenda pima naye, mwaka juzi tu ndo tulienda, na sasa yupo chuo kikuu.

Sishauri mtu aangalia DNA wakati bado mtoto anaitaji malezi na ni tegemezi, ningekuwa na mamlaka ningepitisha hiyo sheria.
 
"when there is doubt, there is no doubt"....maana yake ni kwamba pale unapokuwa na shaka na kitu, basi hamna shaka kuhusu shaka hiyo.

Kwaiyo mkuu, kama una shaka, fanyia kazi hiyo shaka, na majibu utayapata. But be ready.
 
Mkuu DNA za hospital za kibongo naskia zinawa-favor wanawake sana ukienda elewa tu jibu ni kwamba mtoto ni wako... Hutopata jibu lingine.
Shida wale wapimaji wataanza kuuliza chanzo cha kupima, muwahadithie story za maisha yenu, waangalie hali ya baba, mama na mtoto kisha ndio wawapime.

Hapo lazima majibu yatakua na influences nyingi tu.
 
TARATIBU ZA KUPATA HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA VINASABA

Taratibu za kupata huduma za uchunguzi wa vinasaba

Huduma za uchunguzi wa vinasaba hutolewa kwa mujibu wa Sheria ya Vinasaba vya Binadamu ya mwaka 2009. Taratibu zifuatazo hufuatwa ili kuweza kupata huduma za uchunguzi;-

1. Mteja anayehitaji kupatiwa huduma za uchunguzi wa Vinasaba anawakilishwa na taasisi zilizotajwa kwenye sheria ya Vinasaba vya Binadamu ya Mwaka 2009 ili kumuombea mteja husika huduma za uchunguzi

2. Kwa mujibu wa kifungu cha 25(2) cha Sheria ya vinasaba vya Binadamu ya mwaka 2009, taasisi zinazoruhusiwa kumuombea mteja kupatiwa huduma za uchunguzi wa vinasabani pamoja na

Maafisa ustawi wa jamii, Mawakili, Mahakama katika uchunguzi unaolenga kutataua migogoro, Jeshi la polisi kwa masuala yanayohusu jinai, Madakatari kwa uchunguzi unaihusiana na tiba, Wakuu wa Wilaya,Taasisi za Tafiti zinazotambuliwa Kisheria

3. Taasisi hizo zitaandika barua za maombi ya kupatiwa huduma za uchunguzi kwa niaba ya mteja husika. Barua zote zitaandika kwenda kwa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia mkuu wa Serikali.

4. Malipo ya uchunguzi ni Tsh100, 000/=kwa sampuli ya mtu mmoja, hivyo kwa uchunguzi wa Baba, Mama na Mtoto jumla niTsh.300,000/=. Malipo yote hufanyika Benki .

5. Baadaya ya kukamilisha taratibu za malipo, sampuli za mpanguso wa kinywa(Buccal swab ) zitachukuliwa na watalaam katika maabara ya Mkemia mkuu wa Serikali kwa ajili ya uchunguzi kulingana na Maombi ya Mteja

6. Uchunguzi utafanyika na utakapokamilika majibu ya uchunguzi yatatolewa kwa taasisi iliyoandika barua ya maombi ya kufanyiwa uchunguzi na mteja husika atapata majibu yake kupitia taasisi hizo zilizoruhusiwa kisheria.

7. Majibu ya uchunguzi hutolewa kuanzia siku ya kumi na nne za kazi baada ya kuchukuliwa kwa sampuli.
Du! Hii nchi ina sheria za kipumbavu sana aisee! Moja ya sheria hizo za kihuni ni hii ya DNA. Bora Uganda wanaruhusu mtu binafsi kupima DNA. Tanzania ni nchi ya kipumbavu sana
 
So Mbongo aeza kwenda Uganda kupima labda
 
Shida wale wapimaji wataanza kuuliza chanzo cha kupima, muwahadithie story za maisha yenu, waangalie hali ya baba, mama na mtoto kisha ndio wawapime.

Hapo lazima majibu yatakua na influences nyingi tu.
Ukiona hivyo jiandae kupokea majibu ya mchongo

Hela zako tu mkuu. Lakini nasikia huko wanaharakati walikuwa wanapigia kelele hilo jamba kwa kuwa cheating za wanawake ziko juu. Mtu unaweza kupima watoto wote ukakuta huna mtoto hata mmoja uliyemzaa.
 
Lazima kupima DNA ili hata kama wamepika majibu tayari itajulikana kitaalamu na kisheria kwamba mtoto ni wako........hawa wanawake akili mbovu mkipishana kauli kidogo hachelewi kukutamkia kwamba mtoto si wako, na hapo tayari umeshalea hadi kafikisha miaka 25.

Jambo jingine, mtoto lazima afanane na ndugu zake ndani ya ukoo......mtoto ambaye hana ufanano wowote na wewe au ndugu wengine ndani ya ukoo labda ndo imekupelekea kupata mashaka.

Kwa kuanzia kabla hujaenda kwenye DNA cheki magroup ya damu, la kwako wewe, la mama na la mtoto......halafu utuletee mrejesho.​
Upo sahihi mkuu, kama mtoto ni wako lazima kuna kitu atachukua upande wako.
 
FB_IMG_16732942935608384.jpg
 
Upo sahihi mkuu, kama mtoto ni wako lazima kuna kitu atachukua upande wako.
Sio lazima mkuu. Tena mtoto akiwa sio wako ndio kila siku utasikia wanamsifia kuwa mnafanana.....huku wakijua wanakupiga changa la macho. Hii ni mbaya sana
 
Du! Hii nchi ina sheria za kipumbavu sana aisee! Moja ya sheria hizo za kihuni ni hii ya DNA. Bora Uganda wanaruhusu mtu binafsi kupima DNA. Tanzania ni nchi ya kipumbavu sana
Inaweza ikawa ya kipumbavu, lakini ukitafakari kinachotengenezewa sheria na athari zake kwenye jamii, upumbavu unapungua.
 
Yaani unaturudisha kwenye ujima kabisa, hiyo njia yako yako ni BC. Njia pekee ya kisasa yenye uhakika 100% ni DNA pekee
Kuna mwamba ninamjua alienda kupima DNA na akaambiwa watoto ni wake ila watu tulikaa kimya tu kwasababu muhuni aliyetia kamba Hana mbele Wala nyuma
 
Shida wale wapimaji wataanza kuuliza chanzo cha kupima, muwahadithie story za maisha yenu, waangalie hali ya baba, mama na mtoto kisha ndio wawapime.

Hapo lazima majibu yatakua na influences nyingi tu.
Wapimaji unaonana nao vp wakati kule kwa Mkemia zinakwenda sampuli zenu tu,wala kuwajua hataki kuwajua, achaa kuongopea wenzio!!
 
Back
Top Bottom