Lazima kupima DNA ili hata kama wamepika majibu tayari itajulikana kitaalamu na kisheria kwamba mtoto ni wako........hawa wanawake akili mbovu mkipishana kauli kidogo hachelewi kukutamkia kwamba mtoto si wako, na hapo tayari umeshalea hadi kafikisha miaka 25.
Jambo jingine, mtoto lazima afanane na ndugu zake ndani ya ukoo......mtoto ambaye hana ufanano wowote na wewe au ndugu wengine ndani ya ukoo labda ndo imekupelekea kupata mashaka.
Kwa kuanzia kabla hujaenda kwenye DNA cheki magroup ya damu, la kwako wewe, la mama na la mtoto......halafu utuletee mrejesho.