Sasa sampuli huko kwa mkemia zinaenda zenyewe?Wapimaji unaonana nao vp wakati kule kwa Mkemia zinakwenda sampuli zenu tu,wala kuwajua hataki kuwajua, achaa kuongopea wenzio!!
Tumia akili
Sasa sampuli huko kwa mkemia zinaenda zenyewe?Wapimaji unaonana nao vp wakati kule kwa Mkemia zinakwenda sampuli zenu tu,wala kuwajua hataki kuwajua, achaa kuongopea wenzio!!
kweli wakuriya mpo vizuri kwenye misimamoya nini hayo
sisi kwetu tarime mmiliki wa mtoto ni aliyetoa mahari kwa mama yake. wengineo wakimzalimzalisha mkeo ni wanakufanya kibarua. tarime tunauliza ukifanya kibarua shambani kwa mtu mazao yanakuwa ya kibarua au ya mwenye shamba
Nakwambia tena hiyo ngumu sana kwenye ofisi ya mkemia mkuu, yaani ni ngumu sana. Sisi tulio nje hatujui tu mchakato mzima unavyokuwa mpaka sampuli zinamfikia mtu wa maabara. Hata yeye hajui anapiga sampuli ya nani, yaweza kuwa hata ya ndugu yakeKuna mwamba ninamjua alienda kupima DNA na akaambiwa watoto ni wake ila watu tulikaa kimya tu kwasababu muhuni aliyetia kamba Hana mbele Wala nyuma
Mmeamua kupeana stori za vijiwe vya kahawa.. Forensic analysis zote zinafanyikia pale. Mchukua sampuli sio mpeleka sampuli mpaka maabara, mchakato wake uko tightShida wale wapimaji wataanza kuuliza chanzo cha kupima, muwahadithie story za maisha yenu, waangalie hali ya baba, mama na mtoto kisha ndio wawapime.
Hapo lazima majibu yatakua na influences nyingi tu.
😁😁😁😁 me hiyo hainihusu mkuu, nimemuambia tu mtoa uzi ukweli ili kama ni DNA ya uhakika akajaribu nchi za wenzetu.Asa wewe unataka nani alee huyo mtoto.
Ukitaka majibu ya uhakika pima Nchi tatu, Tanzania, Uganda na Kenya, alafu linganisha majibu yao,yakipishana ujuwe kuna mziki hapo fanya uchunguzi wa kina!!Nakwambia tena hiyo ngumu sana kwenye ofisi ya mkemia mkuu, yaani ni ngumu sana. Sisi tulio nje hatujui tu mchakato mzima unavyokuwa mpaka sampuli zinamfikia mtu wa maabara. Hata yeye hajui anapiga sampuli ya nani, yaweza kuwa hata ya ndugu yake
Kabla hujapima dna unajua Sheria inawaruhusu watoa majibu ya dna kudanganya kuhusu majibu..?Pole na majukumu wanajamvi.
Kwa mwenye uelewa na hili naomba mwongo wa hatua za kufuata kupima DNA pale unapokuwa na mashaka juu ya mtoto.
Naomba kuwasilisha
Sawa mkuu baba mlezi lea mwana maana ndiyo kazi yako hiyo mambo ya DNA yatakuchelewesha.😁😁😁😁 me hiyo hainihusu mkuu, nimemuambia tu mtoa uzi ukweli ili kama ni DNA ya uhakika akajaribu nchi za wenzetu.
Hapana,mtu binafsi unapima muhimu uwe na mwanasheria ndiye atakayeomba Hilo ila inapimwa tena Kwa laki 3 tu majibu unayapataBut kadri ya uelewa wangu hapa Tanzania sheria haziruhusu mtu binafsi kwa mapenzi yake kupima dna. Maombi ya kupima dna huwasilishwa kwa mkemia mkuu na taasisi kama vile mahakama, jeshi la polisi, ofisi ya ustawi wa jamii nk
Wanawake wa hivyo ndo wangekuwa wanaume wangekuwa majambazi au vibaka, fuata nilichokuelekeza hapo.Kaka siyo kufafana kipindi cha mimba huyu mwanamke alikuwa amepanga wanaume 3 na alikuwa na kadi 3 za Clinic hospital tofauti.
Baadaye wanaume hao walifahamu wote wakamtema, sasa now ni miaka 7 tangu azae sasa anadai mwanaume mmoja ndiyo mhusika, je utakubalije kiboya hivo.
Hilo siyo tatizo,tena ndiyo anafurahi zaidi! Watu msiogope DNA, sasa mkiogopa DNA mnaweza pima ngoma wenyewe just kuangalia afya yako!!Madhara yake ni yapi? Kwa mfano mtoto akakutwa kweli ni wa kwako lakini akajua ulikuwa na mashaka naye itakuwaje?
Taasisi binafsi ipi inapima DNA kwa hapa Tanzania?Utaratibu ni lazima uwe na mwanasheria alafu uwe na Sababu ya kufanya hivyo pia wahusika ni watatu wewe mkeo na mtoto gharama Ni kila sampuli ni laki moja hivyo jumla ni lakitatu.
Ila angalizo wanaume wengi wanalea watoto wasio wakwao na DNA ya uhakika Ni Ile ya kutuma taasisi binafsi, lakini ya serikali inamiongozo yake Kwa Sababu wanaelewa mzigo wa watoto wasio na baba watakuwa wengi serikali itaitaji kuhudumia na madhara yake Ni makubwa.
Kizazi cha zamani ila cha sasa kimegoma kulea mabao ya watu wengine na kuleta tabia za hovyo kwenye ukoo.Kitanda hakizai haramu piga chini hilo wazo ila kama mamaake anazingua mkazie