hapa sio mahakamani kama unamsaidia msaidie akikwambia majibu mengine unaweza ukabaki mdomo wazi kumbuka huyo ni mtoto wa kike usitake kujua kila kitu ,anaonekana ana shida kweliHela ya internet bundle umetoa wapi?
Rafiki yangu wa jirani ndio alinunulia na ndio amenipa ushauri wa kujaribu kama naweza kupata msaada hata wa hiyo tiketi ya kwenda Same.Hela ya internet bundle umetoa wapi?
mama asilimia 80 ya wana JF wanastress tena wengine zaidi yako wengine wana hela hawana kitu fulani ,wengine wanakila kitu hawana hela basi tafrani tupu kusaidiwa na mtu mwenye stress ni kazi sana chakachua kichwa jinsi ya kujikwamua hata ukipata elfu 10 dandia fuso pale ubungo mradi ufike nyumbani,nyumbani ni nyumbani
Pole dada. Humu jf ni pagumu mana wengi wamevurugwa na maisha japo sio wote. Umemfikia wapi na ni kiasi gani kilishopelea?
Duh,,,,,pole sana. Kweli humu kuna watu hawajaguswa kabisa na hili tatizo. Ila nadhani utafanikiwa tu.
Poles,but Nina wasiwasi nawe.
Henyu ni Same ihi dada??
mkono mtupu haulambwi miss chagga...embu kukurukapole sana dada
Ndugu sijapata msaada wowote na Mungu ni shahidi ila kuna mdau kasema hapa kwamba atanitumia elfu 15 ila hajatuma kwahiyo wewe nisaidie uwezavyo ili nae akanitumia kesho asubuhi niende ubungo nikawalilie wenye mabasi waweze kunisadia kwa nilicho nacho.jumla ya nauli ni elfu 20 hadi Same.
mkuu naona we ni miongoni mwa walioguswa..sasa hauna hata 2000 ya kuchangia kweli??hapa sio mahakamani kama unamsaidia msaidie akikwambia majibu mengine unaweza ukabaki mdomo wazi kumbuka huyo ni mtoto wa kike usitake kujua kila kitu ,anaonekana ana shida kweli
Mi nataka nikupe hio 20,000 ila nataka niende na wewe ubungo nikukatie tiketi,kesho niambie uko tayari?
mkono mtupu haulambwi miss chagga...embu kukuruka
pole sana dada[/QUOTE
Tuchange jamani hizi pole na maombi hazisaidii kabisa kama kweli tunaamini mioyoni mwetu dada ana shida basi tumchangie pls.
we utakayotoa mi nakupa mara mbili yake..lolNimesha kukuruka mbona mda