Naombeni msaada, Rafiki yangu anaangamia

Naombeni msaada, Rafiki yangu anaangamia

Nina mshkaji wangu..
Ni best sanaa, tulikutana ajirani serikalini...

Baada ya kuona maisha ya ajira HAYAENDI tuliamua kuacha kazi na kufanya yetu, Mimi niliamua kwanza kwenda shule na yeye alianza kufanya yake (kujiajiri)...

Sasa nilivyo maliza chuo na kuanza na Mimi misele nilimkuta yupo mbali na kwa rehema za Mungu nilimkuta ana Mali kiasi (ukilinganisha na tulivyokua ajirani)....

Maisha yalisonga akaoa..

Ila Tabuu inakuja hapa...

Ndoa yao inamiaka mitatu na shemeji (mkewe) kapeleka ombi mahakamani la Talaka, kwa taarifa chini ya carpet "X wake wa China (alienda kusoma) karudi, then anataka kuhamia kwa X"...

Na anataka Mali zotee wagawane "MPAKA ZILE ALIZOMKUTA NAZO MSHIKAJI""

Rafiki yangu ye anasema "WATAGAWANA ZILE WALIZOCHUMA KWENYE NDOA YAO" ila alizomkuta nazo kama mashamba (Zaidi ya eka 50), nyumba ya biashara na ana miti mingii kapanda Njombe HATAKI WAGAWANE ila shemeji KAKOMAA ANATAKA 50 - 50..

NIMELILETA KWENU MJARIBU KUMSAIDIA...

Mwenye kujua anipe hata SECTIONS na ARTICLES za LAW niweze KUMSAIDIA MSHIKAJI WANGU.

Yaani ni MY BEST FRIEND BALAA..

TUMETOKA MBALI, NAMUONA KABISA ANAPOTEA KWA STRESS

Bia hazipandi tena..
Kitimoto ndio kabisa hataki...
Zile outing za kwenda kula nyama kwa wamasai ukimletea NOWDAYS anahisi kama unamng'ong'a....

Mtu pekee anayeweza Kuongea nae kwasasa ni Mimi tu wengine wotee hataki...

Yaani mpaka baadhi ya biashara zake nimechukua ili NIZIOKOE...

Sasa AMBAO MLIPITIA HAYA au MNAJUA HAYA MAMBO, TAFADHALINI "NAOMBA MNIPE DIRECTION NIMUOKEA MY BEST BROTHER IN THE WORLD""

#ASANTE
#YNWA

Kesi kama hizi bado zitaendelea kutokea tu huko nyumbani Tanzania??
Wanaume wenzangu bado tu hamjifunzi kuhusiana na mambo haya??
Namna pole yake sana.

Lakini nina maswali haya ya kumuuliza huyo rafiki yako:-

A: KUHUSU FAMILIA

1.Je amezaa naye watoto? Wangapi?

B: KUHUSU MASHAMBA NA ARDHI:-

2.J e mashamba hayo yamepimwa??
2.1 Kama jibu ni ndiyo, yamepinwa lini?
2.2 Anazo nyaraka zozote kuhusiana na upimaji huo, eg. ramani za upimaji, voucher za malipo ya gharama? nyaraka za kampuni iliyopima hayo mashamba/ardhi?
2.3 Kana mashamba/ardhi hiyo haijapimwa, je mashamba hayo aliyapataje?
2.4 Aliyapata lini hayo mashamba?
2.5 Aliyanunua?Alipewa kama zawadi?Aliyarithi?Kutoka KWA nani?
2.6 Kuna nyaraka zozote za kumiliki hayo mashamba?
2.7 kama nyaraka zipo, zina majina ya nani? Za lini/date?
2.8 Kama alinunua, je mashahidi walikuwepo? Kama walikuwepo, he bado wapo hai mpaka Leo??

C: KUHUSU MAJENGO:-

3.Je hizo nyumba alizijenga lini?
3.1 Alijenga kabla au baada ya ndoa?
3.2 Je mwanamke alipoolewa NA huyo jamaa yako alizikuta hizo nyumba tayari zimekamilika kujenga? Alizikuta ziko tayari?
3.3 Je anazo risiti/stakabadhi za manunuzi ya vifaa vya ujenzi KWA hizo nyumba?
3.4 Kama hana hizo risiti, Je ana kitu gani/ushahidi gani wa kuthibitisha kuwa nyumba hizo alizijenga yeye mwenyewe binafsi KWA gharama zake bila ya ushiriki wa huyo mwanamke?? Ana ushahidi wowote ule??
3.5 Je mafundi ujenzi wa hizo nyumba bado wapo hai mpaka Leo hii?
3.6 Kama mafundi ujenzi waliojenga hizo nyumba bado wapo hao, Je wapo upande UPI ktk kuthibitisha uhalali wa umiliki wa hizo nyumba?? Upande wa mwanamke au mwanaume??

D: KUHUSU MALI ZINGINE ZINAZOHAMISHIKA

4.Je hizo Mali alizipataje? Alizinunua ?
4.1 Kama alizinunua, Je bado anazo risiti/stakabadhi za manunuzi?
4.2 Alizinunua lini?
4.3 Anao ushahidi wa kuthibitisha kuwa alizinunua akiwa peke yake bila ya ushiriki wa mwenza wake??
4.4 Kama hana nyaraka zozote, anaweza akanicheki Pm KWA ushauri zaidi,

E: HITIMISHO NA USHAURI WA BURE

5.KWA WANANDOA WATARAJIWA WOTE

KWA Watu wote wenye Mali ambao bado hawajaingia kwenye ndoa {Aidha Mwanamke au Mwanaume),
MNASHAURIWA KUSAJILI MALI ZENU ZOTE KISHERIA KABLA HAMJAINGIA KWENYE NDOA ILI ZISIJUMUISHWE KWENYE MALI ZA NDOA (MATRIMONIAL PROPERTY) MARA BAADA YA MHUSIKA KUINGIA KWENYE NDOA ILI KUEPUKA KUINGIZWA KWENYE JANGA LA UTAPELI WA MAPENZI
 
Huyo mke kwani ana documents zote za hayo mashamba na Mali ili aweze kuclaim zao?
Ndio maana hutakiwi kumuonesha kila kitu chako mke Kama kakukuta navyo.
Ndugu zako wanatosha kuwaonesha.

Mwenzenu mashamba yangu yote nimeandika jina la mama yangu.
Hata kama alishakufa lakini ndio hivyo tena.
Na hayajui hata yalipo Ila ndugu zangu wanayajua.
Na nilishawaambia, nikifa Mali zangu ni za wanangu popote walipo.
Hv kwann uoe mwanamke usimwamini?
 
Naondoka na No. 5... Asante
 
Huyo mke kwani ana documents zote za hayo mashamba na Mali ili aweze kuclaim zao?
Ndio maana hutakiwi kumuonesha kila kitu chako mke Kama kakukuta navyo.
Ndugu zako wanatosha kuwaonesha.

Mwenzenu mashamba yangu yote nimeandika jina la mama yangu.
Hata kama alishakufa lakini ndio hivyo tena.
Na hayajui hata yalipo Ila ndugu zangu wanayajua.
Na nilishawaambia, nikifa Mali zangu ni za wanangu popote walipo.
duh.. sasa ulioa ili iweje kama ndo unaishi hivyo na mke wako? jinsi ulivyomuelezea kama ni mtu asie na thamani kwako.
 
Mimi kinachonishangaza ni jambo moja, ndoa imefungwa kwa sheria za kidini alafu mahakama from no where inakuja kuwa muamuzi wa hiyo ndoa.
Mimi nafikiri mahakama ingedili na ndoa zilizofungwa Kisheria tu

You're totally wrong,
Hata hivyo vyeti vya NDOA vinavyotolewa NA Mapadri NA Masheikh vyote ni Mali ya Serikali, hao viongozi WA dini ni mawakala tu WA kusambaza hivyo vyeti.

Pia, viongozi WA dini wamepewa vibali vyote vya kufungisha hizo NDOA NA Serikali.
 
Kisheria inakuaje?? Kuna possibility ya kugawana kila kitu wakati hamjachuma naye vyoote?? Au mnagawana mlivyotafuta nae??

Uwezekano wa kugawana kila kitu upo ndiyo.
Nimeshindwa kutoa ushauri wa moja KWA moja hapa naogopa "wenyewe" wasije wakanifuatilia KWA nia mbaya .Badala yake nimetoa tu hints za kuweza kuepukana NA kuporwa Mali zote kwenyev post zangu zilizotangulia kwenye Uzi huu.

Ningekuwa NA contacts naye ningemshauri kitu cha kufanya ili kuepukana moja KWA moja NA hili janga kuporwa Mali zake.
 
Sheria inaruhusu kugawanwa kwa mali mlizochuma pamoja tuu na si vinginevyo. Huyo mke wake itakuwa kuna mpumbavu kamlisha matangopori, acha ajichanganye sheria itamnyoosha.

Kuhusu vifungu subiri navileta very soon.

Unforgetable

Utathibitishaje kwamba Mali mlizonazo umechuma wewe mwanaume peke yako???
Usimdanganye wala kumpotosha huyo jamaa, wanatakiwa kuwa makini NA mwangalifu sana huyo jamaa
 
Mkuu mali kama shamba/viwanja vinaonesha umenunua lini na cheti cha ndoa kinaonesha mmefunga ndoa lini.

Unforgetable

Ni kweli, lakini siyo rahisi kihivyo kuthibitisha hilo suala kama unavyofikiri wewe.
Kumbuka, kuna kitu kinaitwa dhana ya NDOA, kabla wenza hawaja-hitimisha kufunga NDOA yenyewe kanisani, msikitini au bomani.Wanaume wengi sana ndipo huwa wananaswa hapo, NA kusababisha Mali kugawana nusu KWA nusu. KWA hiyo siyo kazi rahisi kihivyo kama unavyofikiria, rejea kuisoma vizuri Sheria ya NDOA ya Tz NA Kanuni zake.
 
Yaani ikitokea umetangulia basi huko uliko utajuta na kutamani mara kumi ungeandika jina la mkeo watoto wako wangefaidika. Ila kwa ndugu wanao wataisoma namba. Wataishia kudhulimiwa. Ndugu wataishia kuuza na kuchukulia mikopo mali zako. Ingeezekana ningekwambia igiza umekufa uone kimbembe ndani ya wiki tu.
 
Ni kweli, lakini siyo rahisi kihivyo kuthibitisha hilo suala kama unavyofikiri wewe.
Kumbuka, kuna kitu kinaitwa dhana ya NDOA, kabla wenza hawaja-hitimisha kufunga NDOA yenyewe kanisani, msikitini au bomani.Wanaume wengi sana ndipo huwa wananaswa hapo, NA kusababisha Mali kugawana nusu KWA nusu. KWA hiyo siyo kazi rahisi kihivyo kama unavyofikiria, rejea kuisoma vizuri Sheria ya NDOA ya Tz NA Kanuni zake.

Jaribu kutumia akili yako japo kidogo tuu mkuu.

Assume hujaoa, ukanunua shamba mahali fulani, ukapewa na hati kabisa.

Then miaka 2 mbele ukaoa. Hati/cheti cha ndoa kitaonesha mwaka na tarehe mlipooana.

Then baada ya miaka 5 mkapeana talaka. Hivi unafikiri hilo shamba mkeo atakuwa na chake hapo?

Lkn kuna exceptions pia nimezionesha hapo chini. Mojawapo ni kw mfano hilo shamba mkaliendeleza labda kwa kupanda miti. Hapo mkeo atakuwa na chake, hiyo miti mtaigawana pasu kwa pasu.

Vitu kama biashara, uwekezaji wowote mliofanya pamoja hapo lazima mgawane.

Je Umesoma lakini hiyo Sheria ya Ndoa niliyoitaja pamoja na Kanuni zake? Au unapenda tu ku-comment ili mradi uonekane kuwa umechangia hapa? Tatizo kubwa LA Watz wengi hawapendi sana kusoma, matokeo yake wengi wamekuwa wana upeo mdogo wa kuchanganua mambo.Hili ni tatizo kubwa sana KWA Watz.

Unaweza ukaona graduate WA Chuo Kikuu wa Tz ana cheti cha taaluma chenye alama nzuri sana za ufaulu, lakini MTU mwenyewe ana upeo/uelewa mdogo sana kichwani WA kuchanganua mambo tofauti kabisa NA alama zake nzuri za ufaulu zilizopo kwenye cheti chake.
 
Nina mshkaji wangu..
Ni best sanaa, tulikutana ajirani serikalini...

Baada ya kuona maisha ya ajira HAYAENDI tuliamua kuacha kazi na kufanya yetu, Mimi niliamua kwanza kwenda shule na yeye alianza kufanya yake (kujiajiri)...

Sasa nilivyo maliza chuo na kuanza na Mimi misele nilimkuta yupo mbali na kwa rehema za Mungu nilimkuta ana Mali kiasi (ukilinganisha na tulivyokua ajirani)....

Maisha yalisonga akaoa..

Ila Tabuu inakuja hapa...

Ndoa yao inamiaka mitatu na shemeji (mkewe) kapeleka ombi mahakamani la Talaka, kwa taarifa chini ya carpet "X wake wa China (alienda kusoma) karudi, then anataka kuhamia kwa X"...

Na anataka Mali zotee wagawane "MPAKA ZILE ALIZOMKUTA NAZO MSHIKAJI""

Rafiki yangu ye anasema "WATAGAWANA ZILE WALIZOCHUMA KWENYE NDOA YAO" ila alizomkuta nazo kama mashamba (Zaidi ya eka 50), nyumba ya biashara na ana miti mingii kapanda Njombe HATAKI WAGAWANE ila shemeji KAKOMAA ANATAKA 50 - 50..

NIMELILETA KWENU MJARIBU KUMSAIDIA...

Mwenye kujua anipe hata SECTIONS na ARTICLES za LAW niweze KUMSAIDIA MSHIKAJI WANGU.

Yaani ni MY BEST FRIEND BALAA..

TUMETOKA MBALI, NAMUONA KABISA ANAPOTEA KWA STRESS

Bia hazipandi tena..
Kitimoto ndio kabisa hataki...
Zile outing za kwenda kula nyama kwa wamasai ukimletea NOWDAYS anahisi kama unamng'ong'a....

Mtu pekee anayeweza Kuongea nae kwasasa ni Mimi tu wengine wotee hataki...

Yaani mpaka baadhi ya biashara zake nimechukua ili NIZIOKOE...

Sasa AMBAO MLIPITIA HAYA au MNAJUA HAYA MAMBO, TAFADHALINI "NAOMBA MNIPE DIRECTION NIMUOKEA MY BEST BROTHER IN THE WORLD""

#ASANTE
#YNWA
Kutengana na talaka ni haki alizonazo kila mwanandoa endapo ndoa yao itakuwa na matatizo kiasi kwamba itaonekana wazi kuwa wawili hawa hawawezi tena kuendelea kuishi pamoja. Kutengana ni ile hali ya wanandoa kuacha kuishi pamoja, yaani kuacha kuishi chini ya dari moja Kutengana kupo kwa aina mbili ambayo no Kwa hiari ya wanandoa wenyewe au Kwa amri ya mahakama. Amri ya kutengana kama ilivyoelezwa katika kifungu cha 111 inawafanya wanandoa wasikae tu pamoja lakini haiondoi wajibu na majukumu aliyo nayo mwanandoa kuhusiana na matunzo. suala la talaka ni amri ya mahakama ya kuvunja ndoa. Chombo pekee chenye uwezo wa kuvunja ndoa ni mahakama tu. Mazoea ya wanandoa kupeana talaka mitaani aidha kwa maandishi au kwa mdomo, hizo si talaka kwa mujibu wa sheria ya ndoa. Ni lazima talaka itolewe na mahakama ili haki ya kila mwanandoa itamkwe bayana. Kwa mujibu wa kifungu cha 100 mahakama haiwezi kusikiliza shauri la talaka kama ndoa haijadumu kwa miaka miwili. Ili shauri la talaka lipokelewe kabla ya miaka miwili ya ndoa kupita ni lazima mahakama itoe idhini. Idhini hiyo hutolewa pale tu ambapo mwanandoa mmoja anapata mateso yasiyokuwa ya kawaida. Na Sababu ya kutoa talaka kulingana na Vifungu vya 99 na 107(1) vya sheria ya ndoa vinatamka kwamba sababu inayoweza kuifanya mahakama kutoa talaka ni pale tu itakaporidhika kuwa ndoa imevunjika kiasi ambacho haiwezi kurekebishika tena. Na Sababu zinazofanya ndoa ionekane kuwa haiwezi kurekebishika tena ni sababu kama vile Ugoni, Ukatili wa kiakili au wa kimwili, Ulawiti, Kuzembea wajibu kwa makusudi, Utoro au kutelekeza familia (NDOA) kwa makusudi kwa muda wa miaka isiyopungua mitatu, Kifungo cha maisha au kisichopungua miaka mitano, Kutengana kwa hiari au kwa amri ya mahakama kulikodumu kwa miaka mitatu au zaidi, Kubadili dini, Kichaa kisichopona ambapo madaktari bingwa wasiopungua wawili wamethibitisha kwamba hakuna matumaini ya huyo mtu kupona, Kipigo (Msiwapige WAKE ZENU JAMANI) ambapo Kupiga mke ni kosa la jinai 'Hakuna mwenye haki ya kumpiga mwanandoa mwenzake' Hatua za kufuata wakati wa kuomba talaka ambapo mtu yeyote anayetaka kuomba talaka mahakamani lazima kufuata taratibu hizi ambazo ni; Kwanza kabisa kifungu cha 101 kinaeleza kwamba muomba talaka anatakiwa kupeleka malalamiko ya matatizo ya ndoa yake kwenye Baraza la Usuluhishi wa Ndoa la Kamishina wa Ustawi wa Jamii au baraza lingine linalotambuliwa kisheria kama kanisani au BAKWATA. Baraza la usuluhishi likishindwa kuwasuluhisha litatoa hati ya kwenda mahakamani. Hati hiyo huandikwa katika fomu maalumu inayoitwa “Fomu Na.3”. Kwa mujibu wa kifungu cha 106(2) madai ya talaka yanatakiwa kufikishwa mahakamani ndani ya miezi sita (6) tangu tarehe baraza la usuluhishi la ndoa lilipotoa hati hiyo. Ni muhimu kufahamu kuwa baraza la usuluhishi la ndoa halina mamlaka ya kutoa talaka au kugawa mali za wanandoa bali kazi yake ni kusuluhisha tu. Baada ya hapo muomba talaka anatakiwa kutayarisha madai ya kuvunja ndoa na kuyawasilisha mahakamani akiambatanisha vielelezo vyovyote anavyoona vinaweza kuunga mkono madai yake. Kama shauri inafunguliwa mahakama ya mwanzo, basi mhusika anatakiwa kwenda kwenye hiyo mahakama na atapatiwa fomu maalum ambayo atajaza madai yake. Mambo muhimu yanayotakiwa kuoneshwa kwenye madai ni nyaraka zenye kuonyesha Kwamba kulikuwa na ndoa halali, Kuna mgogoro kati ya wanandoa hao na jitihada za kusuluhisha zimefanywa lakini imeshindikana, Orodha ya watoto wa ndoa na umri wao, Orodha ya mali za wanandoa hao walizochuma pamoja wakati wa ndoa yao, Maombi kwa mahakama Mwisho wa hati ya madai mwomba talaka anatakiwa aiombe mahakama itoe amri zifuatazo, Ndoa imevunjika kiasi isichoweza kurekebishika tena, hivyo talaka itolewe, Mgawanyo sawa wa mali zilizochumwa kwa pamoja kama inavyoelezwa katika kifungu cha 114. Pia kifungu hicho kinaeleza bayana kwamba mali iliyopatikana kabla ya ndoa lakini baadae ikaboreshwa kwa juhudi ya pamoja basi mali hiyo nayo huingizwa kwenye mali ya pamoja.Mahakama zimetoa tafsiri ya neno “juhudi ya pamoja” na kuhusisha kazi za nyumbani afanyazo mwanamke kama hakuajiriwa, Haki ya kuishi na watoto, Matunzo ya watoto kama bado ni wadogo, Gharama za kesi na Amri nyingine yoyote ambayo mahakama itaona inafaa. Baadaye utatakiwa kuwasilisha madai hayo mahakamani na utapewa namba ya kesi na utaelezwa siku ya kesi. Mahakama zenye Mamlaka ya Kusikiliza Madai ya Talaka Mahakama zenye mamlaka kusikiliza mashauri ya ndoa ni Mahakama ya Mwanzo, Mahakama ya Wilaya, Mahakama ya Hakimu Mkazi na Mahakama Kuu. Mahakama hizi zote zina mamlaka sawa , yaani mtu anaweza kufungua shauri lake katika mojawapo ya mahakama hizo.

NB; ARTICLE HII IWASAIDIE WENGINE WOTE WENYE KUHITAJI MWONGOZO JUU YA MASUALA YA TALAKA. AFADHALI ZIWEPO SEMINA ZENYE KUTOA ELIMU KWA WATU WANAOINGIA NDOANI ILI KILA MMOJA AJUE MAJI YAKISHAMWAGIKA KIPI KIFANYIKE NADHANI HII ITAKUWA BORA KULIKO KUTUMIA NGUVU NYINGI KWENYE MA SEND OFF, GARAGE (SIJUI BACHELOR) PARTY KWA VIJANA WA KISASA NA ISHU ZINGINE.
 
Nina mshkaji wangu..
Ni best sanaa, tulikutana ajirani serikalini...

Baada ya kuona maisha ya ajira HAYAENDI tuliamua kuacha kazi na kufanya yetu, Mimi niliamua kwanza kwenda shule na yeye alianza kufanya yake (kujiajiri)...

Sasa nilivyo maliza chuo na kuanza na Mimi misele nilimkuta yupo mbali na kwa rehema za Mungu nilimkuta ana Mali kiasi (ukilinganisha na tulivyokua ajirani)....

Maisha yalisonga akaoa..

Ila Tabuu inakuja hapa...

Ndoa yao inamiaka mitatu na shemeji (mkewe) kapeleka ombi mahakamani la Talaka, kwa taarifa chini ya carpet "X wake wa China (alienda kusoma) karudi, then anataka kuhamia kwa X"...

Na anataka Mali zotee wagawane "MPAKA ZILE ALIZOMKUTA NAZO MSHIKAJI""

Rafiki yangu ye anasema "WATAGAWANA ZILE WALIZOCHUMA KWENYE NDOA YAO" ila alizomkuta nazo kama mashamba (Zaidi ya eka 50), nyumba ya biashara na ana miti mingii kapanda Njombe HATAKI WAGAWANE ila shemeji KAKOMAA ANATAKA 50 - 50..

NIMELILETA KWENU MJARIBU KUMSAIDIA...

Mwenye kujua anipe hata SECTIONS na ARTICLES za LAW niweze KUMSAIDIA MSHIKAJI WANGU.

Yaani ni MY BEST FRIEND BALAA..

TUMETOKA MBALI, NAMUONA KABISA ANAPOTEA KWA STRESS

Bia hazipandi tena..
Kitimoto ndio kabisa hataki...
Zile outing za kwenda kula nyama kwa wamasai ukimletea NOWDAYS anahisi kama unamng'ong'a....

Mtu pekee anayeweza Kuongea nae kwasasa ni Mimi tu wengine wotee hataki...

Yaani mpaka baadhi ya biashara zake nimechukua ili NIZIOKOE...

Sasa AMBAO MLIPITIA HAYA au MNAJUA HAYA MAMBO, TAFADHALINI "NAOMBA MNIPE DIRECTION NIMUOKEA MY BEST BROTHER IN THE WORLD""

#ASANTE
#YNWA
Daaa mbona hapo njia nyepesi tu..Issue ndogo sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom