Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,145
Asitoe talaka atumie kigezo cha diniMkristo japo HANAGA HABARI NA DINI KABISAAA
Asitoe talaka atumie kigezo cha diniMkristo japo HANAGA HABARI NA DINI KABISAAA
Msaidie baharia mamaJuzi ofisini kwetu dada wakazi alikuwa anamali zake kabla ya kuoana na kilaza fulani baada ya mume wake kuwa na hawara nje akaenda akaomba talaka na mahakama ili muamuru yule mama wagawane mali zote pasu kwa pasu yule mama kagoma kuhangaika kwa muda mrefu ila hakushinda.
Kwa maana yule mama ndiye aliyekuwa na mali nyingi kushinda mumewe huyo basi wakauza kila kitu hadi nyuma wakagawana pasu kwa pasu hadi huruma ila kuna maujanja ya kufanikisha kesi hiyo ila kwangu mimi naogopa kusema hapa nisije nikaletewa noma .
😂 😂 😂 😂We ndo x wake sio
Nina mshkaji wangu..
Ni best sanaa, tulikutana ajirani serikalini...
Baada ya kuona maisha ya ajira HAYAENDI tuliamua kuacha kazi na kufanya yetu, Mimi niliamua kwanza kwenda shule na yeye alianza kufanya yake (kujiajiri)...
Sasa nilivyo maliza chuo na kuanza na Mimi misele nilimkuta yupo mbali na kwa rehema za Mungu nilimkuta ana Mali kiasi (ukilinganisha na tulivyokua ajirani)....
Maisha yalisonga akaoa..
Ila Tabuu inakuja hapa...
Ndoa yao inamiaka mitatu na shemeji (mkewe) kapeleka ombi mahakamani la Talaka, kwa taarifa chini ya carpet "X wake wa China (alienda kusoma) karudi, then anataka kuhamia kwa X"...
Na anataka Mali zotee wagawane "MPAKA ZILE ALIZOMKUTA NAZO MSHIKAJI""
Rafiki yangu ye anasema "WATAGAWANA ZILE WALIZOCHUMA KWENYE NDOA YAO" ila alizomkuta nazo kama mashamba (Zaidi ya eka 50), nyumba ya biashara na ana miti mingii kapanda Njombe HATAKI WAGAWANE ila shemeji KAKOMAA ANATAKA 50 - 50..
NIMELILETA KWENU MJARIBU KUMSAIDIA...
Mwenye kujua anipe hata SECTIONS na ARTICLES za LAW niweze KUMSAIDIA MSHIKAJI WANGU.
Yaani ni MY BEST FRIEND BALAA..
TUMETOKA MBALI, NAMUONA KABISA ANAPOTEA KWA STRESS
Bia hazipandi tena..
Kitimoto ndio kabisa hataki...
Zile outing za kwenda kula nyama kwa wamasai ukimletea NOWDAYS anahisi kama unamng'ong'a....
Mtu pekee anayeweza Kuongea nae kwasasa ni Mimi tu wengine wotee hataki...
Yaani mpaka baadhi ya biashara zake nimechukua ili NIZIOKOE...
Sasa AMBAO MLIPITIA HAYA au MNAJUA HAYA MAMBO, TAFADHALINI "NAOMBA MNIPE DIRECTION NIMUOKEA MY BEST BROTHER IN THE WORLD""
#ASANTE
#YNWA
Naogopa hapaMsaidie baharia mama
Asantehuwezi kujua kiundani kilochomkwaza mkewe.
Ila mali walizochuma pamoja ndo watagawana. Km alijichanganya akaandika majina yao hata kwenye mali alizochuma kabla ya ndoa itakula kwake.
Mke ndio anataka talakaKama unasema hafatilii sana imani Usikute anataka kuoa mke mwingine.. Kimila
acha ufala pumbavu nyie kujifanayga malaika na huku mbwa tuu...anajifanya ''anatumali''...fala sana watu kama nyinyi ndo mnafanya wengine waonekane ubaya na wanawake mnajifanyaga sana huwa hamkosei mbwa nyie
Sio KIRAHISI hivyooMali inatafutwa bro ampe asepe
Mimi kinachonishangaza ni jambo moja, ndoa imefungwa kwa sheria za kidini alafu mahakama from no where inakuja kuwa muamuzi wa hiyo ndoa.
Mimi nafikiri mahakama ingedili na ndoa zilizofungwa Kisheria tu
Nakazia tena mbwa nyieacha ufala pumbavu nyie kujifanayga malaika na huku mbwa tuu...anajifanya ''anatumali''...fala sana watu kama nyinyi ndo mnafanya wengine waonekane ubaya na wanawake mnajifanyaga sana huwa hamkosei mbwa nyie
Kama ni hivyo badilisha kichwa cha thread kiwe, rafiki yangu aowa ibilisi.Mkristo japo HANAGA HABARI NA DINI KABISAAA
Mfate pm uchukue plan b. Acha mbwembwe.Toa madini TAFADHALI
Kasema ambae hafatilii sana imani ni mwanamke.Kama unasema hafatilii sana imani Usikute anataka kuoa mke mwingine.. Kimila