Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Sasa umeshakufa wakiamua wawapige chini watoto wako utawafanya nini?Huyo mke kwani ana documents zote za hayo mashamba na Mali ili aweze kuclaim zao?
Ndio maana hutakiwi kumuonesha kila kitu chako mke Kama kakukuta navyo.
Ndugu zako wanatosha kuwaonesha.
Mwenzenu mashamba yangu yote nimeandika jina la mama yangu.
Hata kama alishakufa lakini ndio hivyo tena.
Na hayajui hata yalipo Ila ndugu zangu wanayajua.
Na nilishawaambia, nikifa Mali zangu ni za wanangu popote walipo.
Watoto wa mama yako ndugu zako wakisema Mali za mama yao unahisi wanao watapata urithi wao?
Umeandika kwa ujasiri ukajiona mjanja kumbe umepotea.....mzee ukishaoa na ukapata watoto no way out muamini tu mkeo muoneshe kila unachomiliki hata akiichoka ndoa akitaka mgawane mpe ni mama watoto wako pengine atakiendeleza ulichompa then watoto wako wakanufaika.
NB: Nenda kabadilishe hilo jina la marehemu mama yako mapema kabla hujafa hakuna ndugu atakayewapenda na kuwahudumia watoto wako 100% kukuzidi wewe na mkeo


