mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,912
Hii Ni mapitio ya 2002 (r.e)Sheria ya ndoa ya mwaka 2002 section 58 inatoa uhalali wa mtu kumiliki mali binafs hata kama yuko kwene ndoa.
Ilitungwa 1971 ikapewa namba 29
Hii Ni mapitio ya 2002 (r.e)Sheria ya ndoa ya mwaka 2002 section 58 inatoa uhalali wa mtu kumiliki mali binafs hata kama yuko kwene ndoa.
Mali Kama ni za wanandoa zitagawanywa kwa kulingana na mchango wa kila mmoja kwenye upatikanaji wakeMke HAITAKI TENA NDOA..
Mshikaji KARIDHIA
Tatizo lina kuja HIZO MALI.
Uko anakoishi huwa hawatumii mkaa ?
Huyo mwanaume akitulia mke hawezi kupata hata kijiko.Nina mshkaji wangu..
Ni best sanaa, tulikutana ajirani serikalini...
Baada ya kuona maisha ya ajira HAYAENDI tuliamua kuacha kazi na kufanya yetu, Mimi niliamua kwanza kwenda shule na yeye alianza kufanya yake (kujiajiri)...
Sasa nilivyo maliza chuo na kuanza na Mimi misele nilimkuta yupo mbali na kwa rehema za Mungu nilimkuta ana Mali kiasi (ukilinganisha na tulivyokua ajirani)....
Maisha yalisonga akaoa..
Ila Tabuu inakuja hapa...
Ndoa yao inamiaka mitatu na shemeji (mkewe) kapeleka ombi mahakamani la Talaka, kwa taarifa chini ya carpet "X wake wa China (alienda kusoma) karudi, then anataka kuhamia kwa X"...
Na anataka Mali zotee wagawane "MPAKA ZILE ALIZOMKUTA NAZO MSHIKAJI""
Rafiki yangu ye anasema "WATAGAWANA ZILE WALIZOCHUMA KWENYE NDOA YAO" ila alizomkuta nazo kama mashamba (Zaidi ya eka 50), nyumba ya biashara na ana miti mingii kapanda Njombe HATAKI WAGAWANE ila shemeji KAKOMAA ANATAKA 50 - 50..
NIMELILETA KWENU MJARIBU KUMSAIDIA...
Mwenye kujua anipe hata SECTIONS na ARTICLES za LAW niweze KUMSAIDIA MSHIKAJI WANGU.
Yaani ni MY BEST FRIEND BALAA..
TUMETOKA MBALI, NAMUONA KABISA ANAPOTEA KWA STRESS
Bia hazipandi tena..
Kitimoto ndio kabisa hataki...
Zile outing za kwenda kula nyama kwa wamasai ukimletea NOWDAYS anahisi kama unamng'ong'a....
Mtu pekee anayeweza Kuongea nae kwasasa ni Mimi tu wengine wotee hataki...
Yaani mpaka baadhi ya biashara zake nimechukua ili NIZIOKOE...
Sasa AMBAO MLIPITIA HAYA au MNAJUA HAYA MAMBO, TAFADHALINI "NAOMBA MNIPE DIRECTION NIMUOKEA MY BEST BROTHER IN THE WORLD""
#ASANTE
#YNWA
Kwa kuongezea kuna case iliwahi amriwa mahakama kuu,inatumika sana kwenye maamuzi....Huyo mwanamke si anataka kwenda kudanga? Mwambie atowe upuuzi sheria ya ndoa iko wazi watagawana walivyo chuma wote.
THE LAW OF MARRIAGE ACT [CAP 29 R.E. 2002], section 114(1),(2 a-d),(3) a some vizuri Hiki kifungu na kukielewa.
Nb: ukipata nafasi ya kuongea na shemela wako anaeenda kudanga, mwambie awe makini, watu wanaoishi njee (sio wote jamani) wengi wao waliosomea maneno matamu, at first lakini, asitegemee kuhudumiwa maana wengi wao (sio wote jamani) walizoea kupewa hela. na wanawake wa kizungu. Pia umwambie nimesema hivi laana ya kuwa alishawahi kuolewa akatoka kisa anaenda kudanga itamuandama mpaka kifo .mwisho umwambie luckyline kasema hakuna mwanaume mpumbavu atakaeoa mwanamke ambae kwa tamaa zake za kipuuzi kamuacha Mme wake ndani kaja kwake, anajua kuna siku nae ataachwa, kwa sasa atamgegeda tu ila hakuna future hapo.( maneno yangu sio sheria).
AsanteeeKwa kuongezea kuna case iliwahi amriwa mahakama kuu,inatumika sana kwenye maamuzi....
Mume na mke watagawana Mali walizochuma pamoja lakini pia kama mwenza mmoja alikuwa na Mali kabla ya kuoana mali hizo "zitagawanya kama baada ya kuoana mwenza wake ameshiriki kuzitunza au kuziendeleza".
So jamaa inabidi aandae ushahidi wa kutosha kwamba mkewe ajashiriki kwa namna yoyote kuzitunza au kuziendeleza ili awe self
Umepotea ndugu... Hivi malalamiko yote ya ndugu kudhulumu mali za marehemu kaka yao hujasikia?
Hebu acha mawazo ya kuamini ndugu, watoto wako watateseka bro Ukitangulia mapema. Ungekuwa unaweza kuona usingeamini kinachotokea, hilo lenye jina la Mama yako warithi ni ndugu zako na sio watoto wako.
Utawadhulumu bure watoto wako kwa kujifanya unamficha mkeo.
Ndio maana huwa sipendi mazoea na mwanamke hata kama nipo nae kwenye mahusiano.Nina mshkaji wangu..
Ni best sanaa, tulikutana ajirani serikalini...
Baada ya kuona maisha ya ajira HAYAENDI tuliamua kuacha kazi na kufanya yetu, Mimi niliamua kwanza kwenda shule na yeye alianza kufanya yake (kujiajiri)...
Sasa nilivyo maliza chuo na kuanza na Mimi misele nilimkuta yupo mbali na kwa rehema za Mungu nilimkuta ana Mali kiasi (ukilinganisha na tulivyokua ajirani)....
Maisha yalisonga akaoa..
Ila Tabuu inakuja hapa...
Ndoa yao inamiaka mitatu na shemeji (mkewe) kapeleka ombi mahakamani la Talaka, kwa taarifa chini ya carpet "X wake wa China (alienda kusoma) karudi, then anataka kuhamia kwa X"...
Na anataka Mali zotee wagawane "MPAKA ZILE ALIZOMKUTA NAZO MSHIKAJI""
Rafiki yangu ye anasema "WATAGAWANA ZILE WALIZOCHUMA KWENYE NDOA YAO" ila alizomkuta nazo kama mashamba (Zaidi ya eka 50), nyumba ya biashara na ana miti mingii kapanda Njombe HATAKI WAGAWANE ila shemeji KAKOMAA ANATAKA 50 - 50..
NIMELILETA KWENU MJARIBU KUMSAIDIA...
Mwenye kujua anipe hata SECTIONS na ARTICLES za LAW niweze KUMSAIDIA MSHIKAJI WANGU.
Yaani ni MY BEST FRIEND BALAA..
TUMETOKA MBALI, NAMUONA KABISA ANAPOTEA KWA STRESS
Bia hazipandi tena..
Kitimoto ndio kabisa hataki...
Zile outing za kwenda kula nyama kwa wamasai ukimletea NOWDAYS anahisi kama unamng'ong'a....
Mtu pekee anayeweza Kuongea nae kwasasa ni Mimi tu wengine wotee hataki...
Yaani mpaka baadhi ya biashara zake nimechukua ili NIZIOKOE...
Sasa AMBAO MLIPITIA HAYA au MNAJUA HAYA MAMBO, TAFADHALINI "NAOMBA MNIPE DIRECTION NIMUOKEA MY BEST BROTHER IN THE WORLD""
#ASANTE
#YNWA
Kama walivyokushauri wengi ni kwamba atafute mwanasheria,atamuongoza vizuri sana,ila mahakama huvunja ndoa ile ambayo haiwezi kabisa kurekebishika,na hii ni baada ya kusikiliza pande zote 2,kwa kuzingatia je hiyo ni ndoa ya kidini au ya kimila,na kama ni ua kidini,ni ya kikrisyo au kiislamu,au ni ya kiserikaliNina mshkaji wangu..
Ni best sanaa, tulikutana ajirani serikalini...
Baada ya kuona maisha ya ajira HAYAENDI tuliamua kuacha kazi na kufanya yetu, Mimi niliamua kwanza kwenda shule na yeye alianza kufanya yake (kujiajiri)...
Sasa nilivyo maliza chuo na kuanza na Mimi misele nilimkuta yupo mbali na kwa rehema za Mungu nilimkuta ana Mali kiasi (ukilinganisha na tulivyokua ajirani)....
Maisha yalisonga akaoa..
Ila Tabuu inakuja hapa...
Ndoa yao inamiaka mitatu na shemeji (mkewe) kapeleka ombi mahakamani la Talaka, kwa taarifa chini ya carpet "X wake wa China (alienda kusoma) karudi, then anataka kuhamia kwa X"...
Na anataka Mali zotee wagawane "MPAKA ZILE ALIZOMKUTA NAZO MSHIKAJI""
Rafiki yangu ye anasema "WATAGAWANA ZILE WALIZOCHUMA KWENYE NDOA YAO" ila alizomkuta nazo kama mashamba (Zaidi ya eka 50), nyumba ya biashara na ana miti mingii kapanda Njombe HATAKI WAGAWANE ila shemeji KAKOMAA ANATAKA 50 - 50..
NIMELILETA KWENU MJARIBU KUMSAIDIA...
Mwenye kujua anipe hata SECTIONS na ARTICLES za LAW niweze KUMSAIDIA MSHIKAJI WANGU.
Yaani ni MY BEST FRIEND BALAA..
TUMETOKA MBALI, NAMUONA KABISA ANAPOTEA KWA STRESS
Bia hazipandi tena..
Kitimoto ndio kabisa hataki...
Zile outing za kwenda kula nyama kwa wamasai ukimletea NOWDAYS anahisi kama unamng'ong'a....
Mtu pekee anayeweza Kuongea nae kwasasa ni Mimi tu wengine wotee hataki...
Yaani mpaka baadhi ya biashara zake nimechukua ili NIZIOKOE...
Sasa AMBAO MLIPITIA HAYA au MNAJUA HAYA MAMBO, TAFADHALINI "NAOMBA MNIPE DIRECTION NIMUOKEA MY BEST BROTHER IN THE WORLD""
#ASANTE
#YNWA
Watakuja wataalam kuwa tu mvumilivu mkuu.Nina mshkaji wangu..

1 ya 4 ni katika mirathi iwapo mume hana mtoto hakuna sheria ya mke kupewa mali ya mume iwapo atadai talakaKaoa kwa kupitia dini gani?kama ni kwa Wakristo akatae kutoa taraka kama ni kwa Waislam kuna sheria anapewa 1 ya nne