Naombeni msaada, Rafiki yangu anaangamia

Naombeni msaada, Rafiki yangu anaangamia

D
acha ufala pumbavu nyie kujifanayga malaika na huku mbwa tuu...anajifanya ''anatumali''...fala sana watu kama nyinyi ndo mnafanya wengine waonekane ubaya na wanawake mnajifanyaga sana huwa hamkosei mbwa nyie
Duuuh si kwa povu hilo...

Wake kwa waume wanakosea...ni hivi huyo bidada asikubali kunyanyasika kizembe.

Ndoa zipo kwenye transition period.. Lazima mambo kama haya yatokee. Jamii ilizoea kuwaambia wanandoa VUMILIANENI na wahanga wakubwa wa uvumilivu ni wanawake. Coz wanaume asilimia kubwa akifanyiwa kosa anakuwa na nguvu ya maamuzi mfano mke kurudi kwao kwa muda, Kupigwa, kupewa talaka nk nk.

Sasa ndugu Jifunze kuvumilia... Litabia kama hili la kulipuka mkeo siku moja atakupa talaka.. Mwanaume wa kweli hatukani bali anatoa madini kila mtu anajifunza.
 
sheria ya ndoa inasema hivi mnagawana kile mlichochuma ndio sheria inavosema mimi nimeona kwa mama yangu na baba yangu so naelewa vizuri cha kufanya atafute mwanasheria, then atafute vithibitisho kama akiweza kama huyo mwanamke anataka kumuacha kisa x halafu pia mahakamani huwa wanaangalia sababu ya kuachana na nani ni mkorofi anzie kwenye ustawi wa jamii huku anapanda ngazi kidogo kidogo sheria haikandamizi hata kidogo na mwenye makosa ataonekana
Amen... Shida ni kuokoa alivyomkuta navyo tuuu
 
acha ufala pumbavu nyie kujifanayga malaika na huku mbwa tuu...anajifanya ''anatumali''...fala sana watu kama nyinyi ndo mnafanya wengine waonekane ubaya na wanawake mnajifanyaga sana huwa hamkosei mbwa nyie
Imekaaje hii "MBONA KAMA POVU"???
 
mnavyomuhurumia mpaka mnatia huruma

Hakuna X wake wala nini huyo kaka atakuwa mnyanyasaji kisa anajiona anatumali.
Tungesikia huyo mke ana sababu gani mpka anadai talaka....
Sababu kubwa ya huyo mwanamke kwa jinsi nilivyoongea nae nimegundua ana tamaa sana ya mali. Na akiendelea na tamaa kama hizo ataishia kuwa kama Diva wa Clouds.
 
Juzi ofisini kwetu dada wakazi alikuwa anamali zake kabla ya kuoana na kilaza fulani baada ya mume wake kuwa na hawara nje akaenda akaomba talaka na mahakama ili muamuru yule mama wagawane mali zote pasu kwa pasu yule mama kagoma kuhangaika kwa muda mrefu ila hakushinda.
Kwa maana yule mama ndiye aliyekuwa na mali nyingi kushinda mumewe huyo basi wakauza kila kitu hadi nyuma wakagawana pasu kwa pasu hadi huruma ila kuna maujanja ya kufanikisha kesi hiyo ila kwangu mimi naogopa kusema hapa nisije nikaletewa noma .
Toa madini TAFADHALI
 
Sasa hivi inabidi kuazima sheria za wenzetu uko majuu, ukioa akakuta una assets kadhaa kama Shamba, nyumba, inabidi ziwekwe wazi kwenye karatasi la sheria, wakati tunaowana nilikukuta na kitu hiki au kile kama mambo hayataenda sawa basi hivyo vitu siwezi kuvigusa, mwenye kuvigusa ni watoto watakaopatikana kwenye ndoa. Ukiamua kusepa uwezi gusa hivyo vitu, utagusa vilivyopatikana ndani ya ndoa basi.
Hii imekaa poa sanaa
 
D

Duuuh si kwa povu hilo...

Wake kwa waume wanakosea...ni hivi huyo bidada asikubali kunyanyasika kizembe.

Ndoa zipo kwenye transition period.. Lazima mambo kama haya yatokee. Jamii ilizoea kuwaambia wanandoa VUMILIANENI na wahanga wakubwa wa uvumilivu ni wanawake. Coz wanaume asilimia kubwa akifanyiwa kosa anakuwa na nguvu ya maamuzi mfano mke kurudi kwao kwa muda, Kupigwa, kupewa talaka nk nk.

Sasa ndugu Jifunze kuvumilia... Litabia kama hili la kulipuka mkeo siku moja atakupa talaka.. Mwanaume wa kweli hatukani bali anatoa madini kila mtu anajifunza.
Mke ndio anataka talaka
 
Mshikaji wangu yuko peace sanaa
Huyo x wake atampiga chini asubuhi sana, kabla jogoo hajawika. Hawa wanawake wakukutana nao barabarani ni shida sana, ukitaka kuoa study family history, wakoje kwao itakusaidia kufanya muamuzi sahihi. Wanawake wengi sasa hivi ni wajasiliamali kuchoma toka kwa Waume waende Lee na maisha yao , siyo waolewaji. Huyo x wake akipata habari hakuna ndoa tena. Huyo jamaa awake camera kwenye nyumba wakati anapiga pumbu arecord siku ya siku arushe kwa x wake huyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom