Podcast
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 842
- 1,031
Ushauri wangu ni huu
Kama ndoa hio haijawahi pitia sehemu yoyote ile kwa ajili ya usuluhisho..moja kwa moja ikaenda mahakamani haiwezwi kuvunjwa labda mahakama iamue kuwa separation lakini ndoa inaendelea kuwepo.
Kwa mujibu wa Law of marriage act Matrimonial properties ni mali ambazo zilipatikana kipindi mume na mke wanaishi pamoja, kama zilipatikana kabla haiwezi kuwa mali ya mume na mke itakuwa ni mali ya mtu 1. Japo ndani ya ndoa pia huwa kuna haki ya kila mtu kuwa na kitu cha peke yake ata kama wapo ndani ya ndoa.
Hakuna sheria ya 50 kwa 50 kwenye kugawana mali maana watu wengi sana wamekuwa wanaongea hili.
Sijaona ground nzuri ya uyo mwanamke kwenda mahakamani kudai taraka, asiongope ajipange vizuri atafuke wakili mzuri
Best lucky