Naombeni msaada, Rafiki yangu anaangamia

Sheria ndiyo itaamua kikubwa awe muwazi kwa mwanasheria wake na Kama sababu za mke kudai talaka ni huyo x wake kwa asilimia nyingi sheria itakua upande wa jamaa yako.

Mpe pole sana.
 
Aiseee..! Mi mtalaka wangu Sikua na habari za kumwambia tugawane ila nilimwambia tu, "UTACHUKUA KILE NILICHONUNUA TUKIWA WOTE ULICHONIKUTA NACHO UTAKIACHA"
Akabeba vitu vyote tulivyonunua mi nikawa nachekea mbavuni tu, maana nilishamsoma kitambo kwamba akijua mali zangu za ziada ataleta ujinga hivyo nikajifanya sina kitu, sa hv najiachia tu, huwa ananifuatilia kimya kimya mi namcheki tu maana mi mwenyewe kanikuta MAFIA
 
Huyo mwanamke si anataka kwenda kudanga? Mwambie atowe upuuzi sheria ya ndoa iko wazi watagawana walivyo chuma wote.

THE LAW OF MARRIAGE ACT [CAP 29 R.E. 2002], section 114(1),(2 a-d),(3) a some vizuri Hiki kifungu na kukielewa.

Nb: ukipata nafasi ya kuongea na shemela wako anaeenda kudanga, mwambie awe makini, watu wanaoishi njee (sio wote jamani) wengi wao waliosomea maneno matamu, at first lakini, asitegemee kuhudumiwa maana wengi wao (sio wote jamani) walizoea kupewa hela. na wanawake wa kizungu. Pia umwambie nimesema hivi laana ya kuwa alishawahi kuolewa akatoka kisa anaenda kudanga itamuandama mpaka kifo .mwisho umwambie luckyline kasema hakuna mwanaume mpumbavu atakaeoa mwanamke ambae kwa tamaa zake za kipuuzi kamuacha Mme wake ndani kaja kwake, anajua kuna siku nae ataachwa, kwa sasa atamgegeda tu ila hakuna future hapo.( maneno yangu sio sheria).
 
acha ufala pumbavu nyie kujifanayga malaika na huku mbwa tuu...anajifanya ''anatumali''...fala sana watu kama nyinyi ndo mnafanya wengine waonekane ubaya na wanawake mnajifanyaga sana huwa hamkosei mbwa nyie
We jamaa kulikoni mbona umelipuka fasta
 
Juzi ofisini kwetu dada wakazi alikuwa anamali zake kabla ya kuoana na kilaza fulani baada ya mume wake kuwa na hawara nje akaenda akaomba talaka na mahakama ili muamuru yule mama wagawane mali zote pasu kwa pasu yule mama kagoma kuhangaika kwa muda mrefu ila hakushinda.
Kwa maana yule mama ndiye aliyekuwa na mali nyingi kushinda mumewe huyo basi wakauza kila kitu hadi nyumba wakagawana pasu kwa pasu hadi huruma ila kuna maujanja ya kufanikisha kesi hiyo ila kwangu mimi naogopa kusema hapa nisije nikaletewa noma .
Akufate PM atapata msaada
 
Huyo mke kwani ana documents zote za hayo mashamba na Mali ili aweze kuclaim zao?
Ndio maana hutakiwi kumuonesha kila kitu chako mke Kama kakukuta navyo.
Ndugu zako wanatosha kuwaonesha.

Mwenzenu mashamba yangu yote nimeandika jina la mama yangu.
Hata kama alishakufa lakini ndio hivyo tena.
Na hayajui hata yalipo Ila ndugu zangu wanayajua.
Na nilishawaambia, nikifa Mali zangu ni za wanangu popote walipo.
 
Sasa hivi inabidi kuazima sheria za wenzetu uko majuu, ukioa akakuta una assets kadhaa kama Shamba, nyumba, inabidi ziwekwe wazi kwenye karatasi la sheria, wakati tunaowana nilikukuta na kitu hiki au kile kama mambo hayataenda sawa basi hivyo vitu siwezi kuvigusa, mwenye kuvigusa ni watoto watakaopatikana kwenye ndoa. Ukiamua kusepa uwezi gusa hivyo vitu, utagusa vilivyopatikana ndani ya ndoa basi.
Prenuptial agreement/contract
 
Huyo mke kwani ana documents zote za hayo mashamba na Mali ili aweze kuclaim zao?
Ndio maana hutakiwi kumuonesha kila kitu chako mke Kama kakukuta navyo.
Ndugu zako wanatosha kuwaonesha.

Mwenzenu mashamba yangu yote nimeandika jina la mama yangu.
Hata kama alishakufa lakini ndio hivyo tena.
Na hayajui hata yalipo Ila ndugu zangu wanayajua.
Na nilishawaambia, nikifa Mali zangu ni za wanangu popote walipo.
Umepotea ndugu... Hivi malalamiko yote ya ndugu kudhulumu mali za marehemu kaka yao hujasikia?
Hebu acha mawazo ya kuamini ndugu, watoto wako watateseka bro Ukitangulia mapema. Ungekuwa unaweza kuona usingeamini kinachotokea, hilo lenye jina la Mama yako warithi ni ndugu zako na sio watoto wako.

Utawadhulumu bure watoto wako kwa kujifanya unamficha mkeo.
 
Huyo mwanamke si anataka kwenda kudanga? Mwambie atowe upuuzi sheria ya ndoa iko wazi watagawana walivyo chuma wote.

THE LAW OF MARRIAGE ACT [CAP 29 R.E. 2002], section 114(1),(2 a-d),(3) a some vizuri Hiki kifungu na kukielewa.

Nb: ukipata nafasi ya kuongea na shemela wako anaeenda kudanga, mwambie awe makini, watu wanaoishi njee (sio wote jamani) wengi wao waliosomea maneno matamu, at first lakini, asitegemee kuhudumiwa maana wengi wao (sio wote jamani) walizoea kupewa hela. na wanawake wa kizungu. Pia umwambie nimesema hivi laana ya kuwa alishawahi kuolewa akatoka kisa anaenda kudanga itamuandama mpaka kifo .mwisho umwambie luckyline kasema hakuna mwanaume mpumbavu atakaeoa mwanamke ambae kwa tamaa zake za kipuuzi kamuacha Mme wake ndani kaja kwake, anajua kuna siku nae ataachwa, kwa sasa atamgegeda tu ila hakuna future hapo.( maneno yangu sio sheria).
Amen.. Asante kwa hizi section..
 
Mkuu ndoa huvunjwa na mahakama
Sheria ya ndoa mwaka 1971 na 29
Inaeleza bayana sababu za kuvunja ndoa hivyo basi kwa uchache hapo kwa mujibu wa maelezo yako ndoa haiwezekani kuvunjwa
 
Mke HAITAKI TENA NDOA..
Mshikaji KARIDHIA
Tatizo lina kuja HIZO MALI.
 
Umepotea ndugu... Hivi malalamiko yote ya ndugu kudhulumu mali za marehemu kaka yao hujasikia?
Hebu acha mawazo ya kuamini ndugu, watoto wako watateseka bro Ukitangulia mapema. Ungekuwa unaweza kuona usingeamini kinachotokea, hilo lenye jina la Mama yako warithi ni ndugu zako na sio watoto wako.

Utawadhulumu bure watoto wako kwa kujifanya unamficha mkeo.
Nakazia
 
Juzi ofisini kwetu dada wakazi alikuwa anamali zake kabla ya kuoana na kilaza fulani baada ya mume wake kuwa na hawara nje akaenda akaomba talaka na mahakama ili muamuru yule mama wagawane mali zote pasu kwa pasu yule mama kagoma kuhangaika kwa muda mrefu ila hakushinda.
Kwa maana yule mama ndiye aliyekuwa na mali nyingi kushinda mumewe huyo basi wakauza kila kitu hadi nyumba wakagawana pasu kwa pasu hadi huruma ila kuna maujanja ya kufanikisha kesi hiyo ila kwangu mimi naogopa kusema hapa nisije nikaletewa noma .
Nguvu za giza eti😛(joke)
 
Sijaelewa yaani mwanaume ndiyo kaenda kuomba talaka?
 
Aende ofisini akalipie consultation fee aandikiwe detailed legal opinion.
Kisheria inakuaje?? Kuna possibility ya kugawana kila kitu wakati hamjachuma naye vyoote?? Au mnagawana mlivyotafuta nae??
 
Sheria ya ndoa ya mwaka 2002 section 58 inatoa uhalali wa mtu kumiliki mali binafs hata kama yuko kwene ndoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom