Naombeni msaada, nimetapeliwa

Elfu 84 au milioni 84?. Maana usije ukakuta unalia ni elfu 84 tu?. Kama ni elfu 84 watakuja oooh...! Viwango vya uwezo vimetofautiana. Mwingine hiyo ni kubwa sana. Kama ni elfu 84 shukuru MUNGU na jipige kifua umejinasua. Umefundishwa kwa kiwango kidogo,maana ulikuwa unatafutwa 10m hapo utupie. Hiyo imekwisha ifanye umenywea bia tu na wana. Wala usiumize hata kichwa. Panga mengine
 
Pole sana mkuu. Peleka tatizo lako polisi watawasaka hao wezi hasi wapatikane na kukurudishia fedha zako.
 
Ukowapi nikurudishie hiyo pesa? Usije ukajinyonga mtoto wa watu. Pole sana pia.
 
Utapigwa Tu,Nami Nasema Upigwe Tu
Maana Tumechoka
By Pinda
 
Wewe mwenyewe ulitaka kuwadhurumu wamekuwahi
 
😃 Kuna wakati huwa ninatamani kuhamia Afghanstan ili nikawe Mtaliban!

Ila nikiwakumbuka watu kama nyinyi, naona bora niendelee tu kubaki Bongo. Maana mnaniongezea siku zangu za kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…