Naombeni msaada, nahisi kukata tamaa ya maisha

Naombeni msaada, nahisi kukata tamaa ya maisha

Wataalamu Wa mapenzi wamezagaaa kila kona mjini hapa ila sio waoaji watakupa kila ladha katika Penzi,watakusafirisha kihisia kutoka Duniani mpaka Mars.

Kifuatacho TBC

Ni ziara ya kushtukiza ya Raisi Magufuli.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimekaa nikawaza miaka na miaka kwanini sipati kazi nanikipata sidumu nimejaribu kujua nini tatizo sijaona ila kweli na shida kuolewa tabu madharau sina naheshimu kila mtu na pia sinaga ugomvi wala chuki watu wananipendaga sana sio mtaani au maofisini ila kuolewa ngumu kila mtu anashangaa naombeni msaada umri unaenda ila sioni faida .

Yaani nimekata tamaa naona niende kule kama wengine naombeni msaada mahali pakwenda ni wapi ambapo sintajutia hela yangu kwa maana na hitaji suluhisho kwa ambaye anamjua mtaalamu mzuri naomba ani pm nipo serious so nahitaji na mtu ambaye yupo makini kunisaidia asanteni kwa muda wenu naamini nitasaidika.
Pole ndugu lakini usisononeke kukosa kazi, jaribu kubadili mazingira uone mambo yako yataendaje, kazi ni network kwa maana unajuana na nani, endesha hata boda utajuana na watu kisha unaweza ukashangaa machozi ya huzuni uliyonayo yakageuka furaha
 
Dah ngoja nilale hampo serious mi nashida nyie mnanitania nashukuru kwa wote waliochangia
Hapa ndo unapofeli sasa nahisi hata maisha ya kawaida inawezekaba wewe ni mtu wa kuzila zila ndomana unaona hufanikiwi...kama unadhani dunia nzima itakua bize na tatizo lako na kulichukulia uzito sahau dada,jiamini na kuwa mvumilivu.kila la kheri
 
Nimekaa nikawaza miaka na miaka kwanini sipati kazi nanikipata sidumu nimejaribu kujua nini tatizo sijaona ila kweli na shida kuolewa tabu madharau sina naheshimu kila mtu na pia sinaga ugomvi wala chuki watu wananipendaga sana sio mtaani au maofisini ila kuolewa ngumu kila mtu anashangaa naombeni msaada umri unaenda ila sioni faida .

Yaani nimekata tamaa naona niende kule kama wengine naombeni msaada mahali pakwenda ni wapi ambapo sintajutia hela yangu kwa maana na hitaji suluhisho kwa ambaye anamjua mtaalamu mzuri naomba ani pm nipo serious so nahitaji na mtu ambaye yupo makini kunisaidia asanteni kwa muda wenu naamini nitasaidika.
Suala la mwanaume hilo ondoa Shaka... Ulidhani ubavu wako wamepikia supu? Usijali ubavu wako nipo.
Ukikubali nakuoa hata kesho, Mpenzi wangu.
 
Mpe Yesu KRISTO maisha yako yote naye atayabadilisha nakuyafanya mapya
 
Ungekuwa hujaongea mambo ya Waganga ningekuja pm
 
kuolewa sio.dili..mimi ningekuwa na akili nilizonazo sasa kwakweli nisingeolewa....ukiolewa unabanwa mnoo kila.kitu unachowaza kufanya unafikiria mume...mie kakangu anapiga pesa za madini musoma huko nataman kumjoin lakini ndo nashindwa!ndoa!dadeki
Musoma sehemu gani mrembo,yawezekana tunafamiana
 
Back
Top Bottom