waza zaidi kipato...unaweza kuolewa alafu ukawa huna ajira gubu za mume zikaanza unapewa hela ya mawazooo aise inaboa..mcheki mjamaa m1 hussein huenda akakuvusha...
ila my dear usibague kazi..nakuomba sana sana....
nikupe mfano hai halisia...kuna siku 2 sikwenda kazini nilikuwa mgonjwa...basi kwa jirani yangu kukaanza ujenzi wa msingi..saa1usk ndo niliona msingi unajengwa baada ya mm kutoka nje..eti nikajikuta nimeenda kuongea na mafundi..nikajikuta nawauliza mnakula wapi?wakajibu hatujala leo unatakaje?nikawaambia naweza kuwapikia?wakasema ww tu!wakaask aina ya msos nikawaambia mtakachotaka..wakahis km nawaenjoy.. nikawahakikishia nitawapikia..walikua 7@1500/plate..
asbh mume akaniambia kuna mafundi wanakuja kumalizia ujenzi hapa kwetu..wakaja mafundi 4 nikawaeleza nitawapikia wanilipe wakakubali kwa hyi siku ya 1 nikawapikia mafundi 11..@1500..
Mungu alivyo mwema na jiran yangu akawa anapaka rangi nyumba yake(usishangae hvyo tupo mji mpya kila mtu anajenga)nikaenda kuongea nao na wale mafundi..shoga kazini nikaomba ruhusa ya kibabe nimefiwa..so nikawa napika msos wa watu 18 daily... ruhusa yangu ilipoisha nikawa napika asbh wali (walikubaliana wote wale wali)nauweka kwa pots dada wa kazi akawa anapika mboga tu..maharag na nyama na mchicha...saa 7 anawapelekea kwa sahan.. wameenda kwa week 3.. i mean wote 18..sasa u can imagine tulimake sh ngap za bure bure ..na watu 18 nilikua napika 4kgs..maharage kilo na nusu nyama 1kg..pesa mfukoni..maisha haya yapo tu..na ukumbuke nikawateka na juice..dadake amka! pesa ipo ni ww kufikiria tu jinsi ya kuitafuta..hii ishu nimeifanya mwenyewe sijasimliwa😊😊 tafuta kazi hata kwa mama ntilie