Nimekaa nikawaza miaka na miaka
Kwanini sipati kazi nanikipata sidumu nimejaribu kujua nini tatizo sijaona ila kweli na shida kuolewa tabu madharau sina naheshimu kila mtu na pia sinaga ugomvi wala chuki.
Watu wananipendaga sana sio mtaani au maofisini ila kuolewa ngumu kila mtu anashangaa naombeni msaada umri unaenda ila sioni faida .
Yaani nimekata tamaa.
Naona niende kule kama wengine.
Naombeni msaada mahali pakwenda ni wapi?
Ambapo sintajutia hela yangu.
Kwa maana na hitaji suluhisho .
Kwa ambaye anamjua mtaalamu mzuri naomba ani pm.
Nipo serious so nahitaji na mtu ambaye yupo makini kunisaidia.
Asanteni kwa muda wenu naamini nitasaidika.