Naombeni msaada, nahisi kukata tamaa ya maisha

Naombeni msaada, nahisi kukata tamaa ya maisha

Life Is So Much Easier When You Don't Give A F*ck
 
itubu hyo dhambi leo jio hornet..sijui km una nielewa... nilichofanya nilinunua mchele mzuri kwa 1500...hornet hakuna watu wanaopata pesa kama mama ntilie.. naogopa ht kusema kwa 3wks hizo nilipata sh ngap..alafu nikawa napika msos class km wa hom walidata..sasa ww ona buku 3 ndogo..
kuna mkaka alikua taasisi 1 hv ifakara..alikia ana hela had anaumwa..magu alipoingia ile taasisi ikafungwa..alikua ana mijing'ombe..shoga kaka ana Phd ila nw anauza maziwa kam hana akili nzuri..anauza fresh na mtindi anagandisha mwenyew..popote ukimkuta ana mtindi... na anakuambia maisha yanasonga..mm ht sijui nan alinipaga ujasiri wa kufanya kazi yyt ile..ila ningemshirikisha mume najua angekataa amekuja jua sku 3 wamalize..ww uaona aibu mwenzako anamake money.. shauri zako.. why uwe na aibu sasa?
Mumeo alipata mke
 
Pole kwa changamoto za maisha;kinachokufanya ukose/kutodumu kwenye kazi ni msongo wa mawazo unaotokana na kukosa mwenza na kupunguza ufanisi katika kazi.Kuhusu kupata mwenza,jaribu kuangalia katika list yako kwa wale uliokuwa nao huko nyuma ambao bado hawajaoa peaneni 'appointment' ya mazungumzo ya kiutu uzima ueleze hisia zako,kama hakuna ongeza nguvu za wewe kuwatafuta kutokana na uhitaji wako.
 
Mafanikio ya maisha hayana formula moja.

-Unaweza ukafanikiwa kwenye ndoa
-unaweza kufanikiwa ukiwa nje ya ndoa.
Yote ni sawa muhimu ni jitahada na kumuomba mungu
 
[emoji134][emoji134][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23] masikini weee
 
Pole mkuu,nakushauri usichague sana ukimpata ambaye mnaendana tabia mbili tatu ingia naye kwenye mahusiano halafu humo ndani mtarekebisha ila ukisubiria kumpata perfect one ni sawa kusubiria mbwa ipo siku atakuwa mbuzi
 
Nimekaa nikawaza miaka na miaka kwanini sipati kazi nanikipata sidumu nimejaribu kujua nini tatizo sijaona ila kweli na shida kuolewa tabu madharau sina naheshimu kila mtu na pia sinaga ugomvi wala chuki watu wananipendaga sana sio mtaani au maofisini ila kuolewa ngumu kila mtu anashangaa naombeni msaada umri unaenda ila sioni faida .

Yaani nimekata tamaa naona niende kule kama wengine naombeni msaada mahali pakwenda ni wapi ambapo sintajutia hela yangu kwa maana na hitaji suluhisho kwa ambaye anamjua mtaalamu mzuri naomba ani pm nipo serious so nahitaji na mtu ambaye yupo makini kunisaidia asanteni kwa muda wenu naamini nitasaidika.
My take pole sana kwa hatua uliyofikia.
Also nikutie moyo usually unapokuwa umekata tamaa then ukajipa 2-3 days hakika kuna jibu litakujia.

Nashauri
(1)badili mazingira mkoa to mkoa,wilaya to wilaya,kata to kata,etc

(2)learn not to stay alone. Be close to friends me napenda sana friends(nakukaribisha)

(3)don't be so so social, usipende sana kufurahisha wengine while hujifunzi kuwa happy wewe.

(4)kudumu kwenye kazi inategemea mambo mengi mno(1)seriousness
(2)mavazi
(3) tabia zako kazini
(4)vision
(5)GOD WANTS YOU TO DO OTHER WORKS,OTHER THINGS.

pole kwa changamoto .
 
Dah ngoja nilale hampo serious mi nashida nyie mnanitania nashukuru kwa wote waliochangia
JF LAZIMA UPATE SIDE A NA B YA COMMENTS SASA UKIWAKA NAMI NTAKUADIKIA COMMENTS YA KUZINGUA WATU WACHEKE BADALA YA KUKUSAIDIA KABISA.....ALL IN ALL TUACHE

sijakuelwea unaposema mtaalamu...yani usije potea kwa kuruka ruka huku na kule kisa unatafuta utaalam ndio kufeli mazima..jaoo sijui unamaaa gani mtaalam,..ila kwa kusikia watu husema mtaaalam ni mganga...so kama ni hivo acha fikra hizo za kukosa maarifa....

NEVER GIVE UP
 
Back
Top Bottom