KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,318
Wanganga wa kienyeji siku izi wanaweka dawa kwenye dushe. Ngoja uendelee kuongezewa kilometa.
Kwani ni uongo? Kiukweli mi huwa sio mnafiki, mara nyingi naongeaga ukweli mchungu ambao wengi wanaotafuta mademu humu hawawezi kuongea.hata ww kumbe unaandikaga upupu???
Sijui nikutukaneacha kulia lia...kama vipi vuta banghi hayo mawazo yataisha
Mkombozi wa wenye matatizo ni YESU PEKEE Acha kumpa utukufu MwanadamuKweli Mwamposa ni mkombozi wa wenye matatizo, hata ambao hawabebi mimba wakienda huko wanareceive, Hornet umemshauri vizuri.
Kwani ni uongo? Kiukweli mi huwa sio mnafiki, mara nyingi naongeaga ukweli mchungu ambao wengi wanaotafuta mademu humu hawawezi kuongea.
Mbona hii thredi unaijibia wewe? au umelog off ile ID?yeye amesema anahitaj zaidi kazi... labda nikueleweshe..amesema mwenyew anahakika atapata tu mume..kuringa muhimu ati
Mbona hii thredi unaijibia wewe? au umelog off ile ID?
We utakua ni mwanamke/au demu.Kweli Mwamposa ni mkombozi wa wenye matatizo, hata ambao hawabebi mimba wakienda huko wanareceive, Hornet umemshauri vizuri.
itubu hyo dhambi leo jio hornet..sijui km una nielewa... nilichofanya nilinunua mchele mzuri kwa 1500...hornet hakuna watu wanaopata pesa kama mama ntilie.. naogopa ht kusema kwa 3wks hizo nilipata sh ngap..alafu nikawa napika msos class km wa hom walidata..sasa ww ona buku 3 ndogo..
kuna mkaka alikua taasisi 1 hv ifakara..alikia ana hela had anaumwa..magu alipoingia ile taasisi ikafungwa..alikua ana mijing'ombe..shoga kaka ana Phd ila nw anauza maziwa kam hana akili nzuri..anauza fresh na mtindi anagandisha mwenyew..popote ukimkuta ana mtindi... na anakuambia maisha yanasonga..mm ht sijui nan alinipaga ujasiri wa kufanya kazi yyt ile..ila ningemshirikisha mume najua angekataa amekuja jua sku 3 wamalize..ww uaona aibu mwenzako anamake money.. shauri zako.. why uwe na aibu sasa?
Umeipata point yangu
Yes mama ntilie wanapata sana
Sasa Kwa nini mtu anaekutumikia umpe 4000tshs per day?
Hizo ni glass nne za juice kwake anauza 1000/=
Sasa upoteze nguvu zako kwa 4000 ukizingatia na ugumu wa kazi?
Si bora utafute wateja hata ukipata 4000 iwe halali ya unachokifanya?
Unaona ni halali mtu akukandie chapati, maandazi akupikie na kusambaza kwa wateja kwa 4000?
kama huna kazi why not..i mean ht hela ya kula huna uanze kubagua?mie siwez
😂😂usichague kazi...hapo hapo kwenye hyo kazi unakuta unapata ka dili kengine..ohooBinafsi siwezi kuna kazi unaweza kufanya kwa hiyo pesa Ila siyo mama ntilie
Mimi nimefahamu Yesu kwa kufundishwa na wanatumishi ndio maana nawapenda hongera ww uliyejua habari ya wokovu wa kristo kwa akili yako mwenyeweWe utakua ni mwanamke/au demu.
Hao ndo wanaongoza kwa kuwaamini wachungaji kuliko kumwamini Yesu.
omba talaka uone kama kuolewa siyo dilikuolewa sio.dili..mimi ningekuwa na akili nilizonazo sasa kwakweli nisingeolewa....ukiolewa unabanwa mnoo kila.kitu unachowaza kufanya unafikiria mume...mie kakangu anapiga pesa za madini musoma huko nataman kumjoin lakini ndo nashindwa!ndoa!dadeki
Njoo nikushauri kama hutojali.Nimekaa nikawaza miaka na miaka kwanini sipati kazi nanikipata sidumu nimejaribu kujua nini tatizo sijaona ila kweli na shida kuolewa tabu madharau sina naheshimu kila mtu na pia sinaga ugomvi wala chuki watu wananipendaga sana sio mtaani au maofisini ila kuolewa ngumu kila mtu anashangaa naombeni msaada umri unaenda ila sioni faida .
Yaani nimekata tamaa naona niende kule kama wengine naombeni msaada mahali pakwenda ni wapi ambapo sintajutia hela yangu kwa maana na hitaji suluhisho kwa ambaye anamjua mtaalamu mzuri naomba ani pm nipo serious so nahitaji na mtu ambaye yupo makini kunisaidia asanteni kwa muda wenu naamini nitasaidika.
Yesu anafahamika kwa kuhubiriwa habari zake, nimezaliwa nimekuta watu wanamuhubiri, ww ulishawahi muona?Mimi nimefahamu Yesu kwa kufundishwa na wanatumishi ndio maana nawapenda hongera ww uliyejua habari ya wokovu wa kristo kwa akili yako mwenyewe
[emoji23][emoji23]usichague kazi...hapo hapo kwenye hyo kazi unakuta unapata ka dili kengine..ohoo
na mganga kuweka dawa lazima ataiweka kwanjia ya kufurahisha sanana akijichomeka tu kwenda kwa hyo miganga ya kienyeji kwisha habari yake...hivi hizo stress jaman had umfikirie mganga wa kienyeji sijui wanwake tunawazaga nn...watamlia pesa zake na asiolewe