Naombeni msaada, nahisi kukata tamaa ya maisha

Naombeni msaada, nahisi kukata tamaa ya maisha

Kuolewa ni kuzuri ila mimi nawaza sana kazi na kipato.

waza zaidi kipato...unaweza kuolewa alafu ukawa huna ajira gubu za mume zikaanza unapewa hela ya mawazooo aise inaboa..mcheki mjamaa m1 hussein huenda akakuvusha...
ila my dear usibague kazi..nakuomba sana sana....
nikupe mfano hai halisia...kuna siku 2 sikwenda kazini nilikuwa mgonjwa...basi kwa jirani yangu kukaanza ujenzi wa msingi..saa1usk ndo niliona msingi unajengwa baada ya mm kutoka nje..eti nikajikuta nimeenda kuongea na mafundi..nikajikuta nawauliza mnakula wapi?wakajibu hatujala leo unatakaje?nikawaambia naweza kuwapikia?wakasema ww tu!wakaask aina ya msos nikawaambia mtakachotaka..wakahis km nawaenjoy.. nikawahakikishia nitawapikia..walikua 7@1500/plate..
asbh mume akaniambia kuna mafundi wanakuja kumalizia ujenzi hapa kwetu..wakaja mafundi 4 nikawaeleza nitawapikia wanilipe wakakubali kwa hyi siku ya 1 nikawapikia mafundi 11..@1500..
Mungu alivyo mwema na jiran yangu akawa anapaka rangi nyumba yake(usishangae hvyo tupo mji mpya kila mtu anajenga)nikaenda kuongea nao na wale mafundi..shoga kazini nikaomba ruhusa ya kibabe nimefiwa..so nikawa napika msos wa watu 18 daily... ruhusa yangu ilipoisha nikawa napika asbh wali (walikubaliana wote wale wali)nauweka kwa pots dada wa kazi akawa anapika mboga tu..maharag na nyama na mchicha...saa 7 anawapelekea kwa sahan.. wameenda kwa week 3.. i mean wote 18..sasa u can imagine tulimake sh ngap za bure bure ..na watu 18 nilikua napika 4kgs..maharage kilo na nusu nyama 1kg..pesa mfukoni..maisha haya yapo tu..na ukumbuke nikawateka na juice..dadake amka! pesa ipo ni ww kufikiria tu jinsi ya kuitafuta..hii ishu nimeifanya mwenyewe sijasimliwa😊😊 tafuta kazi hata kwa mama ntilie
 
Humu wakungwi wa msaada ila hayo uliosema ukifanikiwa ni 30% ya matamanio yako ya kupata kile unachohitaji
Ushauri:njoo sirari twende Kenya kubadili mandhari ya hali ya maisha ya Tz
 
waza zaidi kipato...unaweza kuolewa alafu ukawa huna ajira gubu za mume zikaanza unapewa hela ya mawazooo aise inaboa..mcheki mjamaa m1 hussein huenda akakuvusha...
ila my dear usibague kazi..nakuomba sana sana....
nikupe mfano hai halisia...kuna siku 2 sikwenda kazini nilikuwa mgonjwa...basi kwa jirani yangu kukaanza ujenzi wa msingi..saa1usk ndo niliona msingi unajengwa baada ya mm kutoka nje..eti nikajikuta nimeenda kuongea na mafundi..nikajikuta nawauliza mnakula wapi?wakajibu hatujala leo unatakaje?nikawaambia naweza kuwapikia?wakasema ww tu!wakaask aina ya msos nikawaambia mtakachotaka..wakahis km nawaenjoy.. nikawahakikishia nitawapikia..walikua 7@1500/plate..
asbh mume akaniambia kuna mafundi wanakuja kumalizia ujenzi hapa kwetu..wakaja mafundi 4 nikawaeleza nitawapikia wanilipe wakakubali kwa hyi siku ya 1 nikawapikia mafundi 11..@1500..
Mungu alivyo mwema na jiran yangu akawa anapaka rangi nyumba yake(usishangae hvyo tupo mji mpya kila mtu anajenga)nikaenda kuongea nao na wale mafundi..shoga kazini nikaomba ruhusa ya kibabe nimefiwa..so nikawa napika msos wa watu 18 daily... ruhusa yangu ilipoisha nikawa napika asbh wali (walikubaliana wote wale wali)nauweka kwa pots dada wa kazi akawa anapika mboga tu..maharag na nyama na mchicha...saa 7 anawapelekea kwa sahan.. wameenda kwa week 3.. i mean wote 18..sasa u can imagine tulimake sh ngap za bure bure ..na watu 18 nilikua napika 4kgs..maharage kilo na nusu nyama 1kg..pesa mfukoni..maisha haya yapo tu..na ukumbuke nikawateka na juice..dadake amka! pesa ipo ni ww kufikiria tu jinsi ya kuitafuta..hii ishu nimeifanya mwenyewe sijasimliwa[emoji4][emoji4] tafuta kazi hata kwa mama ntilie

Umesema mama ntilie [emoji23][emoji23]

Kuna siku nimeitiwa kazi kwa mama ntilie kuingia saa 11 alfajiri kutoka saa 2 usiku

Mshahara 4000 per day ukitoa nauli ni 3000 kwa siku...
Nikasema hata kama hatutakiwi kuchagua kazi mmh hapana kwa kweli
 
itubu hyo dhambi leo jio hornet..sijui km una nielewa... nilichofanya nilinunua mchele mzuri kwa 1500...hornet hakuna watu wanaopata pesa kama mama ntilie.. naogopa ht kusema kwa 3wks hizo nilipata sh ngap..alafu nikawa napika msos class km wa hom walidata..sasa ww ona buku 3 ndogo..
kuna mkaka alikua taasisi 1 hv ifakara..alikia ana hela had anaumwa..magu alipoingia ile taasisi ikafungwa..alikua ana mijing'ombe..shoga kaka ana Phd ila nw anauza maziwa kam hana akili nzuri..anauza fresh na mtindi anagandisha mwenyew..popote ukimkuta ana mtindi... na anakuambia maisha yanasonga..mm ht sijui nan alinipaga ujasiri wa kufanya kazi yyt ile..ila ningemshirikisha mume najua angekataa amekuja jua sku 3 wamalize..ww uaona aibu mwenzako anamake money.. shauri zako.. why uwe na aibu sasa?
 
Moja kafa ila hawanaga shida wao wako peace sana baba yangu alikuwa mcheshi na mtani hamuachi kucheka kabisa hanaga kinyongo ukimuuzi anasema kabisa.
So sio wao ni shida tu.
Kuna jamaa alipitia mapito kama yako, alikuwa anapata kazi lakini haifiki mwaka lazima aache kazi au anaachishwa. By then mama yake kipenzi alikuwa amefariki muda tu. Jamaa yule hakuwai kuongea na marehemu mama yake katika sala. Basi baada ya mambo yake kuwa hayafanikiwi alienda kwa kiongozi wake wa kiroho(padri) akamuelezea mapito yake.
Padri baada ya kumsikiliza kwa makini, alitambua tatizo lake basi akamuelekeza aende akafanye novena ya siku 9 afunge na kuomba kwa ajili ya marehemu mama yake. Jamaa alifanya kama alivyoelekezwa, baada ya miezi michache tu alipata kazi nzuri tu ambayo amedumu nayo mpaka leo na ni zaidi ya miaka 10. Jamaa alifanikiwa kuoa na anaishi vizuri na familia yake.
 
Back
Top Bottom