Naombeni msaada, nahisi kukata tamaa ya maisha

Naombeni msaada, nahisi kukata tamaa ya maisha

Pole sana kwa mapito unayopitia. Mimi ningependa kufahamu kwanza kama wazazi wako wote wawili wapo hai na pia mahusiano yako na wao yapoje?


utamrudisha ninawi..kutegemea wazaz badala ya wao wamtegemee...kama umewza kumiliki simu wew ni mtu mzima tayari...msaidie asaidie wazaz wake..na sio wazaz wamsaidie
 
na inawezekana akapata mume humu humi alafu ndoa akaion chungu...mie nadhan ifike kipindi mtu uhadithie magumu ulokutana nayo kimaisha katk utafutaji..watu tupeane moyo hakuna kukata tamaa..than kudanganyana kwenye ndoa ndo kila kitu...huyu ajiajiri asimame mwnyew

Ila kujiajiri ni changamoto ukiwa mwepesi

Mimi nimekaa pembeni natafuta kuajiriwa

Kujiajiri naona kuna wenyewe
 
Juzi kuna mtu ameolewa ana miaka 40 wewe una miaka mingapi? Stand still don't shake never panic stop giving up! Ukiwa na hiyo mentality utaacha mlango wazi ukijua kila anayekuja ni mwema matokeo utalia zaidi ya unavyolia leo! Kuolewa na kuto kuolewa kote kuna mitihani yake
Nimekaa nikawaza miaka na miaka kwanini sipati kazi nanikipata sidumu nimejaribu kujua nini tatizo sijaona ila kweli na shida kuolewa tabu madharau sina naheshimu kila mtu na pia sinaga ugomvi wala chuki watu wananipendaga sana sio mtaani au maofisini ila kuolewa ngumu kila mtu anashangaa naombeni msaada umri unaenda ila sioni faida .

Yaani nimekata tamaa naona niende kule kama wengine naombeni msaada mahali pakwenda ni wapi ambapo sintajutia hela yangu kwa maana na hitaji suluhisho kwa ambaye anamjua mtaalamu mzuri naomba ani pm nipo serious so nahitaji na mtu ambaye yupo makini kunisaidia asanteni kwa muda wenu naamini nitasaidika.
 
Huna haja ya kwenda kwa mganga ili upatee Mme wakukuoa cha msingi ombaa mungu atakupatia Mme .Mimi ni mdogo ila naitaji make Nina mji wangu..age yangu 26s
 
Mwanamke anae waza kwenda kwa waganga anakosa sifa za kuwa mke wa mtu makini.

alafu wamejaa kweli mitaani..mm kwanza nikienda kwa mganga nitamhoji maswali atanifukuza mwenyewe..sijawah ona connection kbs ya uganga na utajiri.ndoa,etc..labda kwaajili sijawah hudhuria..ujinga kweli
 
utamrudisha ninawi..kutegemea wazaz badala ya wao wamtegemee...kama umewza kumiliki simu wew ni mtu mzima tayari...msaidie asaidie wazaz wake..na sio wazaz wamsaidie
Wazazi ni malango ya baraka na heri nyingi tulizonazo hapa duniani, ndio maana nimemuuliza kuhusu wazazi wake. Huwezi kutatua tatizo kwa kukata matawi yake inabidi ujue mizizi ya tatizo.
 
Lad
Dah ngoja nilale hampo serious mi nashida nyie mnanitania nashukuru kwa wote waliochangia
EveLady,
1-Unataka nini hasa ?
2-Unaishi wapi ?
3-Wewe kabila gani ?
4-Wewe dini gani ?
Weka wasifu wako hapa, huenda tatizo lako ni dogo sana
 
Pole sana kwa mapito unayopitia. Mimi ningependa kufahamu kwanza kama wazazi wako wote wawili wapo hai na pia mahusiano yako na wao yapoje?
Moja kafa ila hawanaga shida wao wako peace sana baba yangu alikuwa mcheshi na mtani hamuachi kucheka kabisa hanaga kinyongo ukimuuzi anasema kabisa.
So sio wao ni shida tu.
 
kuolewa sio.dili..mimi ningekuwa na akili nilizonazo sasa kwakweli nisingeolewa....ukiolewa unabanwa mnoo kila.kitu unachowaza kufanya unafikiria mume...mie kakangu anapiga pesa za madini musoma huko nataman kumjoin lakini ndo nashindwa!ndoa!dadeki
Kuolewa ni kuzuri ila mimi nawaza sana kazi na kipato.
 
Hamna kitu kizuri kama kuruhusu muda ukafanya kazi yake!
Put some efforts and wait for results!

Sasa mtu yuko desperate anataka ndoa anataka kazi kwa nguvu mwishowe anaangukia wrong choices

Si unajua kitakachofuata?!
Kazi ndio shida kabisa jamani
 
Dada ugumu upo Kwa wengi keep living utapata mume tu.Hata mie sijaoa na kuna muda nilikata tamaa kabisa
 
Back
Top Bottom