Naombeni msaada, nahisi kukata tamaa ya maisha

Naombeni msaada, nahisi kukata tamaa ya maisha

na akijichomeka tu kwenda kwa hyo miganga ya kienyeji kwisha habari yake...hivi hizo stress jaman had umfikirie mganga wa kienyeji sijui wanwake tunawazaga nn...watamlia pesa zake na asiolewe
Akienda tu kwa mganga, na mganga na yeye lazima asuze rungu kuna mwenzake aliltea story humu mganga alivyojisuzia rungu kiulaniiii
 
Akienda tu kwa mganga, na mganga na yeye lazima asuze rungu kuna mwenzake aliltea story humu mganga alivyojisuzia rungu kiulaniiii

hhahahaa mume wangu wakat anasoma..alipanga kigamboni bwana...bas asbh akienda kununua samak anaktana na masela.wamelanduka kinyama..wakawa kampani maana wote vyapombe..
khaa kumbe masela.waganga wa kienyeji huko kibada..jaman akinihadithia tu mie nakaa chini kwa kucheka..yaan wanampa tekiniks zoote..wanamuonesha had txt za wateja wanawake..wanajifanya wanapandisha maruhani hapo nyagi tupu..wnakonekt mabomba eti wanajifanya wanaongea na maruhan yao..unaambiwa wanawalala wanawake in a month mwanamke anakuja kushukuru ameshaconcieve hahahaha ...yaan uchafu mtupu..alafu unaambiwa hawaogi
 
Nimekaa nikawaza miaka na miaka kwanini sipati kazi nanikipata sidumu nimejaribu kujua nini tatizo sijaona ila kweli na shida kuolewa tabu madharau sina naheshimu kila mtu na pia sinaga ugomvi wala chuki watu wananipendaga sana sio mtaani au maofisini ila kuolewa ngumu kila mtu anashangaa naombeni msaada umri unaenda ila sioni faida .

Yaani nimekata tamaa naona niende kule kama wengine naombeni msaada mahali pakwenda ni wapi ambapo sintajutia hela yangu kwa maana na hitaji suluhisho kwa ambaye anamjua mtaalamu mzuri naomba ani pm nipo serious so nahitaji na mtu ambaye yupo makini kunisaidia asanteni kwa muda wenu naamini nitasaidika.
una umri gani?
pole kwa yanayokukuta hayo ni mapito tu,amini katika unachokiamini..
mtangulize Mungu ktk shida zako.
nakutia moyo,ipo siku yako uliyoandaliwa,magumu ya leo ni mepesi ya kesho
 
Kilometer ni muhimu kwa gari lolote la zamani, alafu sio mbaya ukaweka picha yako na ya chura itapendeza zaidi.
 
hHhahaha we hornet wewe...we mpe madeal msaidje atok basi...ndoa kitu gan

Hamna kitu kizuri kama kuruhusu muda ukafanya kazi yake!
Put some efforts and wait for results!

Sasa mtu yuko desperate anataka ndoa anataka kazi kwa nguvu mwishowe anaangukia wrong choices

Si unajua kitakachofuata?!
 
Yaan una shida na kazi, na kuolewa, suluhu unaona uende kwa mtaalamu tena mwanadamu km sjakosea, simama ktk imani yako iwe uislamu au ukristo Mungu ni wetu sote atakujibu na hautaona km umechelewa lolote usipanic
 
Pole sana kwa mapito unayopitia. Mimi ningependa kufahamu kwanza kama wazazi wako wote wawili wapo hai na pia mahusiano yako na wao yapoje?
Nimekaa nikawaza miaka na miaka kwanini sipati kazi nanikipata sidumu nimejaribu kujua nini tatizo sijaona ila kweli na shida kuolewa tabu madharau sina naheshimu kila mtu na pia sinaga ugomvi wala chuki watu wananipendaga sana sio mtaani au maofisini ila kuolewa ngumu kila mtu anashangaa naombeni msaada umri unaenda ila sioni faida .

Yaani nimekata tamaa naona niende kule kama wengine naombeni msaada mahali pakwenda ni wapi ambapo sintajutia hela yangu kwa maana na hitaji suluhisho kwa ambaye anamjua mtaalamu mzuri naomba ani pm nipo serious so nahitaji na mtu ambaye yupo makini kunisaidia asanteni kwa muda wenu naamini nitasaidika.
 
Hamna kitu kizuri kama kuruhusu muda ukafanya kazi yake!
Put some efforts and wait for results!

Sasa mtu yuko desperate anataka ndoa anataka kazi kwa nguvu mwishowe anaangukia wrong choices

Si unajua kitakachofuata?!

na inawezekana akapata mume humu humi alafu ndoa akaion chungu...mie nadhan ifike kipindi mtu uhadithie magumu ulokutana nayo kimaisha katk utafutaji..watu tupeane moyo hakuna kukata tamaa..than kudanganyana kwenye ndoa ndo kila kitu...huyu ajiajiri asimame mwnyew
 
Back
Top Bottom