Naombeni msaada, nahisi kukata tamaa ya maisha

Naombeni msaada, nahisi kukata tamaa ya maisha

Kama upo seriously nakushauri kwa imani yangu yangu ya Kikristo suluhisho ni kujikabidhi mzimamzima kwa Kwa Mungu /Yesu kwake utapata suluhisho la kudumu vinginevyo ni majuto tupu rafiki.
 
waza zaidi kipato...unaweza kuolewa alafu ukawa huna ajira gubu za mume zikaanza unapewa hela ya mawazooo aise inaboa..mcheki mjamaa m1 hussein huenda akakuvusha...
ila my dear usibague kazi..nakuomba sana sana....
nikupe mfano hai halisia...kuna siku 2 sikwenda kazini nilikuwa mgonjwa...basi kwa jirani yangu kukaanza ujenzi wa msingi..saa1usk ndo niliona msingi unajengwa baada ya mm kutoka nje..eti nikajikuta nimeenda kuongea na mafundi..nikajikuta nawauliza mnakula wapi?wakajibu hatujala leo unatakaje?nikawaambia naweza kuwapikia?wakasema ww tu!wakaask aina ya msos nikawaambia mtakachotaka..wakahis km nawaenjoy.. nikawahakikishia nitawapikia..walikua 7@1500/plate..
asbh mume akaniambia kuna mafundi wanakuja kumalizia ujenzi hapa kwetu..wakaja mafundi 4 nikawaeleza nitawapikia wanilipe wakakubali kwa hyi siku ya 1 nikawapikia mafundi 11..@1500..
Mungu alivyo mwema na jiran yangu akawa anapaka rangi nyumba yake(usishangae hvyo tupo mji mpya kila mtu anajenga)nikaenda kuongea nao na wale mafundi..shoga kazini nikaomba ruhusa ya kibabe nimefiwa..so nikawa napika msos wa watu 18 daily... ruhusa yangu ilipoisha nikawa napika asbh wali (walikubaliana wote wale wali)nauweka kwa pots dada wa kazi akawa anapika mboga tu..maharag na nyama na mchicha...saa 7 anawapelekea kwa sahan.. wameenda kwa week 3.. i mean wote 18..sasa u can imagine tulimake sh ngap za bure bure ..na watu 18 nilikua napika 4kgs..maharage kilo na nusu nyama 1kg..pesa mfukoni..maisha haya yapo tu..na ukumbuke nikawateka na juice..dadake amka! pesa ipo ni ww kufikiria tu jinsi ya kuitafuta..hii ishu nimeifanya mwenyewe sijasimliwa[emoji4][emoji4] tafuta kazi hata kwa mama ntilie
[emoji121]
MKUU,

KUMBE WEWE NDIYE ULIYEKUWA UNATUPIKIA MSOSI NA JUISI ILIYOCHANGANYWA NA KINYESI CHA MBWA KWA MBALIIIII !!!

JINGA SANA !!!!
 
Mkuu unaitaji
1) kazi
2) mume
3) mtalamu wa kutengeneza
Mtafute yesu atakupa vyote ,Alafu mda wako bado ndoa si kitu cha kukimbilia nenda mdogo mdogo
 
kwanza pole,pili usiwe mtu wa kujikatisha tamaa mapema alafu funga na mwombe mungu sana atakusaidia tu,tatu jiangalie ww mwenyewe kwanza ukoje kwenye kauli zako watu unaishi nao vip sehemu zote na kigezo cha kutokuolewa mapema na nahisi bado ujapata mtu sahihi wa kuwa naye kuna msemo uko hvi,EASY IS THE GREATER PROGRESS THAN HARDSHIP so keeping moving,keeping striving,keeping working,wherever you fall seven get up eight.SEE AT WORK,
DONT GIVE UP TRUST ME YOU WILL SUCCEED NO MATTER WHAT OK.
 
If you believe in God, know that His timing is the best.

I wish ungeacha kuji compare na wengine. Invest in yourself. In all ways. We all need positive changes in our lives.... We can all be better.

Be kind to yourself.

Hao wataalamu achana nao. Watachukua tu hela yako, give you false hope and frustrate you farther.
 
Kwa mganga umepotea dia, nenda sehemu za starehe Siku moja moja huwezi jua.
 
waza zaidi kipato...unaweza kuolewa alafu ukawa huna ajira gubu za mume zikaanza unapewa hela ya mawazooo aise inaboa..mcheki mjamaa m1 hussein huenda akakuvusha...
ila my dear usibague kazi..nakuomba sana sana....
nikupe mfano hai halisia...kuna siku 2 sikwenda kazini nilikuwa mgonjwa...basi kwa jirani yangu kukaanza ujenzi wa msingi..saa1usk ndo niliona msingi unajengwa baada ya mm kutoka nje..eti nikajikuta nimeenda kuongea na mafundi..nikajikuta nawauliza mnakula wapi?wakajibu hatujala leo unatakaje?nikawaambia naweza kuwapikia?wakasema ww tu!wakaask aina ya msos nikawaambia mtakachotaka..wakahis km nawaenjoy.. nikawahakikishia nitawapikia..walikua 7@1500/plate..
asbh mume akaniambia kuna mafundi wanakuja kumalizia ujenzi hapa kwetu..wakaja mafundi 4 nikawaeleza nitawapikia wanilipe wakakubali kwa hyi siku ya 1 nikawapikia mafundi 11..@1500..
Mungu alivyo mwema na jiran yangu akawa anapaka rangi nyumba yake(usishangae hvyo tupo mji mpya kila mtu anajenga)nikaenda kuongea nao na wale mafundi..shoga kazini nikaomba ruhusa ya kibabe nimefiwa..so nikawa napika msos wa watu 18 daily... ruhusa yangu ilipoisha nikawa napika asbh wali (walikubaliana wote wale wali)nauweka kwa pots dada wa kazi akawa anapika mboga tu..maharag na nyama na mchicha...saa 7 anawapelekea kwa sahan.. wameenda kwa week 3.. i mean wote 18..sasa u can imagine tulimake sh ngap za bure bure ..na watu 18 nilikua napika 4kgs..maharage kilo na nusu nyama 1kg..pesa mfukoni..maisha haya yapo tu..na ukumbuke nikawateka na juice..dadake amka! pesa ipo ni ww kufikiria tu jinsi ya kuitafuta..hii ishu nimeifanya mwenyewe sijasimliwa[emoji4][emoji4] tafuta kazi hata kwa mama ntilie
Maisha ni uthubutu... Hongera [emoji123]
 
Seat somewhere, mediate with your CREATOR,
"In the middle of each difficulty, Lies a SOLUTION"
 
utamrudisha ninawi..kutegemea wazaz badala ya wao wamtegemee...kama umewza kumiliki simu wew ni mtu mzima tayari...msaidie asaidie wazaz wake..na sio wazaz wamsaidie
Mume anakushtua kamuandalie Maji ya kuoga ! Haaaa maana unamesema ndoa inakubana
 
Mume anakushtua kamuandalie Maji ya kuoga ! Haaaa maana unamesema ndoa inakubana
😊😊kwan.hajui yalipo😂kwqnza maisha ya kuandaliana maji mm siyaez we beba taulo uingie bafuni.. mtataka muandaliwe had maji ya kusafisha kinywa😛
 
Nimekaa nikawaza miaka na miaka kwanini sipati kazi nanikipata sidumu nimejaribu kujua nini tatizo sijaona ila kweli na shida kuolewa tabu madharau sina naheshimu kila mtu na pia sinaga ugomvi wala chuki watu wananipendaga sana sio mtaani au maofisini ila kuolewa ngumu kila mtu anashangaa naombeni msaada umri unaenda ila sioni faida .

Yaani nimekata tamaa naona niende kule kama wengine naombeni msaada mahali pakwenda ni wapi ambapo sintajutia hela yangu kwa maana na hitaji suluhisho kwa ambaye anamjua mtaalamu mzuri naomba ani pm nipo serious so nahitaji na mtu ambaye yupo makini kunisaidia asanteni kwa muda wenu naamini nitasaidika.

Pole sana mkuu. Omba Mungu
 
Dah. Kumbe kuolewa ni vigumu mno now days

Ni rahisi sana kwa mwanamke anayejitambua, Hawa utakuta wanasaka six pack na vigezo vingi bila kuangalia umbile la ndani la mtu, by the way kila mtu aolewe na mwanaume anayempenda.
 
Back
Top Bottom