Naombeni msaada, nahisi kukata tamaa ya maisha

Naombeni msaada, nahisi kukata tamaa ya maisha

Kwanini uende kwa waganga utachezewa kama wengine

Ni pm tuyajenge kama uko serious
 
kuolewa sio.dili..mimi ningekuwa na akili nilizonazo sasa kwakweli nisingeolewa....ukiolewa unabanwa mnoo kila.kitu unachowaza kufanya unafikiria mume...mie kakangu anapiga pesa za madini musoma huko nataman kumjoin lakini ndo nashindwa!ndoa!dadeki
Wengine wanalilia ndoa we mwenyez Mungu kakujalia unaona ni ujinga kuolewa why uliolewa? Inaonekana unatamaa sana ya pesa na huenda mumeo ulimpenda sabb ya pesa au kazi aliyonayo. Hufai kuwa mke bora wewe na mama wa familia una ideas za kijinga.
 
Pole sana mkuu muombe mungu akufanyie wepesi kuliko kwenda kupga ramli
 
Kweli Mwamposa ni mkombozi wa wenye matatizo, hata ambao hawabebi mimba wakienda huko wanareceive, Hornet umemshauri vizuri.
Kuna rafiki angu juzi kaenda kanisani kwake, kachukua mafuta kapaka, jumatatu ambayo ndo kesho yake akaitwa sehemu akaanze internship kati alikuwa ameshaambiwa kuwa pale haiwezekani kabisaaaaa kupokea interns. Sa sijui siku yake ilikuwa imefika au ni msaada wa mafuta...but all in all kwa wenye Imani, Mwamposa anasaidia...
 
MMH HII POST NGUMY KUMEZA KWA KWELI. NAOMBA UNIJIBU MASWALI YANGU YOTE NDO NOTAPATA JIBU LA KUKUELEWESHA UMEKOSEA WAPI👇

1: mara ya mwisho kusimamishwa na mwanaumr au kutongozwa ilikuwa lini?
2: je hapo unapoishi una miaka mingapi may be uhame ili upate kuwa mpya mahali pengine. Because inaelekea hapo washakuchoka au tabia zako wanazijua ulikuwa mtu wa kujiachia sana.
3: je mahusiano yako na wazazi wako au ndugu zako yakoje?
4:unamwamin Muumba yupo na kama waamin why utake msaada kutoka kwa binadamu mwenzako tena mganga!!! ,ingia ktk maombi na usiwe na haraka ya majibu bali utapata chaguo lako
5: unajua wanaume wengi hawapendi wanawake magolikipa!- fanya kazi na usichague kazi jiwekr busy huko utakapo amia kwa kuuza hata maandazi jamani achana na mawazo ya ndoa.. piga kazi ukiwa busy na maombi utapata mwenzako.
5: hujui mganga akijua shida zako anaweza kukufanya mke wake wa kumi kwa sababu anajua unataka ndoa!
6:unajua kukata tamaa ni dhambi unampa shetani nafasi ya kukupelekea ujiue!
7:jiamin na ujione u mrembo na mzuri hivyo pambama kutafuta kazi hakuna mwanaume wa dunia hii ya leo akataka mke asiyejishughulisha.
8:je una mtoto
9: elimu yako je? Means umeishia kidato cha ngapi

NB: kuna watu wana matatizo kuliko ykao na wanayasimia ktk kuyatatua..... usipende kumlaumu Muumba ni kosa sana anasikia kilio chako ila hujamlilia sawia na kuwa na imani kuwa ipo siku atatenda miujiza...
By kungwi mtoto.
 
kuolewa sio.dili..mimi ningekuwa na akili nilizonazo sasa kwakweli nisingeolewa....ukiolewa unabanwa mnoo kila.kitu unachowaza kufanya unafikiria mume...mie kakangu anapiga pesa za madini musoma huko nataman kumjoin lakini ndo nashindwa!ndoa!dadeki
Bado una utoto mwingi so endelea kuitembeza ukija kushtuka dushboard inasoma 800,000 Kms na cha maana huna
 
Kuna rafiki angu juzi kaenda kanisani kwake, kachukua mafuta kapaka, jumatatu ambayo ndo kesho yake akaitwa TPDC akaanze internship kati alikuwa ameshaambiwa kuwa pale haiwezekani kabisaaaaa kupokea interns. Sa sijui siku yake ilikuwa imefika au ni msaada wa mafuta...but all in all kwa wenye Imani, Mwamposa anasaidia...
Wanawake ndomana kweli Ibilisi aliona ni vema akutumieni mkamshawishi Adam amuasi Mungu wake.

Mnashawishika kirahisi mno!!
 
Nimekaa nikawaza miaka na miaka kwanini sipati kazi nanikipata sidumu nimejaribu kujua nini tatizo sijaona ila kweli na shida kuolewa tabu madharau sina naheshimu kila mtu na pia sinaga ugomvi wala chuki watu wananipendaga sana sio mtaani au maofisini ila kuolewa ngumu kila mtu anashangaa naombeni msaada umri unaenda ila sioni faida .

Yaani nimekata tamaa naona niende kule kama wengine naombeni msaada mahali pakwenda ni wapi ambapo sintajutia hela yangu kwa maana na hitaji suluhisho kwa ambaye anamjua mtaalamu mzuri naomba ani pm nipo serious so nahitaji na mtu ambaye yupo makini kunisaidia asanteni kwa muda wenu naamini nitasaidika.
waganga nao ni kama kubet tu...hebu toa wasifu wako vizuri tujue msaada unaanzaje...
 
Kuna rafiki angu juzi kaenda kanisani kwake, kachukua mafuta kapaka, jumatatu ambayo ndo kesho yake akaitwa TPDC akaanze internship kati alikuwa ameshaambiwa kuwa pale haiwezekani kabisaaaaa kupokea interns. Sa sijui siku yake ilikuwa imefika au ni msaada wa mafuta...but all in all kwa wenye Imani, Mwamposa anasaidia...
Kupitia huyo mtumish kuna watu wanafanikiwa japo mimi sisali pale ila naona kwy TV
 
Kupitia huyo mtumish kuna watu wanafanikiwa japo mimi sisali pale ila naona kwy TV
Indeed...wengi sana wanafunguliwa, sijawahi kwenda ila kuna siku nitaenda nikapokee upako[emoji4]
 
Kwani nimekushawishi jamani[emoji1][emoji1], nimetoa mawazo yako, ukishawishika try it at your own risk. Ila usije nilaumu. Ukitaka ni PM nikuelekeze kanisa lilipo kabisa. Ila usianze sema nimekushawishi...
Wanawake ndomana kweli Ibilisi aliona ni vema akutumieni mkamshawishi Adam amuasi Mungu wake.

Mnashawishika kirahisi mno!!
 
Back
Top Bottom