Naombeni msaada kwenye picha hii

Kuna mwenzao alinyewa mdomoni huko!!πŸ˜€

NB:Uhuru wao utaishia airport ya nchi wanayoenda!
 
Sijaanzisha uzi kwa chuki mkuu , mimi nimeuliza kwa sababu wanasema ni boda boda ila cha ajabu waliopo pale wengi ni wanawake na wanaume watu wazima
 
Kwahy hapo kwenye hiyo picha ushajua had umri wa hao watu?

Wanawake hawaruhusiwi kuendesha pikipik?

Au kwasabab hao wanawake wamevaa ushungi ndo umeona watu wazma?

Nipe idadi ya wanawake na wanaume kwenye hiyo picha mkuu
 
Sawa mtetezi wa ujinga nimeshakusoma
 
mmmmh yani Africa ni vituko kila kukicha
 
They've gotten a price tag on them, bei ya jioni.
 
Qatar ukipeleka mwanamke mmoja unalipwa riyal elfu tatu....
Kuna Mzee mmoja yupo maeneo ya kisutu sokoni (Dar es Salaam) ndio ishu zake hizo .
Huwa anawapeleka pia Oman,kwa kifupi hii ni 'human trafficking'...
 
Nafahamu vizuri sana hizo biashara wanaonufaika ni hao wanaoitwa agents kama huyo mzee.

Nimetembea nchi zote za GCC nimepiga story na wabongo kadhaa ni ajabu hata kuna baadhi yao wanafanya kazi katika hizo nchi na hawana medical insurance , maagent wakishirikiana na maafisa wa ubalozi ndio wanakandamiza watanzania wenzao.
 
Hii ndiyo kazi inayomuweka mjini Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu.

3 years ago alikuwa na mgogoro mkubwa sana na issue hii ya wafanyakazi aliowapeleka
 
Aisee kumbe ni miradi ya watu
 
Aisee mbona ni hatari hii
 
Qatar ukipeleka mwanamke mmoja unalipwa riyal elfu tatu....
Kuna Mzee mmoja yupo maeneo ya kisutu sokoni (Dar es Salaam) ndio ishu zake hizo .
Huwa anawapeleka pia Oman,kwa kifupi hii ni 'human trafficking'...
Nimeelewa
 
Kwa maoni yangu. Hiyo picha na maekezo yake ni tofauti. Labda ipo picha nyingine ya vijana wa kiume ambao waliandaliwa kwenda kuwa bodaboda ila kwenye kuattach wakaweka hii.
Kwa hali ya kawaida, hamna dereva bodaboda hapo
 
Aisee mbona ni hatari hii
Yes ilinishtua kukuta kuna mabinti ni housemaids na hawana medical insurance.

Na ubalozi upo na agents wapo wanayajua hayo yote.

Mabinti hao wanafanyishwa kazi non-stop bila mapumziko hata wakiugua hawathaminiwi hadi kupelekea vifo vyao .

Mikataba hawapewi wasome kila kitu hufanywa juu kwa juu na hata passport zao huhodhiwa hivyo kuwafanya kukosa sauti.
 
Kwa maoni yangu. Hiyo picha na maekezo yake ni tofauti. Labda ipo picha nyingine ya vijana wa kiume ambao waliandaliwa kwenda kuwa bodaboda ila kwenye kuattach wakaweka hii.
Kwa hali ya kawaida, hamna dereva bodaboda hapo
Madereva ndio hao mkuu
 
Duuuh wanasaidikaje sasa
 
Duuuh wanasaidikaje sasa
Msaada ni wao kwa wao tu ulitarajia mabalozi na maafisa ubalozi ambao kigezo chake ni kuwa kada wa CCM au mzazi wake alikuwa mtu fulani sasa mtoto hupewa kama zawadi ndio waje wakupe msaada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…