Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 2,036
- 4,281
View attachment 3534824
Wakuu Samahanini kwenye hii picha nimeitwa kwenye ukurasa wa ofisi ya waziri mkuu akisema kuwa picha hii ni vijana waliokuwa wanagwa na kwenda kufanya kazi ya boda boda huko UAE ama falme za kiarabu .
Swali: Hawa kweli ni vijana wanaoenda kuendesha boda boda uarabuni na je ni kweli uarabuni kuna uhitaji wa bodaboda na je biashara hii inalipa sana huko?
Wanaagwa na nani Mkuu?Wakuu Samahanini kwenye hii picha nimeitwa kwenye ukurasa wa ofisi ya waziri mkuu akisema kuwa picha hii ni vijana waliokuwa wanagwa na kwenda kufanya kazi ya boda boda huko UAE ama falme za kiarabu .
Hii haina tofauti na akina mama wajasiliamali wanao wakusanya wasichana huko Iringa na kuwaleta dar ili kuwatafutia kazi za uhahouse girl.Ukiangalia idadi yao wengi wao ni wanawake ambao wanakwenda huko kuwa watumwa wa kufanya kazi za ndani za uboi kwa mateso sana!! Wengine huko hudhalilishwa na hawa waarabu mpaka kuwalazimisha kuingiliwa na mbwa kwa ujira kiduchu wanaopata!!
Ni serikali mufilisi inayodhani kupeleka nguvu kazi yake Uarabuni inatatua tatizo la ajira nchini mwao!! Kuwa na uongozi wenye vision ndio suluhisho la matatizo ya ajira nchini. Kuwapeleka vijana Uarabuni ni sawa na kufanya biashara ya kuwauza binadamu kama watumwa!! No difference at all.
Hapana mkuuHuu Uzi umekaa kivita 😆
Duuh hatari hii mkuuHii haina tofauti na akina mama wajasiliamali wanao wakusanya wasichana huko Iringa na kuwaleta dar ili kuwatafutia kazi za uhahouse girl.
Funguka mkuu au wahesabu hapoNipe idadi ya wanawake ambao hawana ushungi then nikwambie kazi wanaokwenda kufanya huko falme za Kiarabu.
Acha upumbavu wakristo wa kenya na Uganda wamejazana uko uarabuni tele we endelea na taarab wenzio wakirud Wana nyumba 3 kibit wewe unaendelea na kupanga chumba singo gongo la mboto kodi 30kNipe idadi ya wanawake ambao hawana ushungi then nikwambie kazi wanaokwenda kufanya huko falme za Kiarabu.
Mkuu mie mwenyewe nimetafakari ila nikaishia kutoelewa ndio maana nikaja hapa tusaidiane kuwazaWanaagwa na nani Mkuu?
Hili taifa vichekesho ni vingi sana kadri siku zinavyozidi kwenda, hizo ndio ajira walizotengeneza au ilikuwa mchezo tu wa kisiasa?
Mungu atusaidie kwakweli.
Sasa mbona matusi mkuu wanguAcha upumbavu wakristo wa kenya na Uganda wamejazana uko uarabuni tele we endelea na taarab wenzio wakirud Wana nyumba 3 kibit wewe unaendelea na kupanga chumba singo gongo la mboto kodi 30k
🤣🤣🤣🤣 mkuu samahani utanivunja mbavu , mie naona wazee sioni vijana hapoNdio ni kweli nia ni vijana hao. Unajifanya mgeni na mambo ya Kaburu CCM🤣🤣🤣
Nimequote wewe au unajistukia au una ID mbiliSasa mbona matusi mkuu wangu
Hapana ID yangu ni hii mkuuNimequote wewe au unajistukia au una ID mbili
Hapa sasa umeongea kitu gani? Kwako uhutaji ni nyumba?Acha upumbavu wakristo wa kenya na Uganda wamejazana uko uarabuni tele we endelea na taarab wenzio wakirud Wana nyumba 3 kibit wewe unaendelea na kupanga chumba singo gongo la mboto kodi 30k
Atakuja kujibu kweliHapa sasa umeongea kitu gani? Kwako uhutaji ni nyumba?
🤣🤣🤣🤣Hao wanaenda kutatuliwa marinda na waarabu
Shida yako ni waarabu nasio kaz wala watu wanaoenda kufanya kazHapa sasa umeongea kitu gani? Kwako uhutaji ni nyumba?