Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,847
- 3,746
Wakuu Samahanini kwenye hii picha nimeitoa kwenye ukurasa wa ofisi ya waziri mkuu wakisema kuwa picha hii ni vijana waliokuwa wanaagwa na kwenda kufanya kazi ya boda boda huko UAE ama falme za kiarabu .
Swali: Hawa kweli ni vijana wanaoenda kuendesha boda boda uarabuni na je ni kweli uarabuni kuna uhitaji wa bodaboda na je biashara hii inalipa sana huko?