Naombeni msaada kwenye hili

Naombeni msaada kwenye hili

Eid Mubarak ndugu zangu waislamu, I hope mmekula sikukuu fresh.

Hivi kuna uwezekano mtu akahack WhatsApp yako akawa anaona meseji zote zinazoingia? Na je kama huo uwezekano upo nawezaje kuzuia hili maana nahisi kama kuna mtu amenifanyia hivi au anatarajia kufanya hivi naombeni msaada kabla mambo hayajaharibika.
Ni nini kimefanya uhisi kuna mtu amehack Whatsapp yako?
 
Asante mkuu nilikuwa na wasiwasi bure
Usijali kuwa huru ila akiunganisha kwenye PC au laptop 💻 itakuwa balaa , iliwahi kumkuta rafiki yangu kumbe mtu wake alishare WhatsApp yake kwenye laptop yeye hajui, tulienda ilikuwa krismas ile tukawa tunapikq yeye anachat na mpango wa pembeni then anafuta kumbe aalistukiwa jamaa akawasha laptop akawa anasoma meseji zake wanavyochat na huyo mtu alafu ana screen shot kabla hajafuta, kosa alilofanya nikuomba 30000 kwa huyo mtu alafu jamaa asubuhi alimpa 150000, jamaa alipokuja juu tukawa tunamtetea rafiki yetu, jamaa akaonesha ushahidi, na ndoa ikavunjika siku hiyo hiyo 😂😂
 
Watetezi kiranga kikawashukaaaa 😂
 
Eid Mubarak ndugu zangu waislamu, I hope mmekula sikukuu fresh.

Hivi kuna uwezekano mtu akahack WhatsApp yako akawa anaona meseji zote zinazoingia? Na je kama huo uwezekano upo nawezaje kuzuia hili maana nahisi kama kuna mtu amenifanyia hivi au anatarajia kufanya hivi naombeni msaada kabla mambo hayajaharibika.
kwanza ni NDIO, INAWEZEKANA , Piga **21# uone kama kuna mtu anasomq hizo taarifa zako. Ukimaliza njoo inbox nikupe maelekezo
 
🤣🤣🤣Mbaya sana hiyo Bora kwa mwanaume sio kwa mwanamke aisee ningumu kumshawish mwanaume alieamua kufanya jambo lake.
Ni kweli, mwanaume akisimamia misimamo wake!

Halafu Kuna ushahidi kabisa.

Ukijifanya unataka kumbadilisha ili asamehe, utaonekana na wewe ni kuhadi 😂
 
Eid Mubarak ndugu zangu waislamu, I hope mmekula sikukuu fresh.

Hivi kuna uwezekano mtu akahack WhatsApp yako akawa anaona meseji zote zinazoingia? Na je kama huo uwezekano upo nawezaje kuzuia hili maana nahisi kama kuna mtu amenifanyia hivi au anatarajia kufanya hivi naombeni msaada kabla mambo hayajaharibika.
you can do nothing ikiwa ameinstall app maaluumu ya kispy kwenye cm yako na yake bila wewe kujua na kisha kuzikonect kama vile unavyowasha data tu meseji zinaingia,

njia ni moja tu,
kubadili cm, vinginevyo anasoma meseji, voice notes na location utakazokuwepo bila wasi wowote. Huwez danganya 🐒
 
Kama ni mtu Ambae upo nae karibu anaweza ku hack kwa njia ya kuscan account Yako, akifanikisha kuscan taarifa zinazoingia kwako zitakua zinaingia kwake pia.
Nb: weka password kwenye whtsap Yako.
Kama yupo mbali ni ngumu sana ku hack maan ili aingie kwenye account Yako lazima Kuna code zitatumwa kupitia namba yako, codes hizo hupaswi kushare na mtu yeyote. Ikitokea umeshare basi account Yako itakua hacked.
 
Kuhaki ninakojua mimi kwa whatssap ni mtu kuishika yeye, acount yako, akawa anai control yeye, yeye anawasiliana na rafiki zako anafanya anachokitaka.
.Sasa hii ya kuona unayafanya kwenye wasap hii siijui, na hiyo ksma ipo tutaita Spai hakha.
 
Back
Top Bottom