Naombeni msaada kwenye hili

Naombeni msaada kwenye hili

Eid Mubarak ndugu zangu waislamu, I hope mmekula sikukuu fresh.

Hivi kuna uwezekano mtu akahack WhatsApp yako akawa anaona meseji zote zinazoingia? Na je kama huo uwezekano upo nawezaje kuzuia hili maana nahisi kama kuna mtu amenifanyia hivi au anatarajia kufanya hivi naombeni msaada kabla mambo hayajaharibika.
Umebonyeza link za wakenya.
Uninstall whatsapp then install upa uanze settings upya
 
Eid Mubarak ndugu zangu waislamu, I hope mmekula sikukuu fresh.

Hivi kuna uwezekano mtu akahack WhatsApp yako akawa anaona meseji zote zinazoingia? Na je kama huo uwezekano upo nawezaje kuzuia hili maana nahisi kama kuna mtu amenifanyia hivi au anatarajia kufanya hivi naombeni msaada kabla mambo hayajaharibika.
Kuna mtu anatumia wasap web iliyo-sign-iwa kwenye akaunti yako.

Fanya hv:
Ingia wasap yako
Gusa vidoti vitatu
Ingia linked devices
Utaona wasap yako imeunganishwa sehemu kadhaa
Ingia na tia off.
 
Ingia kwenye settings yako ya WhatsApp. Tafuta devices alafu nenda kwenye linked devices unazitoa Zote. Haiwezakani na kamwe haitawezekana ku hack WhatsApp ya mtu yeyote Yule. Alichofanya ameshare WhatsApp yako kupitia WhatsApp web ambapo amaeunganisha WhatsApp yako kwenye PC kama Laptop etc.
Njia nzuri kabisa kama ataelewa ni ya faster sana unakuwa umeondoa divice ya pili
 
Ingia kwenye settings yako ya WhatsApp. Tafuta devices alafu nenda kwenye linked devices unazitoa Zote. Haiwezakani na kamwe haitawezekana ku hack WhatsApp ya mtu yeyote Yule. Alichofanya ameshare WhatsApp yako kupitia WhatsApp web ambapo amaeunganisha WhatsApp yako kwenye PC kama Laptop etc.
Nimeingia hapo nimeletewa hivi sijaona device yoyote
Screenshot_20250331_223140_WhatsApp.jpg
 
Ingia kwenye settings yako ya WhatsApp. Tafuta devices alafu nenda kwenye linked devices unazitoa Zote. Haiwezakani na kamwe haitawezekana ku hack WhatsApp ya mtu yeyote Yule. Alichofanya ameshare WhatsApp yako kupitia WhatsApp web ambapo amaeunganisha WhatsApp yako kwenye PC kama Laptop etc.
Hivi akidelite account kisha akasajili kwa line nyingine hawezi kusaidika?

Maana muongozo ulioitoa, nimeingia kwenye setting ya whatsapp sijaona divices wala neno linked divices!
 
Hata mimi sijaona kabisa mkuu
 
Ingia kwenye settings yako ya WhatsApp. Tafuta devices alafu nenda kwenye linked devices unazitoa Zote. Haiwezakani na kamwe haitawezekana ku hack WhatsApp ya mtu yeyote Yule. Alichofanya ameshare WhatsApp yako kupitia WhatsApp web ambapo amaeunganisha WhatsApp yako kwenye PC kama Laptop etc.
Ahsante kwa somo hili. Barikiwa. 🙏🙏
 
Back
Top Bottom