kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Eid Mubarak ndugu zangu waislamu, I hope mmekula sikukuu fresh.
Hivi kuna uwezekano mtu akahack WhatsApp yako akawa anaona meseji zote zinazoingia? Na je kama huo uwezekano upo nawezaje kuzuia hili maana nahisi kama kuna mtu amenifanyia hivi au anatarajia kufanya hivi naombeni msaada kabla mambo hayajaharibika.