Naombeni msaada kuhusu huu utata ulipo kwenye dini

buzitata

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Posts
2,315
Reaction score
7,767
Habarin wakuu

Kwanza kabisa mimi ni mkatoliki pure, nimekulia na kulelewa katika misingi ya imani..

Kama ujuavyo tena sisi wakatoliki sio watu wa kusoma biblia, mara nyingi tunaskiliza tu mahubiri na kusomewa neno halafu ndo inakua imetoka hiyo.

Kuna mwaka fulani nilibahatika kukaa na watu wanaopenda sana dini hivyo ikapelekea na mimi kuanza kuichimba biblia kisawasawa na nikafanikiwa kusoma vitabu vingi ambavyo viliniacha na maswali mengi sana

1.wana wa israel wamewahi kuibiwa sanduku la agano baada ya kuchezea kichapo kikali sana ila baadaye walifanikiwa kulirudisha, utata ndo unaanzia hapo kwenye kulirudisha, wakiwa njiani wamelibeba lile sanduku ilitokea ajali ndogo ambayo ilipelekea lile sanduku litake kudondoka hivyo bwana mmoja akaona ni vema akaliwahi ili lisidondoke ila cha kushangaza alikufa pale pale kwa sababu yeye haruhusiwi kulishika sanduku hilo

Swali langu likawa ni kwa hao walioliiba walikua wamelibebaje bila kuwa dhuru au ndo ilikua ni mipando ya mungu tu?

2.yesu akiwa mlimani alitokewa na watu wawili ambao ni musa na elia hali iliyopelekea simion kumwambia yesu wajenge vibanda vitatu, tukirudi nyuma tunaambiwa roho ya elia ilikuwa ndani ya yohana mbatizaji(swali litengeneze mwenyewe)

Maswali ni mengi mengine nitayaweka kwenye comment.

Ikabidi nizame kwa weslamu au mnyaazi.

Kiukweli kile kitabu ni kigumu sana kukisoma kutokana na mfumo wake wa uandi na ukitaka ukielewe inatakiwa usome kwanza kitabu cha mithali halafu ndo uanze kusoma quran

Ukizichambua hadithi hata hizo sahih utaona kabisa kuna fix nying zimewekwa
 
Hiyo story ya sanduku kuibwa ndio naisikia. Ila kwa hao waliochukua kichapo kwa kuiwahi lisidondoke mie nitaona kwamba wao walijua kabisa halipaswi kuguswa, ila hao "walioliiba" hawakujua halipaswi kuguswa. Sasa Mungu kama anahukumu kwa haki, kwa nini ampe kichapo mtu ambae hajawahi kuambiwa usiliguse katika mazingira yeyote?

Hsyo ya Elia sijui vibanda nadhani ni maono tu, sio jambo halisi. Musa na Eliya walishakufa sku nyingi!
 
Hiyo story ya sanduku kuibwa ndio naisikia. Ila kwa hao waliochukua kichapo kwa kuiwahi lisidondoke mie nitaona kwamba yeye alijua kabisa hapaswi kuligusa, ila hao "walioliiba" hawakujua halipaswi kuguswa. Sasa Mungu kama anahukumu kwa haki, kwa nini ampe kichapo mtu ambae hajawahi kuambiwa usiliguse katika mazingira yeyote?

Hsyo ya Elia sijui vibanda nadhani ni maono tu, sio jambo halisi. Musa na Eliya walishakufa sku nyingi!
Kwaiyo hilo tukio la musa na elia kumtokea yesu halipo kwenye biblia?
 
Habarin wakuu

Kwanza kabisa mimi ni mkatoliki pure, nimekulia na kulelewa katika misingi ya imani..

Kama ujuavyo tena sisi wakatoliki sio watu wa kusoma biblia, mara nyingi tunaskiliza tu mahubiri na kusomewa neno halafu ndo inakua imetoka hiyo.

Kuna mwaka fulani nilibahatika kukaa na watu wanaopenda sana dini hivyo ikapelekea na mimi kuanza kuichimba biblia kisawasawa na nikafanikiwa kusoma vitabu vingi ambavyo viliniacha na maswali mengi sana

1.wana wa israel wamewahi kuibiwa sanduku la agano baada ya kuchezea kichapo kikali sana ila baadaye walifanikiwa kulirudisha, utata ndo unaanzia hapo kwenye kulirudisha, wakiwa njiani wamelibeba lile sanduku ilitokea ajali ndogo ambayo ilipelekea lile sanduku litake kudondoka hivyo bwana mmoja akaona ni vema akaliwahi ili lisidondoke ila cha kushangaza alikufa pale pale kwa sababu yeye haruhusiwi kulishika sanduku hilo

Swali langu likawa ni kwa hao walioliiba walikua wamelibebaje bila kuwa dhuru au ndo ilikua ni mipando ya mungu tu?

2.yesu akiwa mlimani alitokewa na watu wawili ambao ni musa na elia hali iliyopelekea simion kumwambia yesu wajenge vibanda vitatu, tukirudi nyuma tunaambiwa roho ya elia ilikuwa ndani ya yohana mbatizaji(swali litengeneze mwenyewe)

Maswali ni mengi mengine nitayaweka kwenye comment.

Ikabidi nizame kwa weslamu au mnyaazi.

Kiukweli kile kitabu ni kigumu sana kukisoma kutokana na mfumo wake wa uandi na ukitaka ukielewe inatakiwa usome kwanza kitabu cha mithali halafu ndo uanze kusoma quran

Ukizichambua hadithi hata hizo sahih utaona kabisa kuna fix nying zimewekwa
Ukitaka kuielewa biblia lazima kwanza ujue kuwa Mungu yupo ndiye aliumba vitu vyote na kumweka mwanadamu aitawale dunia.Usisome biblia kama kitabu cha hadidhi wala usifanye utafiti wa maneno ya kitabu kama ni kweli au sikweli.Ukifanya hivyo utakosa imani ambayo inatuunganisha na Roho mtakatifu.Kuelewa kunahitaji imani kwanza kwamba Yesu ni mwokozi wetu.
 
Kingine lile sanduku wakati wafilisti wanalirudisha uliona taratibu walizozifanya??
Waliweka sadaka ya kosa dhahabu yenye kufanana na majipu Yao..
Na sanduku lilibebwa na ng'ombe waliekuewa bandani wananyonyesha wakanyang'anywa ndama wao wabebe sanduku,,,unadhani wale masheikh WA kifilisti walikurupuka,,?? Walijua wamebeba nini,,,zaidi Sana Kwa taratibu walizozifanya lile sanduku lilivyobebwa na wale ng'ombe walifuata njia iliowapa majibu hao wafilisti kwamba majanga walioyapata yalitoka Kwa MUNGU WA Israel
 
Dini yako ni imani yako kwa Mungu wako na matendo yako basi.

Hivi vitabu ni story tu, story ni nyingi sana.

Tafuta pesa hizo story jifunze ukizeeka.
 
Unapoambiwa Roho ya Elia, mfano tuseme ukiambiwa nguo hii aliyoivaa fulani "tumwite" Ernest, hii ndio nguo aliyokuwa akiivaa Petro - Iko wazi.

Roho ni kiumbe cha Mungu katika utendaji, kwa hivyo kile kiumbe kitakatifu kilichokuwa kikifanya kazi ndani ya Elia, ndicho kilikuwa ndani ya Yohana Mbatizaji.

=>Kuhusu kuibwa sanduku, ndio ilitokea, na Yehova aliruhusu kwa sababu walikosea hawakutubu na hata walipotubu hawakumaanisha toba yao. Na wakapigwa vitani, wafilist wakaliiba wakidhani litawapa nguvu wao badala yake likawaletea mabalaa zaidi, ikabidi lirudishwe.
 
Sijasema hivyo. Naona huelewi maana ya maono, visions. Soma Daniel au Ufunuo
Agano jipya nimemaliza vitabu vyote, ukija agano la kale nimebakiza vitabu vichache sana hasa vile vinavyofanana na quran kimuundo

Mimi ni miongoni mwa wakatoliki ambaye ninauwezo wa kushindana kihoja na walokole plus weslam, kwahiyo usinichukulie poa ni wakatoliki wachache sana wanaoweza kufanya hivyo
 
Agano jipya nimemaliza vitabu vyote, ukija agano la kale nimebakiza vitabu vichache sana hasa vile vinavyofanana na quran kimuundo
Sasa kwa nini unashindwa kuelewa jambo dogo kama vision ya Musa na Elia? Labda ni kwa kuwa unasoma Biblia intellectually, sio spiritually.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom