Naombeni kujua kuhusu sheria ya matumizi ya VPN Tanzania

Jackson996

JF-Expert Member
Oct 5, 2019
658
1,255
Wakuu habari zenu naiman mko wazima, nilikuwa naomba kujua kwa Tanzania ni kosa kisheria kutumia vpn maana nimeona ili swala likizungumziwa kidogo na uku mtaan watu kutishana kwa wale wanaotumia (VPN).

Ni hayo tu, naamin umu kuna wajuzi wa mambo nitapataje.

Samahanini kwa uwandishi wangu m bovu.
 
Wakuu habari zenu naiman mko wazima, nilikuwa naomba kujua kwa Tanzania ni kosa kisheria kutumia vpn maana nimeona ili swala likizungumziwa kidogo na uku mtaan watu kutishana kwa wale wanaotumia (VPN).

Ni hayo tu, naamin umu kuna wajuzi wa mambo nitapataje.

Samahanini kwa uwandishi wangu m bovu.
Endelea kuperuzi mkuu, mengine baadae!!
 
Achana UFO VPN Basic
Wameachia Internet Sasa Hivi Unatumia Kama Zamani
 
Yaani hujaona sehemu waliyosema kuwa kufungua kwa namna yoyote ile mawasiliano yaliyofungwa ni kosa?
Yeye atajuaje mawasiliano yamefungwa na Serikali? Kea maana Serikali Haijatangaza Kwenye Gazeti lake au popote kufunga mtandao. Maana Serikali inafahamu kufunga Mtandao Ni Kinyume Cha Haki za Binadamu.

Hivyo kwa Hali tuliyokuwa nayo si kosa kutumia VPN.

Mfano Mtandao wa Airtel umekwama kufungua Internet itabidi uamie Vodacom, habari, Tigo , TTCL n.k ikishindikana unahamia VPN.

Serikali Ingetangaza kufunga na kwamba si ruhusu kuwasiliana kupitia Whatsapp na Tweeter, ingekuwa kosa kutumia VPN.
 
Aliekuambia kuwa serekali za kidikteta zina mifumo maalum ya kuendesha serekali ni nani?Unaelewa kuwa serekali za kidikteta hazina mifumo maalum wala mifumo ya kisheria ya kuendesha serekali kama hiyo unayosema kutangaza kwenye gazeti la serekali?
Umehamisha mada.

Tuangalie Mkuu wa Nchi akikabidhiwa Cheti kwa kushinda kidemokrasia Uchaguzi Huru na Haki wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Tarehe 28/10/20.
 
Don't worry about the law
They can't arrest us all
(bubba spaxx, 2001 Ugly 2nd verse)
 
Back
Top Bottom